CHADEMA, tumsamehe Zitto tusonge mbele; awe mtu asiye na madhara kama Shibuda!

Wakati wa haraksti za ukombozi wa afrika kusini wasaliti aina ya kina zzk walikiwa wanaitwa "imbhimbhi" hakuna adhabu stahiki waliyokuws wakipewa zaidi ya kuvishwa tairi shingoni na kuchomwa moto mpaka kufa...zito ajipime na kwa mifano hii ya wanaharakati na wskombozi wa kweli atoe maamuzi juu ya aliyofanya na aombe msamaha wa dhati la sivyo anastahili "kifo cha kisiasa" kwani ni "imbhimbhi wa kisiasa"

kumsamehe zzk ni sawa na kumwacha aondoke nyoka aliyekuuma
 
Tumekuwa na mihemko na hasira muda mrefu na vitu vilivyokkuwa vikitoke kwenye chama chetu, sasa naona ni muda muafaka kumsamehe huyu bwana na tusonge mbele. Shibuda huwa tunakuwa tumemsamehe kabla hata hajasema kitu wala hajafanya kitu, mimi kwa mapendekezo yagu naona hata Zitto asamehewe hata kabla hajawaza kitu!

Tumsamehe tuu pamoja na kauwa sidhani kama atakuwa tayari kuomba msamaha, Tumsamehe na tujenge chama kwa upya kwa spidi isiyo ya kawaida.

hiyo itakuwa sawa na kucheza mbele ya kinywa cha mamba mwenye njaa kali sana! zzk hastahili huruma yeyote ya chama makini kama CHADEMA, ccm wanaweza kumchukua na kumpa uenyekiti maana walishirikiana nae vyema kuua ndoto za watanzania wanyonge
 
tumekuwa na mihemko na hasira muda mrefu na vitu vilivyokkuwa vikitoke kwenye chama chetu, sasa naona ni muda muafaka kumsamehe huyu bwana na tusonge mbele. Shibuda huwa tunakuwa tumemsamehe kabla hata hajasema kitu wala hajafanya kitu, mimi kwa mapendekezo yagu naona hata zitto asamehewe hata kabla hajawaza kitu!

Tumsamehe tuu pamoja na kauwa sidhani kama atakuwa tayari kuomba msamaha, tumsamehe na tujenge chama kwa upya kwa spidi isiyo ya kawaida.

tumsamehe zitto?ngoja nikajisaidie kwanza halafu nirudi hapa!
 
hiyo itakuwa sawa na kucheza mbele ya kinywa cha mamba mwenye njaa kali sana! zzk hastahili huruma yeyote ya chama makini kama CHADEMA, ccm wanaweza kumchukua na kumpa uenyekiti maana walishirikiana nae vyema kuua ndoto za watanzania wanyonge

Huwa hamna mtu asiyestahili msamaha, mbona Shibuda tunamlea na tunamsamehe na kumcheka tuu akilita uCCM wake? Zitto nae tumchukulie hivyohivyo!
 
mkuu hayo masharti ni magumu, mbona shibuda huwa tunamsamehe kabla hata hajasema wala kufanya chochote? Mie naona zitto nae apewe nafasi kama ya shibuda, awe anasamehewa kabla ya kusema wala kufanya chochote kwa afya ya chama, sio kwamba anaweza kuleta madhala lakini tumsamehe!

Mbona mungu mwenyewe huwa anatusamehe, na sisi tuonyeshe upevu, tumsameha, najua atakuwa ameishaaanza kuelewa anavyotakiwa kuwa!

kwa makosa aliyofanya alipashwa kuvuliwa nguo na kucharazwa bakora.halafu afunguliwe mbwa.eti huyu ni msomi wa chuo kikuu cha daressalaam anafanya mambo ya aibu namna hii.prof.mukandala anajisikiaje?
 
Inasamehe msaliti??


Katika nukuhu zangu nimeelezea kwenye biblia kulikuwa na wasaliti wawili maarufu, Peter na Yuda, Yuda alisaliti kwa hela na akaishia kujinyonga, Peter alisaliti kwa woga, akatubu na kuwa Pillar ya Christianity, sasa yawezekana jamaa alisaliti kwa hela, akiomba msamaha tumsamehe kwani kwa kufanya hivyo tutajijenga zaidi!
 
kwa makosa aliyofanya alipashwa kuvuliwa nguo na kucharazwa bakora.halafu afunguliwe mbwa.eti huyu ni msomi wa chuo kikuu cha daressalaam anafanya mambo ya aibu namna hii.prof.mukandala anajisikiaje?

Kila mwanadamu ana weaknesses zake, hela ni jaribu kuuubwa saana ukiweza kulishinda Mungu akubariki, suala ni msamaha wa dhati! Wewe ungepewa mabilioni ungethamini usomi wako ndugu? Mimi nathamini utu na elimu yangu, wengine hawawezi!
 
Zzk=imbhimbhi no more no less.

Mkuu, katika mtu nisiye mthamini duniani ni msaliti, lakini kwa case ya Zitto kwa kuwa tuna mfano wa mtu wa kariba yake, i mean Shibuda, tumsamehe na tuassume Zitto = Shibuda = Wakereketwa wa CCM, then tum handle with care, unaweza kuta unafika wakati akaanza kujitambua!
 
MUNGU hajawahi kusamehe na hawezi kusamehe mtu mwenye kiburi!MUNGU hutoa grace period na kukuonesha makosa yako waziwazi ili ujutie na ikiwezekana ujishushe ukiri kwa kinywa chako kuwa umemkosea na utubu.Huwezi kushupaza shingo halafu usivunjike.MUNGU ameweka kanuni za asili ambazo ukizivunja lazima ukabiliane na matokeo.Ukiutemea mate upepo yatakurudia usoni.Tena kwa wale tunaoamini biblia,kitabu cha Yeremia anasema "amelaaniwa yeye aushikaye upanga kilegevu ili asiue"Katiba ya CDM ni sheria hivyo ni kama upanga.Kutoitekeleza kumwajibisha zitto,kutasababisha laana kwa CDM.Naamini huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa CHADEMA!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hoja kwa hoja haya ndo mabo yanayotakiwa.Sijakupata vema unaposema Mungu hajawahi kusamehe!
 
Kama Zitto, Duni, Rashid, Lowasa, Sumaye, Sitta, Membe, January, n.k wanataka kugombea nafasi yoyote ndani ya vyama vyao shida, hofu na wasiwasi iko wapi na kwa nani? Si waachiwe wajumbe wenye mamlaka ya kuwapitisha au kuwatosa wafanye kazi yao kwa njia ya kura ndani ya mikutano halali ya vyama? Kosa la wanaotaka kuteuliwa kugombea uongozi ndani ya vyama vyao liko wapi? Nani anawakataza kwa sababu zipi? Kila mtu apige kampeni ya nguvu ili kuwashawishi wajumbe wenye mamlaka ya kuwakubali au kuwakataa kushika nafasi ndani ya vyama vyao, kinyume na hivyo ni walakini mkubwa wa demokrasia ndani ya vyama. Hivyo, Zitto na wengine waonwe kama watu huru wenye haki ya kufanya vile wanavyotamani kufanya kwa nja ya kidemokrasia ndani ya vyama.
 
Mungu akusamehe bure hujui ufanyalo labda akili ya kiroba zitto ana makosa 11 amekiri wewe sijui unatoa wapi sijui mambo ya kugombea uenyekiti ..
 
Back
Top Bottom