CHADEMA Shadow Cabinet: Jokers & Comedians!

Uzuri wajamvi hili halichagui itikadi! Muanzisha mada upime mweyewe kama wenye akili timamu na maono ya mbali wanaungana na ubambucha wako uliotumwa au la!
 

Naomi A. Kaihula (Jamii jinsia na watoto) Highness Kiwia (Maji)...hizi wizara zote zimekuwa kwenye misuko sukomingi tangu Cabinet mpya ichaguliwe lakini hawa wa Chadema wamekuwa kimya hakuna aliyekuja na alternative policy paper yoyote kutuambia what's wrong with policies za CCM. It can be argued kuwa Freeman kujaza wanawake wasio na uwezo ni sawa na feminisation of Chadema, which to my mind is a good thing because it is going to get screwed from now on mpaka watakapo amka na kuja with proper lineup.

Kama wangekuwa ni wanaume wasio na uwezo ingekuwaje? kwanini isiwe "watu wasio na uwezo" lakini iwe ni "wanawake wasio na uwezo"?


Perhaps Freeman's political adviser will be Halima Mdee? It has become a parody for shadow male Politicians. The only things we can expect from Freeman are parrot phases, from someone pulling his strings. The question who exactly is this unknown person?
Nakumbuka mshauri mmoja wa Rais wa nchi "fulani" ni mdada mmoja mdogomdogo wengine wanadai kuwa ni "bomba"; na nchi kiuchumi inapaaa!
Kama mnabisha waambieni walete C,V za hiyo Shadow Cabinet ndio mtaelewa kuwa these jokers. For this, its fair to say kuwa never in the field of human conflict in the land of Kilimanjaro...has so much damage, been inflicted on so many people, by so few...muppets!
Ukitaka kupima uwezo wa kuongoza kwa kuangalia CV nani anashinda CV ya Balali au ya Chenge? Nani anaweza kuweka ushindani na CV ya Msolla? As a matter of fact , I would argue that hakuna wasomi wa hali ya juu kama wana CCM! at least tukiangalia maelezo yao wanapoomba kura! Sidhani kama CV inatosha kufanya uone nchi inakwenda wapi? Kwa mfano, kuna taasisi za umma ambazo zinaongozwa na Ma Dr. So and so na ukiona madudu huko utashangaa! Ila CV zao tu.. well zinapendeza!
 
"It is the mark of an educated mind to be able to entertain a thought without accepting it." Aristotle.

CDM supporters humu JF have to learn to suck up Constructive Criticism. It is how great institutions or those with such potential become greater!
 
Bad motive ---- These Shadow Cabinet guys have just started and needs time to be aquentency to whole status of Parliaments and the ego of managing the so and so's.

Give them time --- never underrate them. One can pretend by seeing and learning from others we all came a long way to be what we are today.
 
"It is the mark of an educated mind to be able to entertain a thought without accepting it." Aristotle.

CDM supporters humu JF have to learn to suck up Constructive Criticism. It is how great institutions or those with such potential become greater!

true kabisa.. ila iwe kweli ni constructive criticism. Kusema "wanawake wasio na uzoefu" na kuongezea with sexual overtones kuwa "ni sawa na feminisation of Chadema, which to my mind is a good thing because it is going to get screwed from now on mpaka watakapo amka na kuja with proper lineup." ni constructive criticism basi neno "constructive" limeshapoteza maana.

Criticism? Yes! but to label it "constructive" is to give it undue credence and dignity of which it deserve none. The statement and the sentiments there in are pejorative and palpably offensive. I would characterize the whole piece to be inherent with male chauvinistic tendencies. No sir, i would not accept it as "constructive criticism". Tuliotoka mbali na SD tunajua akitaka kuandika constructive cricisim is more than capable of! He just chose not to.
 
Wewe ndiyo kati ya wale mlioajiriwa kuinua image ya CCM iliyodorora -- na mnafikiri mtafanikiwa kwa kuiponda CDM. La hasha! CCM itaokolewa kwa kuwatimua mafisadi waliojazana ngazi zote ikianzia baraza lake la mawaziri.

