CHADEMA tumuunge mkono W Malecela

Rev. vipi umeshakatiwa kitu kidogo kwa ajili ya kupiga debe??? Ni vema CDM tusiendekeze na tusi-support sana mfumo wa kifalme katika nchi yetu.

Labda Kakatiwa, maana hata cheo cha uchungaji kakitoa
 
sisiemu ni matakataka alikua na mchango kwa taifa zaidi yakua alikua anafisadi hela zetu?hata baba yake alikua mwizi tu,hakua na mchango wowote zaidi yakuendekeza wizi,?hatumtaki wala chadema hatuna ushirikiano na majizi
 
Masa ni wazi baadhi ya wajummbe hawajakuelewa ama hawajaelewa naamna wabunge wa EA wanapatikanaje!
Sijaelewa kwa msimamo wao inamaanisha wabunge wa CDM wasipige kura.
Otherwise am in support of WM a.k.a. Baharia au mzee wa site 'Makongoro Nyerere'
 
Ukitumwa jambo fulani lipime kwanza, aibu yako aibu yake? Kama yuko magamba kimakosa mwambie arekebishe makosa kwanza kabla ya kuja mbele za JF, simple common sense.

I thought Retired Kumbe Tired Rev.

Aisee uko mbali na ukweli!
 
Masa ni wazi baadhi ya wajummbe hawajakuelewa ama hawajaelewa naamna wabunge wa EA wanapatikanaje!
Sijaelewa kwa msimamo wao inamaanisha wabunge wa CDM wasipige kura.
Otherwise am in support of WM a.k.a. Baharia au mzee wa site 'Makongoro Nyerere'

Walio wengi hajawanielewa kabisa! Sorry for them

Rt Rev Masa
 
Masa ni wazi baadhi ya wajummbe hawajakuelewa ama hawajaelewa naamna wabunge wa EA wanapatikanaje!
Sijaelewa kwa msimamo wao inamaanisha wabunge wa CDM wasipige kura.
Otherwise am in support of WM a.k.a. Baharia au mzee wa site 'Makongoro Nyerere'

Hata mimi ninashindwa kuelewa uelewa wa watu wengine hapa JF. Hao wagombea wa CCM wa ubunge wa EAC hawatashindanishwa na wagombea kutoka vyama vingine vya upinzani including chama shirikishi cha CUF, watashindanishwa wao kwa wao (CCM) na wanatapigiwa kura na wabunge wote wa JMT, including wabunge wa CDM.

Ndipo linapokuja suala JE kura za wabunge 49 wa CDM ziende wapi kati ya hao 9. Kumbuka CDM kwenye Bunge they are minority, lakini kama watapiga KURA as a GROUP watakuwa na say ya kuamua nani awe mbunge wa EAC kutoka CCM. Kumbuka hata USA minorty eg. Black American, Spanish and Jews ndiyo huamua nani awe Rais wa US because wao wanapiga kura as a GROUP.

Hivyo basi CDM wana option mbili wapige kura kuchangua miongoni mwa CCM au wasipige kura kabisa. Lakini lazima wabunge hao 3 watatoka CCM. Kama ungekuwa wewe ungechagua nini?
 
ngekuwa vyma kama ungemshauri atoke huko ccm aje chadema.......hii adabu ya siku mbili haijanishawishi huyu jamaa kuingia chadema
 
dah mtihani sana! Ubinadamu ukikuingia ndio hivyo tena! all the best Willy "Sauti ya umeme"
 
Hata mimi ninashindwa kuelewa uelewa wa watu wengine hapa JF. Hao wagombea wa CCM wa ubunge wa EAC hawatashindanishwa na wagombea kutoka vyama vingine vya upinzani including chama shirikishi cha CUF, watashindanishwa wao kwa wao (CCM) na wanatapigiwa kura na wabunge wote wa JMT, including wabunge wa CDM.

Ndipo linapokuja suala JE kura za wabunge 49 wa CDM ziende wapi kati ya hao 9. Kumbuka CDM kwenye Bunge they are minority, lakini kama watapiga KURA as a GROUP watakuwa na say ya kuamua nani awe mbunge wa EAC kutoka CCM. Kumbuka hata USA minorty eg. Black American, Spanish and Jews ndiyo huamua nani awe Rais wa US because wao wanapiga kura as a GROUP.

Hivyo basi CDM wana option mbili wapige kura kuchangua miongoni mwa CCM au wasipige kura kabisa. Lakini lazima wabunge hao 3 watatoka CCM. Kama ungekuwa wewe ungechagua nini?
Shukran mkuu wangu umeeleza vizuri sana na ndio maana William alikwenda ku lobby kwa wabunge wa CCM, Chadema na vyama vingine hivyo kabla ya chama au mbunge kuahidi kura yake kwa mgombea huyu ni lazima chama kiweke masharti yao na vipi mgombea huyu atasimamia sera zao kuhusiana na jumuiya hii. Ikumbukwe tu ni sisi tunaowatuma wabunge hawa kutuwakilisha hivyo ni jukumu la wabunge wa Chadema kuweka wazi kile wanacho simamia ktk mahusiano ya Jumuiya ya EAC kwa kila mbunge atakayekuja kuomba ridhaa yao - atakaye appeal kwao ndiye atapewa kura zao.
 
Hata mimi ninashindwa kuelewa uelewa wa watu wengine hapa JF. Hao wagombea wa CCM wa ubunge wa EAC hawatashindanishwa na wagombea kutoka vyama vingine vya upinzani including chama shirikishi cha CUF, watashindanishwa wao kwa wao (CCM) na wanatapigiwa kura na wabunge wote wa JMT, including wabunge wa CDM.

