CHADEMA tumbo joto, ni kuhusu uhusika wao kwenye mlipuko!

kama mbowe amekalia ushahidi jamii imueleweje? inamuona kuwa ni GAIDI TU. NA ATAPIGWA TU

nafikiri bado wanafikiria mtu stahiki wa kumpa lkn kwa sasa na hali hii nchemba anayokaimu u amiri jeshi mkuu,wallah wakiutoa huo ushahidi ni sawa na kuutumbukiza chooni,mi nadhani serikali isingetegemea ushahidi wa mbowe ila ingefanya kazi yake na watuhumiwa wafikishwe mbele ya sheria,mbona yule kamanda aliyeuwawa kule mwanza fasta walianza kukamata watu bila hata kuomba ushahidi mahali.....leo vp arusha.
 
Kuwa na shahada na cheti si kwamba umesoma sana. Unaweza kuwa katika mitihani ulikuwa wa kwanza lakini kumbe ni katika Wapumbavu, au unaweza kuwa wa mwisho darasani katika wenye akili.

Kumbe wewe bado katika karne hii ya Digitali unababaika na vyeti!!!!!!!!!

Waangalie wale waliojipachika vyeti vya kuitwa DR's na kisha waangalie wasio hata fikiria kuitwa DR's jinsi walivyo na akili katika kupambanua mambo.

Mimi elimu yangu ni darasa la saba (Fuatilia utaniamini)lakini ninajua kuwa naweza kuwa sawa na wale unaowaita kuwa wana vyeti vya kidato cha sita.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Mbona unajikanyaga kanyaga, kama ulitaka kusema Mbowe ana akili basi ungesema hivyo na ungeeleweka. Ila ukitumia neno MSOMI, halina maana nyingine zaidi ya kusema mtu huyo ameenda SHULE, bila kujali kuwa ameelimika au lah. JIFUNZENI KISWAHILI WAFUASI WA CHADEMA, na huu UDHAIFU uliouonyesha hapa katika kutofautisha vitu vidogo vidogo tu, umenidhihirishia kuwa wewe ni DARASA LA SABA, tena usiye JITAMBUA, maana kuna darasa la saba wengine wana uelewa mzuri tu. ILA WEWE YAKUPASA URUDI SHULE ILI UKAONDOE UJINGA.
 
Mtoa mada anaweweseka yeye asubiri ushahidi kwani walishapewa deadline useme imepita au CCM imeanza tena kuchezesha Kiduku ili THE GREAT THINKERS wacheze? Ngoma zenu na Komba, Kopa n.k mnafikiri zina washabiki kila mahali ; Hapa tunaongea SUBSTANCES zenye ushahidi wa ukweli uliofanyiwa utafiti na siyo ushabiki wa kupoteza na kupofusha watu kama wa akina Nape na Nchemba.
 
nafikiri bado wanafikiria mtu stahiki wa kumpa lkn kwa sasa na hali hii nchemba anayokaimu u amiri jeshi mkuu,wallah wakiutoa huo ushahidi ni sawa na kuutumbukiza chooni,mi nadhani serikali isingetegemea ushahidi wa mbowe ila ingefanya kazi yake na watuhumiwa wafikishwe mbele ya sheria,mbona yule kamanda aliyeuwawa kule mwanza fasta walianza kukamata watu bila hata kuomba ushahidi mahali.....leo vp arusha.

CHADEMA uwa wana msemo "peeeeple's power", sasa kwanini wasiuweke huo USHAHIDI ambao upo katika mfumo wa video kwenye YOUTUBE ili wananchi ama nguvu ya umma ijionee halafu wananchi waamue nini cha kufanya.

KWANINI MBOWE HAWEKI USHAHIDI HUO KWENYE YOUTUBE ILI KILA MWANANCHI AUONE, KAMA KWELI UPO?
 
Kaka wait and see wacha n'geng'eng'eeee utakula fimbo ofcoz uliyoyaandika hapa na yaliyopo kwenye waraka wa Mtikila are the same you are relatieves if not the very one.CCM IMECHOKWA NA KILA MTU AND ITS YOUR TIME TO GET OUT LIKE NOT yetu macho no more tme for you and your corrupt minded politics!
 
CHADEMA uwa wana msemo "peeeeple's power", sasa kwanini wasiuweke huo USHAHIDI ambao upo katika mfumo wa video kwenye YOUTUBE ili wananchi ama nguvu ya umma ijionee halafu wananchi waamue nini cha kufanya.