Mfano, huyo head wenu Pinda hajiu hata kama kuna ubadhirifu katika serikali yake na wala hajui ripoti ya CAG imesema nini.
Mwambie pia Pr mnstr Pinda hajui pia kwa nini Watanzania ni masikini!
 
Kama mnabisha waambieni walete C,V za hiyo Shadow Cabinet ndio mtaelewa kuwa these jokers. For this, its fair to say kuwa never in the field of human conflict in the land of Kilimanjaro...has so much damage, been inflicted on so many people, by so few...muppets!
Mkuu unajua kuna raha ya kuandika na kushutumu watu kama umekusudia kupaka tope lakini nimekusoma na kwa bahati mbaya nimeshuku zaidi upeo wako ktk maswala ya bunge..

Sasa wewe unataka hawa mawaziri vivuli waanze kubwabwaja bungeni ili mradi ionekane wanapinga serikali au inatakiwa wao wazungumze kulingana na hoja za wizara zao zinavyowakilishwa..Na bunge limefikia wapi haswa kiasi kwamba tayari unaanza kuwahukumu watu pasipo kutazama maswala yaliyokwisha jadiliwa hadi sasa..

Zitto na wengine wanasimama na kuzungumza kwa sababu maswala yao yapo ubaoni na naweza sema kwa uhakika Bunge zima la Tanzania ni Zitto/Mbowe wanaonekana zaidi wakifuatiwa kwa karibu na Mnyika, Mnyaa, Lissu, na Rashid Hamad lakini wote hawa wanazungumzia issues zisizosimamia maswala maalum ama report ziliowakilishwa..

Na sijui kama unaelewa kwamba kuwepo kwa wanawake Bungeni sii swala la Uchadema bali ni mfumo wa bunge lenyewe kutoa nafasi za viti maalum kwa wanawake...Na kibaya zaidi ktk statement yako umeonyesha wazi jinsi unavyowadharau wanawake unless wakuonyeshe CV zao na sijui kama kuna mahusiano isipokuwa unataka kuwadharau wanawake wa Chadema pasipo kuangalia hao wa CCM wana CV gani na nini madai ya wanawake wa CCM tofauti Bungeni kama sii kuwezeshwa zaidi.

Waswahili wanasema subira huvuta kheri, hawa mawaziri kivuli watakuja onekana pale panapohitajika.. hawawezi kusimama na kusema hovyo hovyo ii mradi waonekane wanapinga kama kipimo cha elimu yao kama unavyotaka wewe, Chadema, haipo bungeni kujitapa kama wapinzani wa CCM, bali wapo Bungeni kama chama pinzani kulingana na sera za chama Tawala..
 
Just a small observation on the comment given on CHADEMA shadow cabinet, I can assure you that, the shadow cabinet was properly picked,considering experience and even academic qualifications.

Don't expect that we can have a shadow foreign affairs minister who is a half academically baked, I can tell you the CDM cabinet is a collection of various personalities including Doctors,Professor, Engineers and other professionals with vast management experience in the corporate world....the likes of wenje who had been a senior manager in Nation Media Group....

Blaming a shadow minister like Wenje before pointing finger at Membe who is the actual minister is a misplaced concept, misguided and a mere witch hunting...i think the guy is singing this song ccm hoyeeee.......pathetic
 
One might say kuwa ohhh Freeman didn't have enough time time to vet his the RIGHT cabinet, well, It`s an oxymoron. Or in Chadema's case, just a bunch of morons wamejazwa mle na hawana lolote (Kielimu na kimawazo) mfano mzuri ni this dude under the name of Ezekia D. Wenje ambaye ni Shadow Foreign Minister, alikuwa kajificha kwenye Facebook ana update status zake kila dakika na kuwa poke wenzie wakati waTanzania wamekwama Libya na Japan. Baada ya kujua what he has been up nikasema its not his fault kwani kutegemea statement from him is like asking a plumber to do a heart bypass operation!

