CHADEMA tumuunge mkono W Malecela

Kama W.J Malecela ndiyo "Mzee Es", kitu ambacho naamini na ni wazi kabisa, basi hafai kabisa mkuu! Piga! Ua! Garagaza!
 
Hapa ndipo utaona zile kelele za CCM kumuweka Makinda uspika kwa minajili ya kutaka usawa wa jinsia zilikuwa geresha tu, nia ilikuwa kumuondoa Sitta.

Watu 9 hamna mwanamke hata mmoja!

Wanawake nao wana kundi lao, niliweka majina ya kundi moja tu ambalo ni la wanaume kutoka CCM upande wa Bara ambako William Malecela anagombea.

Kuna makundi matano:

Wanawake Zanzibar (nafasi 1)
Wanawake Bara (nafasi 2)
Wanaume Zanzibar (nafasi 2)
Wanaume Bara (nafasi 3)
Upinzani (nafasi 1)

Majina ya Wagombea kwenye hizo nafasi ni haya hapa:

Kundi la wanawake kutoka Zanzibar: Septuu Nassor (177), Safia Ali Rijaal (169) na Mariam Usi Yahaya (179).

Kundi la wanaume (Zanzibar): Dk Said Bilal (197), Abdallah Ali Mwinyi(187), Zuber Ali Maulid (176), Dk Haji Mwita Haji (168), Amada Khatibu (167) na Hamis Jabir Makame (143).

Kundi la wanawake (Bara): Angela Kizigha (160), Janeth Mmari (133), Janet Mbene (116), Fancy Nkuhi (147), Shyrose Bhanji (145) na Godberha Kinyondo (115).

Kundi la wanaume (Bara): Adam Kimbisa (196), Dk Edmund Mndolwa (159), Siraju Kaboyonga (153), Bernard Mulunya (143), William Malecela (136), Elibariki Kingu (132), Evance Rweikiza (125), Mrisho Gambo (121) na Charles Makongoro Nyerere (113).

Kundi la mwisho ni mwakilishi wa vyama upinzani ambaye kila chama kitatoa jina moja then wanapigiwa kura na Bunge zima (hapa hakuna restriction ya gender)
 
Septuu Nassor wa Zanzibar ni mtoto wa Samia Suluhu huyu Waziri [?]

CCM ni watoto na familia za waliopo madarakani mwanzo mwisho

*Update
Sie huyo mwanawe, mwanawe Samia Suluhu ni Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
 
Kama anataka kura za CHADEMA si awe mwanachama wa CHADEMA au hilo kashindwa fikiria
 
Pongezi kwa Kazi nzuri ya Arumeru, Kirumba, Lizaboni na Kiwira. William Malecela anajitaji kura za CDM awaze kuwa Mbunge wa EA. William ni mwanaCCM Aliye huko kimakosa anaweza simamia taifa kulikouCCM, ni msikivu na pamoja na mapungufu yote alonayo Mimi naona ni bora kuliko hao Tisa wengine nidhamu ya CCM. Sintoshangaa William siku moja akija CDM Chama makini aungane na wengine kuleta mabadiliko ya kweli. Ninaamini hata hoja za CDM baharia atazisimamia

Best wishes Malecela JNR

Rt Rev Masa


sasa hapa ndiyo umemsaidia au umemaliza. Hizi siasa za reverse ndiyo zilimmaliza Sioi Arumeru
 
Back
Top Bottom