CHADEMA wakimbia kivuli cha ZITTO

Jamani mashabiki wa chadema kubalini kukosolewa,nina iman viongozi wa chadema wapo wenye hekima watafanyia kazi ushaur wowote ule wanaopewa,sio kutaka kusifiwa tu,

mkuu...ushauri upi... mbona unakua wale wale
 
Genetic Modified Brain. hapa JF ninavyo vilemba hivyo... lakini mimi sio crap wala mkurupukaji

Tatizo lako ni maamuzi ya Kamati kuu, tunalijua sana kuwa hili la Zitto limewauma sana ila ndio demokrasia
 
Duuuu mkuu wewe ni mtupu sana kichwani! Huwezi kuwa nje ya Madrasa al sul wakati wote? Kuna haja gani kuandika uupuuzi huu kwenye jukwaa la great thinkers? ama unaulemavu wa akili?

Hili mbona lipo wazi kwenye uchaguzi ulio pita, sera za udini , ubaguzi wa kimajimbo ndivyo vilivyotawala CDM. Kumbuka ya s'wanga nk ni ushahidi tosha
 
we genius brain the actual meanin of genius is a brain which can freely use creative imagination faculty to comunicate with infinite intellgence which is the temple of wisdom, sasa wewe endelea kufirimbwa tigo yako na mafisadi huku ukijiita genius brain na ukitoka kutekenya mgongo unakuja kutuandikia craps nyie ndio wakupiga risasi muda wenu unakaribia.
 
Crap again from you! Hii inahusianaje na uchoanzishia thread? Kama ni tatizo wewe linakuhusu nini sasa unakuja na mambo ya Sumbawanga!! Uko timamu kweli wewe?
 
we genius brain the actual meanin of genius is a brain which can freely use creative imagination faculty to comunicate with infinite intellgence which is the temple of wisdom, sasa wewe endelea kufirimbwa tigo yako na mafisadi huku ukijiita genius brain na ukitoka kutekenya mgongo unakuja kutuandikia craps nyie ndio wakupiga risasi muda wenu unakaribia.

Thank you!
 
Katika kile kinachoonekana kama kukimbia kivuli cha mwanachama wake na naibu katibu mkuu Mh. ZITTO KABWE kwa kukubali kumrudishia cheo chake na naibu wa kiongozi bungeni , CHADEMA yaonekana kabisa kuwa mambo si shwari kama inavyo elezwa kwani kuna mgawanyiko wa waziwazi kati ya wabunge ambao walipendekeza ZITTO avuliwe madaraka yake na Kamati kuu ambayo wameona wabunge walikurupuka kwa uamuzi wao usio makini na wa busara. Hii ina maanisha kabisa kuwa ZITTO bado ana nguvu ndani ya chama na endapo wangekubaliana kumvua cheo chake chama kingesambaratika . Hongera kamati kuu kwa kuliona hilo na hii yaonyesha wabunge wa CHADEMA si makini kwenye maamuzi yao bali wapo kwa kulipiza visasi.

Umeanza?! Hizi habari zako za kufikirika huwa unazitoa wapi??? Wewe kila siku unakuja kivyako vyako. Zitto awepo asiwepo Chadema itazidi kuwepo endelea kuota ndoto zako za mchana. Mwulize mwenzio Mubarak atakujuza zaidi nguvu ya umma haina masamaha hata chembe. Tunachopigania sisi ni haki ya nchi yetu malumbano ndani ya chama ni kawaida kwani sote ni binadamu na kila binadamu ana mapungufu sasa wewe unataka kuonyesha kwamba hakuna mapungufu ndani yako na ndani ya chama tawala.
 
Ha ha haaaaa, hilo halipo na ni ndoto mzee, hii ni Tanzania hayo unayo yafikiria na uchache wa fikra ulio nao yaonyesha ni mtu usio na wepevu , ni bora ujitoe tu humu JF si mahala panapo kufaa:clap2::clap2::clap2:
 
Katika kile kinachoonekana kama kukimbia kivuli cha mwanachama wake na naibu katibu mkuu Mh. ZITTO KABWE kwa kukubali kumrudishia cheo chake na naibu wa kiongozi bungeni , CHADEMA yaonekana kabisa kuwa mambo si shwari kama inavyo elezwa kwani kuna mgawanyiko wa waziwazi kati ya wabunge ambao walipendekeza ZITTO avuliwe madaraka yake na Kamati kuu ambayo wameona wabunge walikurupuka kwa uamuzi wao usio makini na wa busara. Hii ina maanisha kabisa kuwa ZITTO bado ana nguvu ndani ya chama na endapo wangekubaliana kumvua cheo chake chama kingesambaratika . Hongera kamati kuu kwa kuliona hilo na hii yaonyesha wabunge wa CHADEMA si makini kwenye maamuzi yao bali wapo kwa kulipiza visasi.
Hongereni kumrudisha Zitto, yule jamaa kichwa sana, anaibeba sana CDM kwa mambo mengi!
 
Umeanza?! Hizi habari zako za kufikirika huwa unazitoa wapi??? Wewe kila siku unakuja kivyako vyako. Zitto awepo asiwepo Chadema itazidi kuwepo endelea kuota ndoto zako za mchana. Mwulize mwenzio Mubarak atakujuza zaidi nguvu ya umma haina masamaha hata chembe. Tunachopigania sisi ni haki ya nchi yetu malumbano ndani ya chama ni kawaida kwani sote ni binadamu na kila binadamu ana mapungufu sasa wewe unataka kuonyesha kwamba hakuna mapungufu ndani yako na ndani ya chama tawala.

Nguvu ya umma haipo pale ambapo demokrasia imetawala. Hebu angalia uchaguzi umefanyika walio wengi wamemchagua wanae mtaka, ww kwa fikra zako chache humtaki, hilo ni tatizo lako. CDM acheni kutafuta ushindi wa mezani !
 
Hongereni kumrudisha Zitto, yule jamaa kichwa sana, anaibeba sana CDM kwa mambo mengi!

Hilo lipo wazi na ni la kweli , ila humu JF watu hawataki kusikia hilo wana watu wao Slaaa, Mbowe, Lissu nk
 
mkuu...ushauri upi... mbona unakua wale wale
ushaur wowote ule wenye manufaa kwa chama cha chadema na demokras kwa ujumla,ila akija mtu hata kwamapenzi kuishaur chadema watu wanaanza kumlani kwa mijineno mikalimikali,mafanikio hayaji siku 1,tuwe wavumilivu na tuchambue pumba na mchele cdm wachukue mchele waache pumba.
 
NGUZO, pudrete chinga tu madre maricon, zitto y tu son maricones, pajaritos, ijos de mariconas singao.
 
ushaur wowote ule wenye manufaa kwa chama cha chadema na demokras kwa ujumla,ila akija mtu hata kwamapenzi kuishaur chadema watu wanaanza kumlani kwa mijineno mikalimikali,mafanikio hayaji siku 1,tuwe wavumilivu na tuchambue pumba na mchele cdm wachukue mchele waache pumba.

Ushauri upi wewe? mbona hakuna ulichoandika!!
 
Back
Top Bottom