Then kuna Wizara ambazo Freeman alimua kujaza bila kuzingatia uwezo wao kama akina Regia Mtema (Kazi na ajira), Lucy Owenya (Wizara ya Viwanda na Biashara)

Naomi A. Kaihula (Jamii jinsia na watoto) Highness Kiwia (Maji)...hizi wizara zote zimekuwa kwenye misuko sukomingi tangu Cabinet mpya ichaguliwe lakini hawa wa Chadema wamekuwa kimya hakuna aliyekuja na alternative policy paper yoyote kutuambia what's wrong with policies za CCM. It can be argued kuwa Freeman kujaza wanawake wasio na uwezo ni sawa na feminisation of Chadema, which to my mind is a good thing because it is going to get screwed from now on mpaka watakapo amka na kuja with proper lineup.

Perhaps Freeman's political adviser will be Halima Mdee? It has become a parody for shadow male Politicians. The only things we can expect from Freeman are parrot phases, from someone pulling his strings. The question who exactly is this unknown person?

Kama mnabisha waambieni walete C,V za hiyo Shadow Cabinet ndio mtaelewa kuwa these jokers. For this, its fair to say kuwa never in the field of human conflict in the land of Kilimanjaro...has so much damage, been inflicted on so many people, by so few...muppets!



Nakumbuka Mwl J K Nyerere mwaka 1995, alikuwa makini sana alipoamua kwa hiyari yake kumnadi mgombea wa CCM ambaye alikuwa hajulikani wala hana mvuto Ndg Benjamin W Mkapa (ambaye baadaye alikuja julikana kama mzee wa utandawizi). Nyerere alijua wazi kuwa mwaka 1995 CCM ilikuwa imechukiwa sana na wananchi kutokana na hali ya wakati huo, watu wachache walikuwa wanapesa nyingi sana lakini bidhaa hakuna, serikali ilikuwa imeshindwa kukusanya mapato yake kwa ufanisi kwa sababu ya rushwa iliyokithiri miongoni mwa viongozi na watendaji wa serikali. Nyerere alikuwa akianza na technique ifuatayo katika kuiandaa hadhara ambayo ilikuwa na negative attitude na CCM pamoja na mgombea wake, ila walikuwa wakihudhuria mikutano kuangalia TOT
  1. Alikuwa akichukua dakika 15 kuelezea maovu na upuuzi wote wa CCM, ikiwemo rushwa, ubabaishaji, ubadhirifu na kila aina uovu wote na kushangiliwa kwa kishindo na wahudhuriaji kuwa kweli Mwl anaiponda CCM hasa na kupata attention ya watu ya kuendelea kusikiliza kwa makini.
  2. Akiisha ona watu wako makini kumsikiliza ndipo alikuwa anaanza kuelezea njia za kuondoa maovu hayo na kukabiliana nacho, na kauli yake kuu ilikuwa CCM ni chama kikubwa sana kinavutia kila aina ya magugu na wadudu waharibifu, ambao wengine hufuata ulaji kwa kuwa shamba lina mimea iliyomea vizuri anachukua dakika kama kumi kuelezea hili suala.
  3. Mwisho kabisa alikuwa anachukua dakika tano kuelezea nani wa kukabiliana na suala hilo na kumtaja Mkapa, ila alipokuwa akitaja Mkapa tu watu walikuwa wanaanza kuguna na kuondoka maana wengi kwa mawazo yao ya wakati huo walikuwa wanataka kusikia anamtaja Mrema. Ila alikuwa anapata dakika kama 25 za kusikilizwa vizuri na wananchi na tano za kuwa jeered, booed!.
Sasa wewe ndugu yangu badala ya kuanza na point kwa mtiririko huu hapo juu unaanza kinyume chake. Hivi unadhani kwa CCM kuishambulia CHADEMA leo hii ndiyo itafanya wananchi walalahoi wawe na uhakika wa milo miatatu kila siku? Itafanya wananchi wasahau kuwa CCM imejaa watu wanaoangalia matumbo yao zaidi kuliko kuipeleka nchi mbele? Wananchi watakuwa wamepata maji safi na salama ya uhakika? Huduma bora za afya ambazo hazitawalazimu viongozi kukimbilia nje kutibiwa hata mafua huku wakisahau kuwa wana obligation ya kuboresha huduma za afya nchini, kukuza uchumi, kuondoa rushwa kubwakubwa na ndogondogo, umeme kuwa wa uhakika, kupeana vyeo kwa notion ya ulaji badala ya kutumikia umma ili kuendeleza taifa mbele, kuingia mikataba ya kifisadi yenye 20%, kutafuta miradi hewa ya kuhakikisha pesa inatoka hazina kuingia kwenye kampeni za CCM badala ya kuboresha maisha ya wananchi.

