majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
Jihurumie wewe na familia yako[/QUOTE,
nilifundishwa na ninafundishwa kumpenda jirani yangu kama ninavyoipenda nafsi yangu!
Jihurumie wewe na familia yako[/QUOTE,
nilifundishwa na ninafundishwa kumpenda jirani yangu kama ninavyoipenda nafsi yangu!
Wakati wa haraksti za ukombozi wa afrika kusini wasaliti aina ya kina zzk walikiwa wanaitwa "imbhimbhi" hakuna adhabu stahiki waliyokuws wakipewa zaidi ya kuvishwa tairi shingoni na kuchomwa moto mpaka kufa...zito ajipime na kwa mifano hii ya wanaharakati na wskombozi wa kweli atoe maamuzi juu ya aliyofanya na aombe msamaha wa dhati la sivyo anastahili "kifo cha kisiasa" kwani ni "imbhimbhi wa kisiasa"
Tumekuwa na mihemko na hasira muda mrefu na vitu vilivyokkuwa vikitoke kwenye chama chetu, sasa naona ni muda muafaka kumsamehe huyu bwana na tusonge mbele. Shibuda huwa tunakuwa tumemsamehe kabla hata hajasema kitu wala hajafanya kitu, mimi kwa mapendekezo yagu naona hata Zitto asamehewe hata kabla hajawaza kitu!
Tumsamehe tuu pamoja na kauwa sidhani kama atakuwa tayari kuomba msamaha, Tumsamehe na tujenge chama kwa upya kwa spidi isiyo ya kawaida.
tumekuwa na mihemko na hasira muda mrefu na vitu vilivyokkuwa vikitoke kwenye chama chetu, sasa naona ni muda muafaka kumsamehe huyu bwana na tusonge mbele. Shibuda huwa tunakuwa tumemsamehe kabla hata hajasema kitu wala hajafanya kitu, mimi kwa mapendekezo yagu naona hata zitto asamehewe hata kabla hajawaza kitu!
Tumsamehe tuu pamoja na kauwa sidhani kama atakuwa tayari kuomba msamaha, tumsamehe na tujenge chama kwa upya kwa spidi isiyo ya kawaida.
hiyo itakuwa sawa na kucheza mbele ya kinywa cha mamba mwenye njaa kali sana! zzk hastahili huruma yeyote ya chama makini kama CHADEMA, ccm wanaweza kumchukua na kumpa uenyekiti maana walishirikiana nae vyema kuua ndoto za watanzania wanyonge
mkuu hayo masharti ni magumu, mbona shibuda huwa tunamsamehe kabla hata hajasema wala kufanya chochote? Mie naona zitto nae apewe nafasi kama ya shibuda, awe anasamehewa kabla ya kusema wala kufanya chochote kwa afya ya chama, sio kwamba anaweza kuleta madhala lakini tumsamehe!
Mbona mungu mwenyewe huwa anatusamehe, na sisi tuonyeshe upevu, tumsameha, najua atakuwa ameishaaanza kuelewa anavyotakiwa kuwa!
Inasamehe msaliti??
kwa makosa aliyofanya alipashwa kuvuliwa nguo na kucharazwa bakora.halafu afunguliwe mbwa.eti huyu ni msomi wa chuo kikuu cha daressalaam anafanya mambo ya aibu namna hii.prof.mukandala anajisikiaje?
Zzk=imbhimbhi no more no less.
Hoja kwa hoja haya ndo mabo yanayotakiwa.Sijakupata vema unaposema Mungu hajawahi kusamehe!MUNGU hajawahi kusamehe na hawezi kusamehe mtu mwenye kiburi!MUNGU hutoa grace period na kukuonesha makosa yako waziwazi ili ujutie na ikiwezekana ujishushe ukiri kwa kinywa chako kuwa umemkosea na utubu.Huwezi kushupaza shingo halafu usivunjike.MUNGU ameweka kanuni za asili ambazo ukizivunja lazima ukabiliane na matokeo.Ukiutemea mate upepo yatakurudia usoni.Tena kwa wale tunaoamini biblia,kitabu cha Yeremia anasema "amelaaniwa yeye aushikaye upanga kilegevu ili asiue"Katiba ya CDM ni sheria hivyo ni kama upanga.Kutoitekeleza kumwajibisha zitto,kutasababisha laana kwa CDM.Naamini huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa CHADEMA!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums