Chadema waifanyia hila cuf.....?

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
938
125
Naibu katibu mkuu wa cuf ndg. Julius Mtatiro amesema pamoja na mbinu za wapinzani wenzentu jana kusambaza vipeperushi kuwa eti mgombea wa cuf amejitoa ktk kinyang'anyiro cha udiwani utaofanyika hivi punde ili wanabagamoyo wamchague mgombea wao wa cdm, bwana Mtatiro pia amewaomba wana bagamoyo waendelee na msimamo wao thabiti na wamchague mgombea wa cuf. Akiendelea kudadavua Naibu katibu mkuu wa cuf kuwa ikiwa wapinzani wenzao wataendelea kushughulika namna hii basi ccm wataondoka lini madarakani ? Alitegemea mchezo huo mchafu wangefanya ccm kuhofia upinzani lakini waliofanya kila hila ni wapinzani wenzao.
Amemaliza kwa kusema chuki, ubinafsi na umimi vinaharibu demokrasia ya vyama vingi hasa kwa tu-vyama twetu hutu tunatotafuta dola.
Source: page yake ya facebook.
 
siasa za chadema ni siasa za kijinga kabisa, uongo wa kuzua unamwisho wake. tatizo cdm ni ukristo ndio maana mgombea wake hatakiwi.
 
siasa za chadema ni siasa za kijinga kabisa, uongo wa kuzua unamwisho wake. tatizo cdm ni ukristo ndio maana mgombea wake hatakiwi.

hivi majuzi mmesema CDM ndo chanzo cha maandamano ya waislam, eti wameshawishi, mara mnaibuka et ni chama cha wakristo, hv ni udini gan mnaouzungumzia hapa?? Nafikiri wewe ndo mdini. Kwani ni lazima uchangie humu jf? Huna hoja kaa kimya. Kwanza ww ndo mdini, wenye dini zao hawana udini
 
siasa za chadema ni siasa za kijinga kabisa, uongo wa kuzua unamwisho wake. tatizo cdm ni ukristo ndio maana mgombea wake hatakiwi.[/QUOTE

ndugu zangu ccm......tukiona hivi tunafurahi sana kwani vita vya panzi ni furaha ya kunguru........huu udini ni mtaji tosha......2015.....tutaibuka kidedea......chadema na cuf...bifu lenu ni muhimu kwetu
 
shida yetu kubwa watanzania ni kutokua na sera safi, siasa safi, na uzalendo kwa taifa letu kwani hata hoja za msingi tuna ingiza upuuzi kuanzia mwanzo hadi mwisho. Vijana wa Tanzania tuwe makini katika mambo ya taifa na tuepukane na magonjwa tunayo ambukizwa na wazee waliyo ifilisi nchi hii?????????????
 
Back
Top Bottom