CCM kama chama tawala hakiwezi kupata sapoti ya umma kwa kukiita chama fulani kuwa ni genge, au wahuni au wanawake, bali ni kwa kutekeleza wajibu wa chama chochote tawala wa kuonesha kuwa sera zake na mipango yake inainua wananchi. CDM ni chama cha upinzani kipo kwenye sideline hivyo kina haki ya kusema kitafanya kitu chochote kama kitakuwa madarakani, lakini chama kilicho madarakani kinachotakiwa kufanya ni vitendo na kwa CCM kuacha vitendo kuendeleza propaganda na uongo dhidi ya vyama vingine ni kujichimbia kaburi na kukubaliana na wapinzani kuwa CCM imeshindwa kutawala inapaswa kuwekwa pembeni.
 
Napenda independent thinking ya GT; hajalishi atapigwa vipi mawe lakini anaanika anachoona kinastahili kuangaliwa. Sasa watu wekeni unazi pembeni, chambueni hoja yake, anaweza kuwa na makosa sehemu kadhaa (kama ninavyoona) lakini ana hoja...!

Hoja ya kupinga kwa kudhalilisha watu kwa maana hawako hivyo. Uchangiaji hapo ni msugaona wa itikadi. Kumbuka maneno aliyotumia bila kutafsiri "CHADEMA Shadow Cabinet: Jokers & Comedians!" Ambacho ni kitu binafsi hata angalau angekuwa na uwiano kwa kutoa hoja yake mbadala ambayo mmoja wa mawaziri kivuli ameshindwa kuitoa. NAOMBA TUJIEPUSHE KUZUNGUMZIA WATU TUZUNGUMZIE "ISSUES" TENA ZA KITAIFA. Naomba nimu "rate" MPUUZI
 
'Constructive criticism' Yes! But it should not be personalized or entails character attack. The contents of the thread may have some important challenges, unfortunate the red meat is masked by overtone and rhetoric.
Katika CV tunaangalia mambo kama elimu na uzoefu(experience). Wabunge wengi wa CCM kwa viwango vya elimu ni PhD, masters n.k. Wengi wamekuwa katika kazi na experience zao ni zaidi ya miaka 10-15 bungeni. Kama elimu na uzoefu ndivyo vigezo muhimu tu, basi tungetegemea mambo makubwa kwao. Lakini wanaitwa na kuambiwa wakae kimya hadi tunahoji wingi wao ni kuzuia upinzani au kujenga hoja za kulisaidia taifa? Wakati tunaangalia CV za Chadema tuangalie pia zile nyingi za CCM zinatusaidiaje!

CV peke yake haitoshi kutoa fursa ya kueleza mawazo na umakini wa mtu hasa nyakati za bunge hili. Akina Zitto walifanya kazi na mtu makini Sitta aliyetimiza majukumu kama kiongozi wa umma. Tuliweza kubaini thamani za michango kutokana na fursa walizopewa.

Bunge la Makinda ambalo amesahau kuwa ni kiongozi wa taifa na si CCM, wapinzani wananyimwa nafasi za kutoa michango yao kama Mh Mnyika alivyoporwa hoja, Mh.Kafulila alivyozuiwa kupeleka hoja na hata Lema kuzuiwa kuuliza swali. Kwa ufupi ni kuwa upinzani umebanwa na Makinda kwa maslahi ya yake binafsi na Chama chake.Twawezaona wabunge wa upinzani ni wavivu na 'incompetent' tukisahau kuwa hawapewi fursa ya kutoa michango yao.

Wapinzani watambue haitakuwa rahisi, na watumie njia mbadala(different forums) katika jamii kujenga na kuainisha hoja zao kwa mantiki na kutumia udhaifu wa serikali kuiwajibisha.

