CHADEMA wahaha usiku kucha kuhujumu mkutano wa Nape Iringa

Pamoja na kuhaha usiku kucha jana, kumleta Zitto, Msigwa na wale Oil chafu( kina millya), ili kuhujumu mkutano wa dogo Nape Iringa Mjini Chadema wameishia kuabika kwa ajabu sana!! Baada ya kupima na kuona kuwa hawatafanikiwa kushawishi watu wasihudhurie mkutano huo wa CCM Cdm waliamua kuwasihi wana Iringa waende huku wakilia na kushika vichwa, jambo ambalo wamelipuuza wana Iringa maana kila Nape alipozungumza walimshangilia na mwisho katoka uwanjani pale sokoni anasukumwa na vijana mbalimbali tena wasiokuwa na nguo za CCM. Wengi wa hao vijana wakati Nape anafika uwanjani hapo walikuwa wakinyoosha vidole viwili juu.
Hebu angalia hapa kipande cha mkutano
 

Attachments

  • IRINGA SOKONI.jpg
    IRINGA SOKONI.jpg
    244 KB · Views: 2,679
Asante kwa taarifa, ila ukiitazama hiyo picha na kuichambua na kuisoma kwa makini, utagundua mambo mengi sana, naomba niishie hapa.
 
Hivi hawa watu wa namna hii wanatiwa nini mpaka kujigeuza Samaki, tuwajue ili tutakapopata uhuru wao na fizzing vyao wasinufaike. Sasa ndio naelewa kwa nini watu Kama hawa wanachomwaga moto
 
inaskitisha sana great thinker anajivunia matusi yaliyokua yanamwagwa na kiongoz wa chama chake
conclusion:great sinker
 
inaskitisha sana great thinker anajivunia matusi yaliyokua yanamwagwa na kiongoz wa chama chake
conclusion:great sinker
Matusi gani? Mie nimekuwepo kafafanua swala la BAJETI YA 2012/2013, KAFAFANUA KERO MBALIMBALI ZA MUDA MREFU NA KUZITATUA KWANI ALIKUWA NA MKUU WA MKOA NA WILAYA PALE, UGUMU WA MAISHA, AJIRA NA SWALA LA KATIBA MPYA. KWAKO WEWE HAYA NI MATUSI????????????????????????
 
Nape kaona hakuna mtu kafuatilia mkutano wake humu JF, sasa kaingia kaamua kuanzisha thread kwa ID tofauti na kujisifia mwenyewe!!! Mkutano wa CCM ambao umefanikiwa halafu thread na picha zije saa 6 usiku???
 
Mikutano sokoni hapo inakuaje tena? ionekane umejaza watu maana walishajaa hata kabla ya mkutano, ccm kweli imechoka
 
Angekuwa hatishiwi nyau angeelea kula chip kuku mtaa wa Lumumba. Kilichomtoa Dar na kwenda Iringa na mikoa mingine ambayo CHADEMA walifanya mikutano is a classic example ya mtu aliyepatwa na hofu. Jambo moja tu ningetaka kujua, kwa nini Nape yuko mwenyewe? Kabinafsishiwa chama?
 
Hivi ukienda kufanya mazingaombwe kanisani siku ya Jumapili utasema watu walijaa kwa ajili ya mazingaombwe yako?

Kama mkutano ulifanyika sokoni, lazima watu walikuwapo wakiendelea na shughuli zao
 
Chama chenye dola hakiegemei propaganda kama mtaji. Kutekeleza ahadi na kutatua matatizo ya wananchi ndiyo nguzo kuu.
 
Jibu liko kwa watu waliohudhuria mkutano wa Chedema jana 26.6 (angalia blogu ya matukio daimaya Francis Godwin) na watu waliohudhuria mkutano wa ccm leo pale soko. Hapo utapata jibu kuwa wengi wanaoandika hapa jamii Forums ni wapuuzi! Mtu mwenye akili timamu unawezaje kuongelea mkutano wa ccm leo Sokoni Iringa, na kuwasema vibaya chadema waliopata watu wengi namna ile? Namwalika mtoa mada arudie kuangalia tafauti ya picha za mkutano wa chadema na zile za mkutano wa ccm ndipo atagundua ujinga wake!
 
Sasa si uingie kwa A/C yako tu aibu ya nini wakati ndo kazi yako kwny chama,binafsi nakuonea huruma lakini pambana ndo ivo tena 2015 unakuwa zako uhurukenyat
 
Ukiiangalia hii picha, kuanzia upande wa kushoto wa Nape kuna mwavuli na bendera unanyoosha hadi nyuma ya akina mama(inaonekana ni wa kikundi flani cha ngoma) nyuma kidogo, unakata kulia hadi kwa huyu mzee alovaa pama na jezi ya ccm pembeni mwa gari, hawa ndo watu waliokuwa kwenye mkutano!! Waliobaki walikutwa na mkutano ktk shughuli zao sokoni(waliosimama kwenye ngazi za soko)

Nape nakusihi uwe ubaingia kwa ID yako vinginevo wajiaibisha!!
 
Jamani naomba yeyote aweke na zile picha za mkutano wa Zitto kihesa tulinganishe.Hapa ni sokoni na watu ni wachache hivi hakika CCM inakaribia kufa.Halafu nashauri Nape atumie A/C yake halisi.
 
ccm kwisha habari yenu..siku ya soko hata kichaa akipita amejinyea atajaza watu itakuwa msanii nape..umejitahi hata hivyo usithubutu kujilinganisha na peoples power wale ni habari nyingine
 
Back
Top Bottom