Ndipo linapokuja suala JE kura za wabunge 49 wa CDM ziende wapi kati ya hao 9. Kumbuka CDM kwenye Bunge they are minority, lakini kama watapiga KURA as a GROUP watakuwa na say ya kuamua nani awe mbunge wa EAC kutoka CCM. Kumbuka hata USA minorty eg. Black American, Spanish and Jews ndiyo huamua nani awe Rais wa US because wao wanapiga kura as a GROUP.

Hivyo basi CDM wana option mbili wapige kura kuchangua miongoni mwa CCM au wasipige kura kabisa. Lakini lazima wabunge hao 3 watatoka CCM. Kama ungekuwa wewe ungechagua nini?

kwa mahesabu hayohayo kuna uwezekano wa watakayemchagua toka CHADEMA akapita kama watampigia wote kwa pamoja yaani wabunge 49 wa CHADEMA plus wengineo wanaoweza kuvutiwa na sera!
 
ngekuwa vyma kama ungemshauri atoke huko ccm aje chadema.......hii adabu ya siku mbili haijanishawishi huyu jamaa kuingia chadema

Edson

William nayofautiana naye sana kwenye issue nyingi! Kama member wa muda mrefu huhitaji ushahidi tafuta thread ya Chacha Wangwe. Kwa hili tumuunge mkono yeye tu bora kuliko hao CCM 9 wengine
 
William Malecela ni CCM damu na hata akienda huko kwenye bunge la EAC atakwenda kuwakilisha mawazo na sera za CCM ambazo kwa kweli zimefeli kwa kiasi kikubwa sana. CCM wametumaliza na kutufilisi, wanatuua kila siku, wanatuibia na kutunyonya. CCM si ndugu yetu na wala si rafiki yetu bali ni adui yetu mkubwa, CCM ni adui na ni hatari kuliko ukimwi.

William hana nia ya kuleta mabadiliko katika Tanzania bali ana nia ya kuendeleza uchafu unaofanywa na CCM, huwezi kuangusha mbuyu kwa kukaa juu yake bali unatakiwa uwe mbali ama pembeni yake ili kuuangusha kwa shoka.

Amejiunga na wachafu na yeye ni mchafu, asitegemee kabisa kupata support ya wana Chadema walio wengi wenye kiu ya kweli ya mabadiliko hapa Tanzania. Pamoja na haya pia anaonekana hana alijualo, ni muuoga, muongo na mropokaji.
Ana uhakika gani kwamba watanzania wengi walio nje ya nchi ni wanachama wa Chadema?, hata kama ni wanachama wa chadema yeye kinamuhusu nini ama kinamuuma nini?. Anaogopa kwamba chadema inakuwa haraka na itakuja kuchukua nchi muda si mrefu.
 
Tatizo lililopo ni sera za CCM. hata kama Willy ni mtu safi au mwenye mawazo mazuri kiasi gani, chama huwa kinatangulia kwanza then wananchi na nchi yao. sasa kwa CCM ni Chukua Chako mapema kwa ari zaidi, kasi zaidi na nguvu zaidi.
Poa tutampigia kura ili akaongeze utajiri kwa mzee Malecela na Mama Kilango.
Ila hawezi kusaidia lolote kwenye kuipigania nchi kwenye EAC.
 
Pongezi kwa Kazi nzuri ya Arumeru, Kirumba, Lizaboni na Kiwira. William Malecela anajitaji kura za CDM awaze kuwa Mbunge wa EA. William ni mwanaCCM Aliye huko kimakosa anaweza simamia taifa kulikouCCM, ni msikivu na pamoja na mapungufu yote alonayo Mimi naona ni bora kuliko hao Tisa wengine nidhamu ya CCM. Sintoshangaa William siku moja akija CDM Chama makini aungane na wengine kuleta mabadiliko ya kweli. Ninaamini hata hoja za CDM baharia atazisimamia

Best wishes Malecela JNR

Rt Rev Masa

Nani amekuambia CHADEMA hawana Mgombea EA?
Wacha wafu wakabebane wenyewe!
 
Minayemfahamu ni Rev Fr Masanilo, ila huyu Masanilo aliyeibuka leo nadhani ana kichaa kinamsumbuwa.
 
Pongezi kwa Kazi nzuri ya Arumeru, Kirumba, Lizaboni na Kiwira. William Malecela anajitaji kura za CDM awaze kuwa Mbunge wa EA. William ni mwanaCCM Aliye huko kimakosa anaweza simamia taifa kulikouCCM, ni msikivu na pamoja na mapungufu yote alonayo Mimi naona ni bora kuliko hao Tisa wengine nidhamu ya CCM. Sintoshangaa William siku moja akija CDM Chama makini aungane na wengine kuleta mabadiliko ya kweli. Ninaamini hata hoja za CDM baharia atazisimamia

Best wishes Malecela JNR

Rt Rev Masa

Tupa kule.......CDM wamuunge mkono kwa lipi?
 
Nani amekuambia CHADEMA hawana Mgombea EA?
Wacha wafu wakabebane wenyewe!
Bangi za ukubwani zinamsumbuwa huyo, angejuwa CCM walivyo na roho mbaya na kuwata Mapamnga wabunge wetu wa Mwanza na kumuhujumu Lema ili asiwe Mbunge huwezi kusimama mbele ya wanaume rijali kuja kuongea mambo ya kuisaidia CCM. Nampa ushauri huyu mchungaji Masanilo ambaye nahisi ametengwa na kanisa kwa kufuja sadaka za waumini aizingatie kauli ya George Bush isemayo Stand with us or stand with our enemy side.
 
Back
Top Bottom