Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Akima Mama mwaka huu ni mtaji mkubwa sana wa CDM kwa vile wamegundua kupewa Kanga, Tshirt na kofia pekee za kijani na njano bila kuwapa chu.pi haiwasaidii kuwasitiri wanabaki exposed kwa Mwigulu Nchemba. Wanaona bora wamchague mbunge atakayewafundisha kujitegemea wanunue Ch.upi zao, kanga zao, tshirt zao na kofia zao wenyewe.Misafara inayoonekana kitaa cha USA ni kina Mama na Wazee cjui vijana watukauja baadae sana kupiga kura na kulinda kama walivyoagizwa but now Wamama wa Meru wapo kwenye folen ya kumsulubu Mtu ambao wengi wao humu JF hawataamini.