Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 487
Hivi vita vya CUF na Chadema ni faida kwa CCM.
RITZ: yaani kumbe leo ndio kwanza umelijua hili? kumbe kuongea pumba kwako huko nyuma ulikuwa hujafunguka macho! Karibu.
Hivi vita vya CUF na Chadema ni faida kwa CCM.
Chama cha Udini na Faraka
Hapo kwenye blue, ni kweli mchezo mchafu umefanywa na ccm na maelezo ya Julius Mtatiro yanamaanisha kuwa cuf ni ccm bNaibu katibu mkuu wa cuf ndg. Julius Mtatiro amesema pamoja na mbinu za wapinzani wenzentu jana kusambaza vipeperushi kuwa eti mgombea wa cuf amejitoa ktk kinyang'anyiro cha udiwani utaofanyika hivi punde ili wanabagamoyo wamchague mgombea wao wa cdm, bwana Mtatiro pia amewaomba wana bagamoyo waendelee na msimamo wao thabiti na wamchague mgombea wa cuf. Akiendelea kudadavua Naibu katibu mkuu wa cuf kuwa ikiwa wapinzani wenzao wataendelea kushughulika namna hii basi ccm wataondoka lini madarakani ? Alitegemea mchezo huo mchafu wangefanya ccm kuhofia upinzani lakini waliofanya kila hila ni wapinzani wenzao.
Amemaliza kwa kusema chuki, ubinafsi na umimi vinaharibu demokrasia ya vyama vingi hasa kwa tu-vyama twetu hutu tunatotafuta dola.
Source: page yake ya facebook.
siasa za chadema ni siasa za kijinga kabisa, uongo wa kuzua unamwisho wake. tatizo cdm ni ukristo ndio maana mgombea wake hatakiwi.
pole shehe Ponda umetoka lini rumande?Mwenzako Zitto kabatizwa siku hizi si umesikia anataka kugombea urais kwa kupitia chama cha wakristu!siasa za chadema ni siasa za kijinga kabisa, uongo wa kuzua unamwisho wake. tatizo cdm ni ukristo ndio maana mgombea wake hatakiwi.
wewe unataka ile ya ccm ya kutoa rushwa kama wazazi wao na ngumi live kama zile za Dar?kipi ni kijiweni style?hii ndio elimu ya vijana wa CHADEMA , vijiweni style
wewe unataka ile ya ccm ya kutoa rushwa kama wazazi wao na ngumi live kama zile za Dar?kipi ni kijiweni style?