KWANINI MBOWE HAWEKI USHAHIDI HUO KWENYE YOUTUBE ILI KILA MWANANCHI AUONE, KAMA KWELI UPO?

hinaonekana ccm mnahaha kasabu hamjui kuusu hiyo video, ningemshauri Mbowe haendelee kuwa na hiyo video ili haw ccm waendelee hivi hivi kama huyu mtoa mada ili waendelee kuumia
 
Tuwe wa kweli mkuu, uwezi kulinganisha ulinzi wa rais na raia wa kawaida, ndio maana umeona mwenyewe ulinzi ulivyo imarishwa kabla hata ya Obama kuwasili nchini. Hivyo, ingekuwa ni busara kwa wananchi wa Arusha badala ya kupiga polisi mawe, wao wangempiga huyo wanae dai amerusha bomu.

Hizi propaganda zako hazitaisaidia ccm 2015.
Je, unamjua Bakari Yuda Barnaba? Huyu ameandika maelezo kwa mkono wake na kueleza mbele ya wakili Mabere Marando kuwa yeye kama mlinzi wa mkutano wa Chadema alimwona aliyetuma Bomu na akamkimbilia ili amkamate. Akapigwa Risasi na Polisi. Kadhalika mtu wa pili aliyekaribia kumkamata. mtupa bomu akaingia kwenye gari binafsi akasindikizwa na gari la polisi ambayo namba yake ilishawekwa huku JF. Need you more to say...
Kwa taarifa yako hayo ndo maelezo sahihi.
 
Mkuu hivi unadhani mimi ni mvivu kama wewe? kukaa hapo na kusubiri Dr Slaa akupe viroba na bangi ili uje humu umtete siku nzima? mimi nina biashara zangu zinajiendesha, mwanamme ana kula kwa jasho lake, vya kupewa sio vizuro yakhe!! siku utaombwa wewe.

ongera mkuu kwa biashara, hiyo biashara yako unamuuzia mchema na jk na mimi pia nataka uniuzie me ni mteja mzuri sana kuliko hao....
 
Mkuu hivi unadhani mimi ni mvivu kama wewe? kukaa hapo na kusubiri Dr Slaa akupe viroba na bangi ili uje humu umtete siku nzima? mimi nina biashara zangu zinajiendesha, mwanamme ana kula kwa jasho lake, vya kupewa sio vizuro yakhe!! siku utaombwa wewe.
Hamy D,
wewe ambaye hata huna ujasiri wa kuweka Verified ID yako hapa una ujasiri gani wa kumtukana Dr Slaa shujaa wa watanzania kiasi hiki? Jiheshimu mkuu, hata yule unayetaka awe Rais wa Tz hana robo ya heshima kama Dr Slaa ktk jamii ya watz. Tuweke mipaka ktk maneno yetu. Ni ushauri TU.
 
kama mbowe amekalia ushahidi jamii imueleweje? inamuona kuwa ni GAIDI TU. NA ATAPIGWA TU
Unataka ampe nani? muuaji,..n tahira tu ndiyo anaweza kushinikiza ushahidi upelekwe polisi wakati walio ua kwa kurusha bomu na kuwapiga risasi wananchi wa Arusha ni Polisi kwa maagizo ya Mwigulu na Kinana...
 
Ndugu wana JF, sielewi kwa nini tunafanywa tuamini kuwa CDM wangeweza kudiriki kutaka kujiua wenyewe au kudhuru viongozi wake au hata wanachama wake. Ni mtu tu aliyefilisika fikra ndo anaweza kuwaza hayo.
Haidhaniki wala kuja akilini kwamba CDM hawakujiamini kiasi hicho cha kutakupata ushindi ktk kata zile hata wafikirie kupata huruma ya kisiasa. Dhamira, uwezo na sababu za ushindi ktk kata zile ilikuwepo.
Mazingira yanaonyesha maadui kuwepo ktk mkutano ule. Sababu na nia kwa maadui kuuhujumu mkutano ule na hatimaye kuuvuruga uchaguzi uliokuwa mbele zinaonekana.
Jamii inafahamu wazi kuwa ni wajibu wa jeshi la polisi kuhakikisha watuhumiwa wanakamatwa na kufikishwa ktk mikono ya sheria. Jeshi la polisi liache biasness! Jeshi la polisi lilikuwepo ktk mkutano ule, hivyo lilikuwa na wajibu na linawajibika kwa lolote lililotokea hadi pale itakapothibitika vinginevyo. Leo kugeuza mwelekeo wa upepo na nguvu za kiupelelezi kwa Mh Mbowe ni ushahidi kuwa jeshi la polisi halina mbinu za kiintelinsia.
Iliwahi kusemwa kuwa iwapo kuna mtu mjanja alikuzidi maarifa, atajua kuwa wewe hujui, na kwa vile anajua kuwa hujui, hivyo akakupoteza dira ya mwelekeo wako, nawe kwa kutokujua kwako ukabadili mwelekeo kwa sababu ya huyo mtu mjanja, na akalijua hilo, basi huyo mtu atakuona wewe ni zuzu na atakudharau sana!!
 
