chadema wadini

Status
Not open for further replies.

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Idadi kubwa ya viongozi wa Chadema ni wadini Moja. hili ni dalili kwamba Upinzani ni hatari kuliko hata CCM
a)BAVICHA John Heche ,Makamu Mwenyekit Joliana Shonza

Bavicha Shinyanga Mwenyekiti wake, Nzemo Renatus

b)Jumuia ya wanawake
KATIBU Mkuu Baraza la Wanawake la Chadema Taifa (BAWACHA) Naomi Kahiyula

c)Jumuia ya wazee
e)Msemaji wa chama
f)Halmashauri kuu ya taifa
g)makatibu wa chama wailaya kwa mfano Amani Golugwa katibu wa wilayani Arumeru
 
hatujaanza kusikia leo hizo habari .wewendiyo mdini kama ilivyo id yako.umejoin leo na kuja na habari dhaifu
user-online.png
Poor

Today 22:35
#1
Junior MemberArray


Join Date : 23rd July 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
Idadi kubwa ya viongozi wa Chadema ni wadini Moja. hili ni dalili kwamba Upinzani ni hatari kuliko hata CCM
a)BAVICHA
b)Jumuia ya wanawake
c)Jumuia ya wazee
e)Msemaji wa chama
f)Halmashauri kuu ya taifa

Kilaza wewe......sasa si ungeandika tu kwa ile id yako ya zamani?.....

hiyo single ya udini imeimbwa sana tushaizoea tubadilishie tafadhali!
 
Chama kimoja cha ccm/cuf cuf= chama cha uamsho na fujo mbona nyie mna viongozi wengi wa dini moja au hamuoni hilo.. Ppo are so obssessed with cdm... Take a chill pill guys
 
hatujaanza kusikia leo hizo habari .wewendiyo mdini kama ilivyo id yako.umejoin leo na kuja na habari dhaifu
user-online.png
Poor

Today 22:35
#1

Junior MemberArray


Join Date : 23rd July 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
Huyu wala hajajoin leo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom