Chadema tutungieni nyimbo za mshikamano

gagonza

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
309
98
Chama chetu cha chadema tunaomba mtutungie nyimbo za mshikamano ili tuzitumie kwenye mikutano yetu ya ndani, wakati wa kufungua mikutano au kufunga ni muhimu sana.
 
Enzi za mwalimu kulikuwa na nyimbo nyingi sana za uzalendo. Nashauri zitungwe nyimbo za kutukuza utaifa. Za chama zinaweza kuwepo lkn taifa kwanza. Angalia nyimbo kama tunawasha mwenge ..., tazama ramani utaona... n.k
 
Nimelipenda wazo lako. Zitungwe nyimbo fupi zitakazoeleweka haraka kwa watanzania na wana chadema kwa ujumla. Zikisisitiza uzalendo kwa nchi yetu na imani ya watanzania kwa chama chao cdm
 
Katibu Mwenezi plz, take action to implement the idea b4 gambas take it.:kev:
 
Chama chetu cha chadema tunaomba mtutungie nyimbo za mshikamano ili tuzitumie kwenye mikutano yetu ya ndani, wakati wa kufungua mikutano au kufunga ni muhimu sana.

SONG OF THE BLUE PARTY

O Hail the party of reason
party of the blue flag

Born in the land of reason
Your name has seven characters;
a name of perfect completeness

Cyan blue is as much a color of peace
As it is a color of love

But…will you hear my cry o party of the learned
fade the red from thine flag o party of reason

radiate peace…radiate hope,
radiate reason; And here is why…

You were born in the land
where all seasons witness peace;
the land of many rivers;
the land of more lakes than we need
the land plenty

You are the son of a good father;
A respected father
in the community of nations

Your father got freedom from nothing but reason
And yes…you are so much like your father….

Nice eyes,
Eyes that see so clearly—inside, and outside borders

Nice ears,
ears that hear everything; everything…
just like your father.

I notice the white on your flag.
That, too, means well
A symbol of peace and clarity of thought

You also have the black symbol on your flag:
Sign of masculinity, the commitment to hard work ahead of you
And a promise of victory
You mean well, o party of reason!

You chose your colors well
party of democracy,
party of development!

Work hard, o party of reason.
Victory is coming…
if not today, tomorrow;
…if not tomorrow, victory will come the day after tomorrow!
 
Enzi za mwalimu kulikuwa na nyimbo nyingi sana za uzalendo. Nashauri zitungwe nyimbo za kutukuza utaifa. Za chama zinaweza kuwepo lkn taifa kwanza. Angalia nyimbo kama tunawasha mwenge ..., tazama ramani utaona... n.k

Tunaweza hata kutumia zilezile za enzi za Mwalimu ambazo hazina harufu ya CCM. Tunaweza kuchukua wimbo kama "Tazama ramani, utaiona nchi nzuri....yenye mito na mabonde mazuri ya nafakaaaa!!! Nchi hiyo mashuhuri hitwa Tanzaniaaaaaa....; tunaziacha zilizokuwa zinaisifia CCM." Binafsi sina tatizo kama tutaukumbuka wimbo fulani wa TANU na kuurudia kwa maana ya kukiri kuwa Tanu ni kama baba yetu wote; Mzazi akikosea mahali hatumkani--mnarekebisha makosa yake na kuendelea kumkubali kama baba.

Naukumbuka mmojawapo tulikuwa tunauimba darasani 1968; "Tanu Afro Shiraziiii, tunaipenda saana, kwa kuwa...tara rarara....nimeshaanza kusahau vingine sasa; si unajua tena 1968 mbali ujue.
 
