CHADEMA Shadow Cabinet: Jokers & Comedians!

This is a clear proof that you know nothing about these pple u r tryin' to criticise. Unaoperate kwa hisia na few may be one personality unayoijua. Makosa dhahiri kama haya yanaondoa uzito wote wa hoja na kuonekana ni uzushi period.

Kwahiyo mbunge wa Iremela ni mwanamke? kwa mujibu wa huyu JUHA alianzisha hii thread? ngoja niangalie thread za maana huyu anawatafutia watu ban mpuuzi huyu hana lolote.
 
U back with non sense, and dond't try again kuja hapa jamvini na thread za kusadikika. Nyambafu.
 
SlidingRoof.Heshima mbele!

Kwanza kabisa nikushukuru na nikupongeze kwa kutoa maoni yako.

Inawezekana unadhamira njema au mbaya.Au yawezekana kama ilivyokawaida yako kupinga pinga kila kitu kama ambavyo ulivyokuwa ukitumia kwenye jina lako lingine la awali.Nilidhani ulivyokuja kivingine ungebadilika kumbe sivyo.Tuyaache hayo,ngoja nirudi kwenye hoja.

Kuhusiana na hoja yako ya kuwa Cabinet yetu kuwa namapungufu nakubaliana na wewe.Lakini ukumbuke kuwa CHADEMA ina Wabunge 48 tu na Cabinet yetu ni ya watu 39. Katika Kuunda Baraza kivuli la watu 29 isingekuwa rahisi kila mmoja kumpatia taaluma yake kwani kuna wizara wangengongana na nyingine zingekosa kabisa watu. Lakini vili vile unatakiwa kujua pia sio wabunge wote wa CHADEMA wanaelimu kama hiyo unayaoitaka wewe. Tuna Wabunge 23 wa majimbo na kati yao 22 wamepewa Wizara bila kujali elimu zao kwa kuwa kwa kufanya hivyo basi wizara nyingi zingekuwa hazina wasemaji.Kati yao 16 tu wanatoka Viti Maalumu. Kwa chama chochote cha upinzani unapounda baraza kivuli huangalii CV za watu pekee vile vile kuna suala zima la siasa,umaeneo,jinsia n.k.Hivi ni baadhi ya vigezo vilivyotumika.Ndio maana unawaona kina Joseph Mbilinyi,Lema,Regia na wengineo. Vile vile ndugu yangu lazima ujue kuwa na PHD au uzoefu fulani sio hoja katika ufanisi wa kazi duniani pote.Ndio maana pamoja na uwepo wa PHD nyingi sana Tanzania lakini bado tunamatatizo makubwa ya msingi.leo Mnyika anaweza kuperform vizuri sana kuliko maprofesa na madaktari wengi ndani ya Bunge. Elimu sio kipimo cha ufanisi kwa mtazamo wangu.


Pili. Ni mapema mno kuanza kulikosoa baraza kivuli,baraza hili limeundwa mwezi februari hata miezi miwili haijaisha wala mafunzo kwa baraza hili hayajafanyika.

Tatu. Kama kuna Mbunge wetu yuko bize na Facebook au JF huo ni uhuru wake na kila mtu ana haki ya kufanya hivyo.Kila mmoja anaratiba zake kwani kuupdate status Facebook inachukua siku nzima?Wewe unapataej muda wa kufuatilia na wenzeko Facebook na kuandika huku JF?unafikiri mwenye kazi ni waizri peke yake?hata nyinyi mnapaswa kuwa bize kwenye maeneo yenu ya kazi.Sote tunategemeana.Uwaziri ni Political post na nyie ndio watendaji wenyewe.Nchi haiendelei kwa matamko na barua.Vitendo ndio vinabdili nchi.Hata hivyo Kila mtu ana haki ya kurelax na kumake fun.Kama wewe unamatatizo yako na huwezi kuwa na muda wa kuenjoy hilo ni tatizo lako.Usifanye maisha kuwa magumu.
Nne.Mkumbuke pia si kila mtu hupenda kufanya kazi kwa kutumia vyombo vya habari.Wapo wanaofanya kazi kimya kimya sio lazima nyie mjue kila kitu. Kila waziri wa CHADEMA anajua misimamo ya Sera za chama kulingana na hata ukituamsha usiku wa maneno utapewa misimamo yetu ya kisera na wameshafanya kazi kadhaa na wengine tupo kwenye maandalizi ya hoja binafsi kuhusiana na maslahi ya wafanyakazi.
Tano.Kwenye baraza letu majority ni wanaume na wanawake wote waliopewa nafasi wanaangalau digrii maoja na kuendelea.Acha mfumo dume,bado hujabaidlika tu?usitumie akili zako kujenga hoja zinazohitaji facts.

Sita.Naomi Kaihula yuko kwenye wizara sahihi kabisa.Kwa taarifa yako ni mmoja wa waanzilishi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania na ni Mwalimu.

Saba,Binafsi nakubaliana na wewe uwezo wangu ni mdogo kupewa Wizara,sio ya kazi na Ajira tu kama unavyoona wewe,sistahili kupewa Wizara yeyote ile lakini kwa kuwa ninajitambua kwamba ni mtu wa kujifunza na kujisomea na ni mchapakazi na hata walionipendkeza wanatambua hilo naamini nitafanya vizuri kama ilivyo kawaida yangu na mtakuja kushangaa.Kuna msemo unasema usikisifu kitabu kwa gamba lake la nje.Huwa najifunza haraka na kuendana na mazingira yaliyopo.Fuatilia rekodi zangu kuanzia shule ya msingi,sekondari,chuo kikuu na hata CHADEMA.Kumbuka hapa naongea in public na kuna watu wengi tu humu wanonifahamu vizuri.Give me enough time.