Wazoefu katika masuala ya bunge watumie fursa kuwasidia wageni kutambua jinsi ya ku 'source, validate and present the constructive idea' Udhaifu ninaouona Chadema ni 'organization' ya chama. Chadema ina resource kubwa ya intellectuals, lakini sidhani kuwa idara za chama ni imara na makini kiasi hicho. Lau ingekuwa hivyo ombwe linalojitokeza la wabunge wao linge epukika mapema.

Tumeona kipindi cha mwezi mzima Wasira na Sofia wakieneza chuki dhidi ya Chadema, na kwa bahati mbaya CDM hakuna 'strategist' wa kusaidia uongozi katika kujibu mapigo (rebuttal), kazi ambayo ingefanywa na idara za Chama.Ipo haja ya CDM kurejea katika meza na kujipanga.
 
Wewe unaropoka tu wala sidhani kama huwa unafuatilia mambo. Leo nimebahatuika kuangalia bunge na sikuamini jinsi ambavyo wabunge wako wa ccm wanavyo kunja uso mbunge wa CDM anapokuwa anaongea. Nikajiuliza kwa nini inakuwa hivyo?

Kumbe kwa sababu wabunge wako wa CCM huwa hawana muda wa kujiandaa kufuatilia mijadara ya bunge hivyo roho zinakuwa zinawauma pale wanapoona wenzao wanapokuwa wako on top of isues. Then wewe looser unapokuja na hizi topic naishia tu kukuonea huruma sana.

Wakiongea wa CCM hao wa CDM huwa sura zao zikoje?? Nadhani wewe ni Looser zaidi kuliko huyo alieanzisha hii thread. CCM na CDM ni kama jiwe na nazi! haviwezi shindana hata mara moja
 
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi-Halima James Mdee ( not a word on Tibaijuka's bomoa bomoa policy)
Of course no one knows her education level

Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano-----Pauline P. Gekul( Freeman, is this the best you can do ?......really? )

Mazingira----Grace S. Kiwelu (not a word on Serengeti and other pressing national environmental matters)

Wizara ya Fedha-------Christina Lissu Mughwai (So this is Mkulo's equivalent? uuh?)

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa-----------Ezekia D. Wenje (Mr Facebook....he should have been Minister for Facebook Affairs or applied a job with Zuckernerg)

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa-----------Joseph Selasini (doesnt even know where the Gmboto report is)

Wizara ya Maliasili na Utalii -----------Rev. Peter Msigwa (this one doesnt even know nchi inayoongoza kutuleta watalii Tanzania)

Wizara ya Nishati na Madini ---------John John Mnyika ( Mr JF...has no idea who Corporates for Crisis are and CMEC have been up to...but knows all JF log pins)


Wizara ya Ujenzi-------------Eng. Salvatory Machemuli (any one know who this dude is?)

Wizara ya Viwanda na Biashara---------Lucy F. Owenya (more suited for East Coast Productions....if u know what I mean)

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi--------Christowaja Mtinda (has no idea why hakuna chuo cha Veta Rufiji)


Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii-----------Dr. Mbasa Gervas (Mr ruzuku za mafuta, na per diem)

Wizara ya Kazi na Ajira------------Regia Mtema (another west coast production candidate)

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto ------------Naomi A. Kaihula (really?)

Wizara ya Habari, Vijana na Michezo-----------Joseph O. Mbilinyi (Johny Foreigner....i rest my case for future)

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika ----------------Opulukwa Meshack (no clue who he was in his previous life)

Wizara ya Maji------------Highness S. Kiwia (his previous Facebook page used to call himself Mr Cleo.....i rest my case)

I feel sorry for Freeman, everyone knows that he is 'so out of touch', he still doesn't realise were he is.

From this so called Shadow Cabinet, its obvious that Talent and Chadema are two words that will never go together, either in a sentence, paragraph, or an entire article. Ignorance and Chadema fanboys (just like those Apple fanboys), on the other hand, go very well together, and includes every MP (elected and selected), and individual in this country and who demonstrate the most appalling levels of stupidity, and sheer ignorance associating themselves with the most vile, treacherous, party ever seen in the land of Serengeti and Zanzibar. They, thank God, are now the 'EXTINCT or 'HAS BEEN'' party.