Hamy D,
wewe ambaye hata huna ujasiri wa kuweka Verified ID yako hapa una ujasiri gani wa kumtukana Dr Slaa shujaa wa watanzania kiasi hiki? Jiheshimu mkuu, hata yule unayetaka awe Rais wa Tz hana robo ya heshima kama Dr Slaa ktk jamii ya watz. Tuweke mipaka ktk maneno yetu. Ni ushauri TU.

Mikael P Aweda,

Hili ndio tatizo la CHADEMA na ni sababu ya mimi kutokuwa na heshima kwa viongozi wake, wewe ulikuwa ni miongoni mwa walioshabikia kauli (TUSI) ya SUGU kwa waziri mkuu, leo unanieleza habari za mimi kuwa na heshima kwa Dr Slaa? kwanini muwe bias kiasi hiki hadi kwenye nidhamu?halafu na kushangaa sana, kusema Dr Slaa anawapa VIROBA na BANGI hawa vijana wanao mshabikia humu unasema tusi? mbona utetei namna ambavyo wana tudhihaki sisi kuwa ni 7000 FC? Kwenye nidhamu tuacheni ITIKADI.
 
Mtoa mada,
Mbona hukuonekana kushabikia bomu lililolipukia kanisani Olasiti (Arusha), mauaji ya kijana muuza magazeti Morogoro, mauaji ya Daudi Mwangosi kama unavyoshabikia tukio la soweto? Au wakati wa matukio yale (ukiacha la soweto) ulikuwa hujui kutumia computer au hukujisajili JF? Acha ushabiki usio na tija, kote kwenye matukio yale walikufa watu pia lakini hukuonekana kushikia bango kama hili la soweto au una lako jambo? Una maslahi gani na mabomu ya soweto? Yumkini wewe ni mshukiwa namba moja? Unajaribu kumsafisha nani? Au unawaandaa watanzania kisaikolojia kwamba CDM ndiyo ilihusika? Ningekushauri vuta subira, vyombo vinavyohusika vifanye kazi zao navyo vitatoa taarifa zao baada ya hapo ndiyo utakuwa na haki ya kutoa propaganda zako.
 
Ulitaka wakuletee wewe huo ushahidi?
Watu wengine sijui huwa mnafikiri kwa kutumia nini!
Jeshi la polisi ndio watuhumiwa no 1 ktk tikio hilo la mlipuko wa bomu. So kuwapa wao huo ushahidi ni sawa na kuwapongeza kwa kazi walioifanya.

Alipouawa Padri Mushi kule Zanzibar Serikali ilitumia garama kubwa kuwaleta FBI nchini kufanya uchunguzi.

Leo wamekufa watu wanne na mamia kujeruhiwa serikali ipo kimya na badala yake imebakia kuwalaumu CDM kuwa wamekalia ushahidi! Je ni kazi ya CDM kuwatafutia polisi Ushahidi wa alielipua Bomu?

Kawaambie waliokutuma kuwa watu wa leo sio wa jana. Ikiwa wewe na wenzio mnataka ushahidi wa nani alirusha Bomu basi IGP ajiuzulu kwa jeshi lake kushindwa kazi then mumpe MBOWE hiyo nafasi muone kama hatawawajibisha wale polisi wanaohusishwa na Bomu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Mkuu, upumbavu uko wapi hapo? Mbowe ashinikizwe awasilishe ushahidi ili taswira ya chama na jeshi letu la polisi ieleweke ipi ina staili kuchafuka. Kwa sasa sio jeshi wala sio CHADEMA ni wasafi kwenye jamii.

Upumbavu upo pale ambapo kuna ushahidi mwingi tuu magamba walishasema wana ushahidi wa ugaidi na hata mauaji hawajautoa wewe un akimbilia kumtaka Mbowe atoe kwani ni wapi kisheria alipotakiwa kutoa na hajaupeleka?Vipi Mwigulu alishapeleka ,je Nepi kapeleka na vipi Mzee wa gombe?
 
Mkuu hivi unadhani mimi ni mvivu kama wewe? kukaa hapo na kusubiri Dr Slaa akupe viroba na bangi ili uje humu umtete siku nzima? mimi nina biashara zangu zinajiendesha, mwanamme ana kula kwa jasho lake, vya kupewa sio vizuro yakhe!! siku utaombwa wewe.
Mimi nataka mambomu mawili kama uliyoyatumia Arusha, na SMG na risasi zake kama 20 zina tosha kunijengea heshima kwenye nchi hii...kwa wahuni wa CCM..
 
