johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,990
- 142,007
Kiukweli mradi wa Bwawa la Umeme huko Rufiji unaendelea vizuri na binafsi nililiridhishwa na maelezo niliyopewa katika banda la Tanesco pale maonesho ya 7 7.
Nawashangaa sana Chadema wanavyotilia shaka mradi ule ilhali wao visima vya Sabodo viliwashinda japo walipewa Fedha zote za mradi.
Watanzania tuwe Wavumilivu mambo mazuri hayataki papara!