CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,879
35,888
Huu ni ushauri wa bure kwenu kama mdau.

Niliwahi kuandika uzi huu pia:

Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM

Humo pia kitengo cha Habari na Propaganda kiliangaziwa ambayo haya yaliwekwa wazi:

Screenshot_20231007-131802.jpg

Kulikoni kuwaendekeza watu hawa ambao kwa sasa wanapigania utengano, badala ya mashirikiano au mapambano kamili dhidi ya adui?

Kulikoni watu hawa kuachwa kuandika wakijinasibu kwa niaba ya chama huku chama kikiwa kimya?

Watu hawa ni mzigo wasiokuwa na msaada wowote kwa chama wala ukombozi wa nchi hii.
 
Wewe unapowatetea kina Mwambukusi na Slaa umekuwa chawa wao.

Mimi nawatetea wananchi ndugu Wala sijajinasibu kuandika Kwa niaba ya mtu ..

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Vipi andiko langu limekugusa ndugu?
 
Huu ni ushauri wa bure kwenu kama mdau.

Niliwahi kuandika uzi huu pia:

Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM

Humo pia kitengo cha Habari na Propaganda kiliangaziwa ambayo haya yaliwekwa wazi:

View attachment 2774316

Kulikoni kuwaendekeza watu hawa ambao kwa sasa wanapigania utengano, badala ya mashirikiano au mapambano kamili dhidi ya adui?

Kulikoni watu hawa kuachwa kuandika ujinga wakijinasibu kwa niaba ya chama huku chama kikiwa kimya?

Watu hawa ni mzigo wasiokuwa na msaada wowote kwa chama wala ukombozi wa nchi hii.
Mbona umeanza kuvuta jezi? Si ulisema una pumzi, speed na nguvu ya kucheza wewe? Imekuwaje tena?
 
Wanaoandika Kwa niaba ya CCM na vibaraka wao Kwa kujua au kutojua hawawezi kuwa wanawatetea CCM.

Hai wanatetea matumbo yao.
Hivi wewe unapowatetea kina Slaa unaandika kwa niaba ya nani CDM au CCM, JF ina Great thinkers, usijifiche kwenye koti la Chadema kama mwenzako Kamanda Asiyechoka ukadhani hawaelewi lengo lako wanaku-zoom tu.

Bandiko hilo wazi wazi linatetea wananchi.

Kwani wewe au mwenzio huyu Uzima Tele hapa kwa ugolo huu mnamtetea nani?

"Sauti ya Watanzania" ni strategy dhaifu sana ya UWT kudhoofisha upinzani. Fuatana nami, unganisha matukio, wajue na kaa nao mbali....

Inaihitaji akili nyIngi kumwona mkaanga mbuyu hapo?

Ninyi si ni hawa hapa?

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
 
Nionavyo mimi wewe ndio uwe wa kwanza kukemewa na Chadema uache unafiki maandazi kuwatetea watu kina (Slaa) waliokataliwa na chama.

Wewe ndiyo mwenye andiko ugolo hili au mwenzako?

"Sauti ya Watanzania" ni strategy dhaifu sana ya UWT kudhoofisha upinzani. Fuatana nami, unganisha matukio, wajue na kaa nao mbali....

Kukemewa na huyu au awaye yote mwenye mkono kwenye andiko ugolo kama hilo, mbona ni sifa kubwa mno ndugu yangu.

Ninakazia:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
 
Mbona umeanza kuvuta jezi? Si ulisema una pumzi, speed na nguvu ya kucheza wewe? Imekuwaje tena?

Wananchi gani unaowaandikia wewe na mabandiko uchwara kama haya hapa chini ndugu?

Screenshot_20231007-153733.jpg

Endeleeni kuandikia CCM huko. Si kujinasibu na ngozi za kondoo kumbe ndani ni fisi.
 
Wananchi gani unaowaandikia wewe na mabandiko uchwara kama haya hapa chini ndugu?

View attachment 2774470

Endeleeni kuandikia CCM huko. Si kujinasibu na ngozi za kondoo kumbe ndani ni fisi.
Acha upuuzi kijana, kuwasemea wananchi haimaanishi kuunga mkono kila ujinga wa wananchi. Halafu hao wamasai usiwafanyi kuwa ni wananchi special over others, wote wana stahiki sawa.
Wewe unajua hasara na mauaji waliyosababisha hao wamasai kwa kuvamia maeneo ya wengine? Unajua junsi wakulima wameuawa na wengine kupewa vilema vya maisha na wengine kuingizwa hasara za mali na hizo jamii za wafugaji kwa kuvamia maeneo ya wakulima hao?
Siyo unaongea tu sababu za utoto wako wa akili. Grow up!!
 
Umeumbuka siyo? Kumbe wananchi wana upuuzi? Sisi huo hatuujui kwa maana hao ndiyo mabosi wetu.

Msidhani hatuwajui. Kutwa kucha mnahaha kutusambaratisha:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Rudisheni mrejesho:

"Kimenuka!"
 
Back
Top Bottom