Ndg wana JF habari za weekend?
Baada ya spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Ndugai kufafanua juu ya Bunge kushindwa kugharimia matibabu ya Mhe Tundu Lisu Nje ya Nchi
Ni ukweli sasa Chadema wakubali kubeba lawama kuhusu kumkosesha Mbunge Lisu haki ya kugharimiwa matibabu na Bunge
Nchi na Taasisi yoyote lazima iwe na utaratibu unaoheshimiwa na wanachama wa hiyo Taasisi au kama Nchi,vinginevyo hili la kila mtu kuamka na kujitwalia matakwa yake si sahihi.
Fedha za serikali hutolewa kwa taratibu ,kanuni na sheria zilizotungwa na bunge
Mfano Mzuri ni huu fedha za miradi na zile za OC Zote zona pouch in is he a na bunge ni Kazi ya serikali kuzingatia matakwa yaliwekwa juu ya matumizi ya fedha hizo kwa walioomba na kupewa kuzitumia,wakizitumia kinyume hiyo ni hoja tayari na majibu ya hoja ni kuzirudisha fedha zile zilizotumika kimakosa au kupewa Hati chafu
Bunge kama liliweka utaratibu wa kuwapeleka wabunge wao kwenye matibabu lazima mwongozo au utaratibu huo ufuatwe na usipofuatwa ni hoja kwa mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali.
Hivyo yale maamuzi ya kumpeleka Kenya bila kibali kufuata utaratibu uliowekwa ikiwemo kupitia Hospital ya muhimbili chadema walimponza na kupoteza haki Yake ya kugharimiwa matibabu