So far from what Ive seen Chadema Shadow cabinet has absolutely 'no intelligence, no talent,no education no patriotism, no responsibility, no sense of duty, no sense of loyalty, either to country, or countrymen, and have no principles, no morals whatsoever, other than to 'serve themselves' and few ruzukus here and there. In fact with this lot, there is only one place they could end up, and that is exactly where they are right now, in the 'dustbin of political history & irrelevance', and from there, there is 'no return'!

In my opinion JF does better job of Shadow cabinet than these.
 
Sliding roof,

In your Opinion JF does better job of Shadow cabinet...while una confess most of them are JF members!

Hiyo facebook hata JK anapost kila siku akiuza sura..besides ndio dunia ya leo mkuu wangu kama wewe huna jaribu kubadilika,nenda na wakati..

Mkuu kila waziri ataifanya kazi yake kwa wakati wake, hawajadili kama JF hata hapa huanzishi mada ili kujipinga mwenyewe utakupa punguani.

Labda nikukumbushe tu kwamba Muswada wa katiba mpya ulipotoka, wabunge wote wa CCM waliufurahia na kuupenda pamoja na elimu zao lakini ni hawa hawa wabunge unawaponda ndio walisimama na kuupinga kabla hata haujafika kwa wasomi kama nyie..Hivi mwanzo mlikuwa mkishangilia kitu gani haswa?
 
Sliding roof,

In your Opinion JF does better job of Shadow cabinet...while una confess most of them are JF members!

Hiyo facebook hata JK anapost kila siku akiuza sura..besides ndio dunia ya leo mkuu wangu kama wewe huna jaribu kubadilika,nenda na wakati..

Mkuu kila waziri ataifanya kazi yake kwa wakati wake, hawajadili kama JF hata hapa huanzishi mada ili kujipinga mwenyewe utakupa punguani.

Labda nikukumbushe tu kwamba Muswada wa katiba mpya ulipotoka, wabunge wote wa CCM waliufurahia na kuupenda pamoja na elimu zao lakini ni hawa hawa wabunge unawaponda ndio walisimama na kuupinga kabla hata haujafika kwa wasomi kama nyie..Hivi mwanzo mlikuwa mkishangilia kitu gani haswa?

Is this a joke?
 
So far from what Ive seen Chadema Shadow cabinet has absolutely 'no intelligence, no talent,no education no patriotism, no responsibility, no sense of duty, no sense of loyalty, either to country, or countrymen, and have no principles, no morals whatsoever, other than to 'serve themselves' and few ruzukus here and there.

But for a double take, I would have thought you were talking about CCM and it's government because they embody those qualities to a tee. But instead you are ranting and raving about CHADEMA's shadow cabinet. You can't be serious.

In fact with this lot, there is only one place they could end up, and that is exactly where they are right now, in the 'dustbin of political history & irrelevance', and from there, there is 'no return'!
In fact, in many people's opinions, there is only one place the CCM bunch should be right now; THE SLAMMER!
 


Wizara ya Maji------------Highness S. Kiwia (her previous Facebook page used to call her self Miss Cleo.....i rest my case)

.

This is a clear proof that you know nothing about these pple u r tryin' to criticise. Unaoperate kwa hisia na few may be one personality unayoijua. Makosa dhahiri kama haya yanaondoa uzito wote wa hoja na kuonekana ni uzushi period.
 
SlidingRoof,
A little research could help you.
I wonder if people will not find your contributions as wanton. You could have a civil debate without Babel, tantrum or ranting. Acumen is paramount when communicating with audience. Emotion and affront is the worst weapon one can use.


Thanks and have a good weekend.
 
But for a double take, I would have thought you were talking about CCM and it's government because they embody those qualities to a tee. But instead you are ranting and raving about CHADEMA's shadow cabinet. You can't be serious.

In fact, in many people's opinions, there is only one place the CCM bunch should be right now; THE SLAMMER!

And he has the nerve to call other people's opinion a joke. What a joke!
 
Back
Top Bottom