CHADEMA Shadow Cabinet: Jokers & Comedians!

But for a double take, I would have thought you were talking about CCM and it's government because they embody those qualities to a tee. But instead you are ranting and raving about CHADEMA's shadow cabinet. You can't be serious.

In fact, in many people's opinions, there is only one place the CCM bunch should be right now; THE SLAMMER!

It does not matter. This lot will never gain power..Thank God
 
Kawaida angeshakuja mtu akaandika 'craps' which roughly translates to 'minyesi' (not even a word) I always find that when someone who cant even make use of proper grammar insults one's idea/opinion, it annoys beyond measure. Hehehehe So maybe the general response here is a sign of at least some kind of positive direction towards objectivity in all matters pertaining to CDM.:alien:
 
Hahaha baada ya Msekwa kusema JF tishio basi wataleta mamluki huku kujibaragua, hawajui kua jF kuna vichwa
 
I think CDM needs to work on having an independent consultant, who thoroughly reviews ministries competency na kuwajengea uwezo opposition to ask and challenge issues

Haijalishi elimu husika, ni utashi wa kuongea baada ya kuletewa na consultant,

Sliding Roof, hujamtaja Mnyika na mpiganaji Sugu, Sugu anajua anachokiongea baada ya kunyanyasika kwenye fani....kuna hoja moja siikubali...nayo ni lazima uwe umeenda shule kujenga hoja, angalia wale wanaompa jambajamba Obama! They have been aptly prepared in the background na wana nguvu ya maneno!

Mhandisi
 
"It is the mark of an educated mind to be able to entertain a thought without accepting it." Aristotle.

CDM supporters humu JF have to learn to suck up Constructive Criticism. It is how great institutions or those with such potential become greater!

Never expect that from JF-CDM, they know everything, they are living in double standard which most of time makes them unrest and sometime speechless. They are failing for everything yet they think they are leading for everything. They dont see goal, they dont have clear plan how to reach the goals. They are not here to help Chadema, except to swallow and applaud everything.

Those they seem to defend chadema they are killing it softly, their best weapons is seduction of mind, because many can not think , many love to swallow what they love most....this is like getting high when you are takinh marijuana.

It is a best time to build chadema but is a slo best time to kill chadema choice is cdm supporters what they think is what will decide their fate
 
SR anaweza kuwa mjenga hoja mzuri sana kama akipata consultant ambaye atasaidia kumvua gamba la emotions zenye chuki ambazo zinamfanya kuharibu ujumbe mzuri anaoukusudia.

Naweza kudhani kuwa CDM wamefanya kitu kikubwa sana hivi karibuni ambacho kimeshake the sky na anashindwa kucontrol maumivu, i am still pondering...
 
It is good to criticize. But criticism spiced with insults and or innuendo is no good criticism.

SlidingRoof has presented his thoughts and opinion. It is accepted. But his choice of words is questionable. He is somehow trying to be Mzee Mwanakiji. That is a long shot. It land anywhere.

Our problem sometimes is we attack to much and defend too much. All of us. Both of us. The so called JF-CDM and JF-CCM and the rest.

The problem with people like SlidingRoof and Waberoya is they talk and criticize while sitting on the porch on a swinging chair with a glass of good wine.

If CDM's shadow cabinet is that bad its because me and SlidingRoof, Waberoya etc are not in parliament. It is because we have left politics to those who are in it now. We can criticize them, we cant point fingers but what are we doing to help change the situation? Do we only end with criticism?

Take an example of how easy it is to say 'ooh, Ngassa should have scored....Simba must now start playing total footbal' while watching a football game on TV (not even being at the stadium). It is also easy to say, one I can still watch it just like one who is at the stadium. I can hear thos at the stadium cheering. I don't hav to scramble at the gate to get in etc...

But the reality remains, you are not in the field. You are not in the stadium. You are not actively participating in the game.

Sometimes even if one is not playing can change the or influence the game by cheering loudly. They are called the 12th man. They cheer. Those at home watchn on TV can not change or influence the game under any circumstances.

Back to the shadow cabinet, my only contribution is, they must prove that they are capable of delivering. They dont have to show that they are an alternative cabinet. They are watchdogs.

SlidingRoof, may I ask you to enlist herein the do's and dont's of shadow cabinet and lets tick each item against what the shadow ministers have achieved so far.

I beg to rest for now.
 
Of course huyu paa linalo teleza analeta propaganda. Lakini pia vile vile kuna ukweli katika mambo anayosema.

Ukiangalia kazi ya Shadow Cabinet, ni kutoa an indepth response and counter policy for every thing that the government ministers put forward in Parliament, and other forum be it policy, Acts, rhetoric and this has not been done. In fact one thing that mtelezo amepatia..

Hawa kina Regia sijui Owenya sijui Lema, hawana technical capacity yakuwawezesha kufanya hivi vitu. Na kama ni hivyo basi CDM iandae utaratibu wakuweza kupata consulting services indeveloping these policies to counter the weak CCM policies.. (Kwanza mawaziri wengi wa CCM hawajui chochote kuhusu policy wanazo develop lakini wengine wana taaluma ya juu pia..) kwahiyo CDM inabidi kwakweli wajijenge uwezo wao wakufanya utafiti waki sayansi katika masuala mbali mbali yakiuchumi, kisheria, kijamii ndio kweli watakuwa wanajenga uwezo wakuendesha serikali.

