Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,208
- 42,068
Hao unao waona wavijiweni pia wanapiga kura lakini mkisha pata madaraka mnawa sahau leo hii unawaona hawafai?
Narudia tena mlipo sema ajira mlimaanisha nini? Kama hao wangewezeshwa kwa mikopo na mambo mengine kimaendeleo leo hii wasinge kaa vijiweni bila kufanya chochote.
Cdm watu kama hao ni muhimu tenaa sana kwani cdm ni chama cha watanzania wote bila kujali hali zo kiuchumi.
Hakika maneno unayo yatoa dhidi ya watu hawa hakuna mwana ccmweli wa kuwadharau watu hao kiasi hiki, na chukulia hili kama ni lako binafsi na upeo wako.
Hao unao waona wa vijiweni ndio wanafanya cdm ichukiwe kisa wana wasapoti cdm kama wange kua hawana umuhimu wasinge tumia nguvu nyingi kuwaonga ili wasitoe suport.
Siamini kama hujui mchango wa hawa watu lasivyo hizo data umeziandika bila kufanya utafiti vizuri.
Unashangaza sana.

Mwenzangu unanifumbua macho, hivi ni nini faida ya watu wa vijiweni? Ikiwa toka kuche mpaka jua lizame wenzetu wanapiga hadithi vijiweni, kweli wanaweza kula hadithi. Na watoza kodi watachukua nini kwao?
Sasa naelewa kwa nini CDM katika kampeni zao hutangaza kila kitu NI BURE WAKISHINDA.