CHADEMA wahaha usiku kucha kuhujumu mkutano wa Nape Iringa

Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na kasi ya Nape kufuta nyayo za cdm mikoani, cdm wakiongozwa na makamanda wao kadhaa wamehaha usiku kucha kuamkia leo kujaribu kuzuia mkutano wa CCM mjini Iringa utakaohutubiwa na Nape Nnauye.

Purukushani ilianza kwa kumbeba Zito na baadhi ya vijana wa cdm kina Millya na kufanya mkutano mjini Iringa ambao mkutano mzima uliishia kwa kumshambulia Nape na kuwataka watu wasihudhurie mkutano wa Nape leo.

Tuone leo mwitikio wa wana Iringa kwenye wito wa Nape au Msigwa

siwezi kukulaumu maana jina lako lenyewe linajieleza. Pole na kazi sana cdm kwenye mwanga
 
Nape kiboko yao.

Hivi kweli ukiwa na akili ambazo ni timamu unaweza ukafananisha uwezo wa akili na uwezo wa kujenga hoja wa Nape na kamanda yoyote wa CHADEMA? Nape akajipime uwezo na CCM B aka CUF na CCM C aka NCCR mageuzi hao ndio saizi yake. CHADEMA ni next level, ni sawa ushindanishe MAN U na JK RUVU....
 
AMA KWELI NAPE KIBOKO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! japo baadhi ya viongozi wa ccm hawakubaliki lkn nape anakubalika. ametesa sn ktk ziara zake za iringa
 
Humu raha sana kwani unakutana na wacheshi kama kina Pangolin na wanafki kama giza kuu. Ulikuwa unajua ile mifumuko ya bei na deni unalodaiwa wewe kama Mtanzania?
 
acha kupotosha umma wewe..niko iringa leo ni kero tupu magamba wanapita kila sekunde mitaanzi kunadi mkutano wao japo wa chadema haukunadiwa kwa nguvu kubwa hivi na nyomi lake uliliona..leo tegemeeni watu kiduchu sana
 
Hivi kweli ukiwa na akili ambazo ni timamu unaweza ukafananisha uwezo wa akili na uwezo wa kujenga hoja wa Nape na kamanda yoyote wa CHADEMA? Nape akajipime uwezo na CCM B aka CUF na CCM C aka NCCR mageuzi hao ndio saizi yake. CHADEMA ni next level, ni sawa ushindanishe MAN U na JK RUVU....

Nape mmoja, kwa chadema nzima. Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Nape 'afunika' Kilolo!
[h=3][/h]
Bw Nape Nauye akiwahutubia wananchi Ilula Kilolo leo
wananchi wa Ilula wakiwa katika mkutano huo wa CCM leo
 
Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na kasi ya Nape kufuta nyayo za cdm mikoani, cdm wakiongozwa na makamanda wao kadhaa wamehaha usiku kucha kuamkia leo kujaribu kuzuia mkutano wa CCM mjini Iringa utakaohutubiwa na Nape Nnauye.

Purukushani ilianza kwa kumbeba Zito na baadhi ya vijana wa cdm kina Millya na kufanya mkutano mjini Iringa ambao mkutano mzima uliishia kwa kumshambulia Nape na kuwataka watu wasihudhurie mkutano wa Nape leo.

Tuone leo mwitikio wa wana Iringa kwenye wito wa Nape au Msigwa
Ovyooooo!
 
Back
Top Bottom