CHADEMA wakiwa kwenye Maandalizi ya Kufanya maandamano

Endeleeni kufanya maigizo huku wanachama wenye akili wakiendelea kukihama chama na kuwaacha wajinga wajinga na msio jitambua kama wewe.ambao mnaendeshwa na kuburuzwa kama ng'ombe wa mnadani. Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kukaa kwenye chama kisicho na muelekeo na mipango zaidi ya kufanya mikakati ya kuneemesha matumbo yao.
Hivi we jamaa unajitambua kweli!!!
 
Endeleeni kufanya maigizo huku wanachama wenye akili wakiendelea kukihama chama na kuwaacha wajinga wajinga na msio jitambua kama wewe.ambao mnaendeshwa na kuburuzwa kama ng'ombe wa mnadani. Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kukaa kwenye chama kisicho na muelekeo na mipango zaidi ya kufanya mikakati ya kuneemesha matumbo yao.
We una akili gani zaidi ya uchawa uliopitiliza na tabia za kujikomba. Unatuahibisha sana wanaume wenzako aisee
 
Back
Top Bottom