Mkuu: Kwani CHADEMA walikuambia watautoa lini?
Kwahiyo Polisi hawana jinsi nyigine ya kufanya kazi yao ili wampate mhalifu zaidi ya kutegemea ushahidi wa Mbowe? Au wewe ndiyo muhusika wa ulipuaji hilo bomu. Nafikiri Polisi wangelianza na wewe kukuhoji yamkini watapata mengi ya kuwasaidia.
Kwakuwa Polisi wameshindwa kufanya kazi yao wakisubiria ushahidi wa Mbowe utolewe; wangelifanya yafuatayo ili kuondokane na dhana ya kueleweka vibaya katika Jamii juu ya ltukio hio la bomu.
1. Wakukamate wewe ili kuisaidia Polisi
2. Wamkamate Dereva aliye kuwa akiendesha ile gari ya Polisi siku ile ya tukio uwanjani
3. Wawakamate Polisi wote waliorusha Risasi wakati mtuhumiwa kitoroka eneo la tukio
4. Wawakamate walinzi wote walio pigwa risasi wakati wakimkimbiza mlipuaji bomu
5. Wawakamate Madaktari hewa wote walio vaa majoho ya u dr siku hiyo ili wawahudumie majeruhi
6. Wayafanyie uchunguzi wa kina maganda yote ya risasi siku ya tukio
7. Wawakamate wale wote walio toa matamko ya kuwatuhumu wahusika wa mlipuko.hawa ni pamoja na Nape. Nchemba,waziri lukuvi,Mbowe na wengine wote.
 
Mikael P Aweda,

Hili ndio tatizo la CHADEMA na ni sababu ya mimi kutokuwa na heshima kwa viongozi wake, wewe ulikuwa ni miongoni mwa walioshabikia kauli (TUSI) ya SUGU kwa waziri mkuu, leo unanieleza habari za mimi kuwa na heshima kwa Dr Slaa? kwanini muwe bias kiasi hiki hadi kwenye nidhamu?halafu na kushangaa sana, kusema Dr Slaa anawapa VIROBA na BANGI hawa vijana wanao mshabikia humu unasema tusi? mbona utetei namna ambavyo wana tudhihaki sisi kuwa ni 7000 FC? Kwenye nidhamu tuacheni ITIKADI.

Kwanza naomba ulete ushahidi wa mimi kutukana mahali po pote. sina tabia hiyo - Kalete comment yangu kwenye thread unayozungumzia.
Pili, wewe huna hadhi (with unverified ID) kumtusi Dr Slaa kwa namna yo yote. Kwanza jitokeze ili tukupime wewe kiuadilifu na Dr Slaa anayefahamika hata na watoto wa shule ya msingi ambao si wapiga kura.
Tatu, lete ushahidi wa tuhuma zako humu vinginevyo unatusumbua bure.
 
Mkuu: Kwani CHADEMA walikuambia watautoa lini?
Kwahiyo Polisi hawana jinsi nyigine ya kufanya kazi yao ili wampate mhalifu zaidi ya kutegemea ushahidi wa Mbowe? Au wewe ndiyo muhusika wa ulipuaji hilo bomu. Nafikiri Polisi wangelianza na wewe kukuhoji yamkini watapata mengi ya kuwasaidia.
Kwakuwa Polisi wameshindwa kufanya kazi yao wakisubiria ushahidi wa Mbowe utolewe; wangelifanya yafuatayo ili kuondokane na dhana ya kueleweka vibaya katika Jamii juu ya ltukio hio la bomu.
1. Wakukamate wewe ili kuisaidia Polisi
2. Wamkamate Dereva aliye kuwa akiendesha ile gari ya Polisi siku ile ya tukio uwanjani
3. Wawakamate Polisi wote waliorusha Risasi wakati mtuhumiwa kitoroka eneo la tukio
4. Wawakamate walinzi wote walio pigwa risasi wakati wakimkimbiza mlipuaji bomu
5. Wawakamate Madaktari hewa wote walio vaa majoho ya u dr siku hiyo ili wawahudumie majeruhi
6. Wayafanyie uchunguzi wa kina maganda yote ya risasi siku ya tukio
7. Wawakamate wale wote walio toa matamko ya kuwatuhumu wahusika wa mlipuko.hawa ni pamoja na Nape. Nchemba,waziri lukuvi,Mbowe na wengine wote.

Maswali yako haya ya msingi sana, ningependa nisikie majibu Hamy-D
 
Back
Top Bottom