It can be done play your part.
Aluta Continua
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

regia mbona unadanganya sana? chuoulifanya nini? na huko chadema ulipokimbiziwa na kafulila umefanya nini hadi uwekwe kwenye rekodi za kukumbukwa? wewe hujui nimesoma na wewe, suplimentary ngapi ulipata? acha majibu ya kitaarabu yani wewe huna akili kabisa, sababu ulizotoa za mbowe kuteua vivuli ni dhaifu na hazina kichwa kabisa naomba uwe unajizuia kuandika vitu usivyo na uwezo navyo....tumekuona kwenye maanamano hauna mvuto dada zaidi ya kukariri wanayoyasema wenzako na kuanza kuyatapika kila jukwaa unaongea udandiaji na sijakusikia ukigusia wizara yako acha kuwa golikipa wewe wa hoja.
 
Click the link below:

Waheshimiwa Wabunge wa CHADEMA

Thats the link with list of Shadow Cabinet ministers ambao so far naona anayesikika kiasi ni huyo one and only Zitto. Lakini wengine wote ni kama vile hawapo na its fair to say kuwa washakuwa irrelevant by default.

Ukweli usiopingika kuwa in opposition, picking the wrong person means you will stay in opposition for longer kwa sababu wananchi as much as washachoka na ( status quo) lakini kila wakiangalia the alternative naona wanaona comedians and jokers.

It is difficult to imagine what the leader of opposition bwana Freeman Aikaeli Mbowe must be thinking. Being made leader under these circumstances is a bit like being given a new toy (and I'm not talking about lile Vogue lake), but a toy kwa maana kama toy ambayo zinauzwa pale toto junction but told that you can only play with it in the way that the giver wants. Oh, and they not only want you to play nicely with it, but you have to share it with the rest of your new class (Zitto et al) some of whom are girls (Halima Mdee and the likes).

The really important thing here, is that whatever Bwana Mbowe and his entourage huko Chadema decides to do, he needs to decide to do it quickly. As much as kila mtu anasema ni cosmetic changes lakini CCM washaanza walau kuonyesha kuwa they are doing soul searching na "kujivua gamba " as well as hiyo ripoti ya Consultant (regardless kama unakubaliana nayo au la).

After events in Dom, kuna watu wakaaanza kusema it is high time that Chadema started presenting some credible opposition to a government that, frankly, has been taking advantage of the lack of one. The CCM Government has been able to do what they like because there's no-one to try and stop or even question them. Lakini after going through Chadema's website nikaona hiyo list ya the so called Shadow Cabinet, then I guess hakuna haja ya kutafuta Consultant kuwaambia whats wrong with Chadema as a party na Freeman Mbowe as their leader.

One might say kuwa ohhh Freeman didn't have enough time time to vet his the RIGHT cabinet, well, It`s an oxymoron. Or in Chadema's case, just a bunch of morons wamejazwa mle na hawana lolote (Kielimu na kimawazo) mfano mzuri ni this dude under the name of Ezekia D. Wenje ambaye ni Shadow Foreign Minister, alikuwa kajificha kwenye Facebook ana update status zake kila dakika na kuwa poke wenzie wakati waTanzania wamekwama Libya na Japan. Baada ya kujua what he has been up nikasema its not his fault kwani kutegemea statement from him is like asking a plumber to do a heart bypass operation!

Then kuna Wizara ambazo Freeman alimua kujaza bila kuzingatia uwezo wao kama akina Regia Mtema (Kazi na ajira), Lucy Owenya (Wizara ya Viwanda na Biashara)

Naomi A. Kaihula (Jamii jinsia na watoto) Highness Kiwia (Maji)...hizi wizara zote zimekuwa kwenye misuko sukomingi tangu Cabinet mpya ichaguliwe lakini hawa wa Chadema wamekuwa kimya hakuna aliyekuja na alternative policy paper yoyote kutuambia what's wrong with policies za CCM. It can be argued kuwa Freeman kujaza wanawake wasio na uwezo ni sawa na feminisation of Chadema, which to my mind is a good thing because it is going to get screwed from now on mpaka watakapo amka na kuja with proper lineup.

Perhaps Freeman's political adviser will be Halima Mdee? It has become a parody for shadow male Politicians. The only things we can expect from Freeman are parrot phases, from someone pulling his strings. The question who exactly is this unknown person?

Kama mnabisha waambieni walete C,V za hiyo Shadow Cabinet ndio mtaelewa kuwa these jokers. For this, its fair to say kuwa never in the field of human conflict in the land of Kilimanjaro...has so much damage, been inflicted on so many people, by so few...muppets!


This is NONSENSE!

Ulichofanikiwa ni kuchanganya lugha tu lakini hakuna chochote cha maana kwenye thread hii.
Mtawadanganya watu fulani tu kwa wakati wote lakini hamuwezi kuwadanganya watu wote
wakati wote.
 
Hili limbukeni la CCM sijui limetokea wapi,haya nenda kachukue posho ofisi za CCM kwa upuuzi uliotumwa uandike na bwana MSEKWA,ANGUKO LA CCM LIMETIMIA
 
sikubaliani na baadhi ya assessment ya mleta hoja lakini nakubali kuwa hawa jamaa walitakiwa wawe visible zaidi kuliko kujificha nyuma ya pazia

waziri kivuli wa afya hajaonekana na hakuna alternative policy toka kwa chama kikuu cha upinzania on solution ya hii migomo ya madaktari
 
Back
Top Bottom