Twaweza pia ku-edit nyimbo zenye hisia na mvuto zika-reflect utaifa. Mfano: .....Sisi vijana tuko imara tuna ahidi mbele ya chama tutakuwa mashahidi wa chama na serikali...Taifa mbele haturudi nyuma sisi vijana.... Hapa neno chama linaweza kuondolewa pakawekwa neno ambalo ni neutral km umma etc tukajenga uzalendo. Naamini mbegu ya uzalendo iliyoko kwenye moyo wangu ilichagizwa sana na hizi nyimbo tulizokuwa tukiimba wakati tukiwa chipukizi na pia wakati wa mchakamchaka mashuleni
 
Na pia tunaweza ku edit nyimbo za TOT.
 
SONG OF THE BLUE PARTY

O Hail the party of reason
party of the blue flag

Born in the land of reason
Your name has seven characters;
a name of perfect completeness

Cyan blue is as much a color of peace
As it is a color of love

But…will you hear my cry o party of the learned
fade the red from thine flag o party of reason

radiate peace…radiate hope,
radiate reason; And here is why…

You were born in the land
where all seasons witness peace;
the land of many rivers;
the land of more lakes than we need
the land plenty

You are the son of a good father;
A respected father
in the community of nations

Your father got freedom from nothing but reason
And yes…you are so much like your father….

Nice eyes,
Eyes that see so clearly-inside, and outside borders

Nice ears,
ears that hear everything; everything…
just like your father.

I notice the white on your flag.
That, too, means well
A symbol of peace and clarity of thought

You also have the black symbol on your flag:
Sign of masculinity, the commitment to hard work ahead of you
And a promise of victory
You mean well, o party of reason!

You chose your colors well
party of democracy,
party of development!

Work hard, o party of reason.
Victory is coming…
if not today, tomorrow;
…if not tomorrow, victory will come the day after tomorrow!

mmatumbi hapo vp? na mbarbaig je? Lugha gongana hapa...halafu mrefu mno, otherwise a nice try! lol
 
Very good Idea kwa chama makini kama CHADEMA kulichukua.
Nyimbo fupi fupi zenye ujumbe, vibwagizo vizuri na tune yenye mvuto masikioni ni Silaha kubwa kutika kuhasisha watu wapambane pasipo kuchoka kutika kupata haki.
Ilitumika sana na TANU wakati wa kudai uhuru na pia inatumika hadi sasa katika jeshi letu la Ulinzi.

CHADEMA let take this idea seriously na fastly, nina uhakika mtafanikiwa sana kama mtaitumia hii approach now!!
 
mmatumbi hapo vp? na mbarbaig je? Lugha gongana hapa...halafu mrefu mno, otherwise a nice try! lol

Nikweli wimbo mrefu mno. ni kama zile nyimbo za kongo au? haha ha... tatizo la lugha ni kwamba nashindwa kufanya poetry za kiswahili. na kuacha kuji-express kwa sababu tu siwezi poetry ya kiswahili niliona no. let me do what I am able to do.

Gawia watu wawili hii poetry kwenye mkutano na kufanya skit: mwimbaji wa kwanza anaimba kisehemu cha kwanza, wapili anamjibu kwa kuimba kisehemu cha pili, halaf yule wa kwanza anarudi kumalizia kisehemu kilichobaki. Hii yote inafanyika wakati background instumental inatembea. It should be OK.
 
Twaweza pia ku-edit nyimbo zenye hisia na mvuto zika-reflect utaifa. Mfano: .....Sisi vijana tuko imara tuna ahidi mbele ya chama tutakuwa mashahidi wa chama na serikali...Taifa mbele haturudi nyuma sisi vijana.... Hapa neno chama linaweza kuondolewa pakawekwa neno ambalo ni neutral km umma etc tukajenga uzalendo. Naamini mbegu ya uzalendo iliyoko kwenye moyo wangu ilichagizwa sana na hizi nyimbo tulizokuwa tukiimba wakati tukiwa chipukizi na pia wakati wa mchakamchaka mashuleni

Same here Mkuu. Kinakuwa kitu hakitoki for life.... Its a very good Idea!
 
Back
Top Bottom