Msitake wananchi tuwape nchi 2015 wakati bado hamjaweza kuonyesha mtafanyaje kupunguza BOP for instance, au facilitating investor confidence, ama strengthening the regulatory regime in the telecoms sector or health sector.... Mambo ya ufisadi well and good lakini sasa tunataka in depth technical capacity building.

Ukweli ni kwamba u might get the votes of the vast emotion driven masses but unless you can demonstrate what you can really do to improve this country IN DETAIL... watu wenye akili timamu hawataweza kuwaamini in so far as your capacity to run an economy and a country is concerned.

Just because Mustapha Mkullo is a failure, does not mean that we should trust some other id!ot ambae yuko untested..just an example.

Ndugu Kinyambis; red marked:
Umesema hao (Chadema) hawana technical capacity....solution yako ni kuwa watafute consultancy (ikiwa ni pamoja na kufanya tafiti za kisayansi).....

Je! Hao CCM wana hayo mambo unayotaka toka Chadema? Kwa nini CCM mmeipa 50 years ili hali Chadema huipi hata 1 year? Unapozungumzia 2015, CCM na serikali zake wameihujumu Tz kwa miaka mingi na extent ya uharibifu wao ni kubwa sana. Objectively, hutegemei Chadema (hata ikishika dola 2015) imalize uozo wa CCM na hapo hapo ijenge hayo (ya ustawi) unayoyataka "kupunguza BOP for instance, au facilitating investor confidence, ama strengthening the regulatory regime in the telecoms sector or health sector...."

Mtatizo ya Tz ni yepi? Namba moja, tatizo la Tz sio sera. Tatizo la Tz ni uongozi. Pili, tatizo la Tz ni mfumo wa uchumi (najua wengi huko nyumbani ni wajamaa na wanaupenda) lakini siamini kama ujamaa ni mfumo sahihi wa kiuchumi na kisiasa kwa Tz (I stand to be corrected). Tatu, Woga na 4. Ujinga.

Chadema ikishika dola inahitaji supoti kubwa. Ili iweze kubadili sera lazima sheria zote tata na kandamizi zishughulikiwe, lazima mazingira yajengwe (conduicively). Lazima pia kusafisha uchafu na uvundo wa CCM. yote hayo yana gharama na yanahitaji muda.

Na mwisho, hao uliwataja kwa kejeli, nikukumbushe tu kuwa wanafanya kitu kinachonekana na kupimika ndio maana umehukumu haraka kuwa hawawezi au hawafai. Je wewe ulipoajiriwa/kuanza kazi halali ulikuwa unajua kila kitu? bila ulifanya makosa na ukajifunza ktk hayo makosa na wenguine na baada ya muda ukawa safi. Still unatakiwa kuendelea kujifunza...ndio utaratibu. Watapata wapi experience & tech capacity ikiwa hawa-practice?

Nasikia KIkwete alidai alitumia muhula wake wa kwanza kujifunza.....sasa kama candidate wa CCM alihitaji miaka hiyo je hawa kina Lema, Wenje, Mtema nk hawatahitaji muda kidgo? ( ingawa sio lazima uwe mrefu kama wa hao).

Let's support them, if we have to critize them... we will oblige constructively.
 
It is good to criticize. But criticism spiced with insults and or innuendo is no good criticism.

SlidingRoof has presented his thoughts and opinion. It is accepted. But his choice of words is questionable. He is somehow trying to be Mzee Mwanakiji. That is a long shot. It land anywhere.

Our problem sometimes is we attack to much and defend too much. All of us. Both of us. The so called JF-CDM and JF-CCM and the rest.

The problem with people like SlidingRoof and Waberoya is they talk and criticize while sitting on the porch on a swinging chair with a glass of good wine.

If CDM's shadow cabinet is that bad its because me and SlidingRoof, Waberoya etc are not in parliament. It is because we have left politics to those who are in it now. We can criticize them, we cant point fingers but what are we doing to help change the situation? Do we only end with criticism?

Take an example of how easy it is to say 'ooh, Ngassa should have scored....Simba must now start playing total footbal' while watching a football game on TV (not even being at the stadium). It is also easy to say, one I can still watch it just like one who is at the stadium. I can hear thos at the stadium cheering. I don't hav to scramble at the gate to get in etc...

But the reality remains, you are not in the field. You are not in the stadium. You are not actively participating in the game.

Sometimes even if one is not playing can change the or influence the game by cheering loudly. They are called the 12th man. They cheer. Those at home watchn on TV can not change or influence the game under any circumstances.

Back to the shadow cabinet, my only contribution is, they must prove that they are capable of delivering. They dont have to show that they are an alternative cabinet. They are watchdogs.

SlidingRoof, may I ask you to enlist herein the do's and dont's of shadow cabinet and lets tick each item against what the shadow ministers have achieved so far.

I beg to rest for now.

You are dead wrong Msando!

I repeat saying that I, Waberoya son of Truth and gandson of Justice you are dead wrong

I can tell you with details how I was in the campain teams of some of your wabunge in different elections, Mdee is prime example

I waberoya can tell you in and out what I know about politics in in CCM not in Chadema.

Msando my dear, unlike other people whom I dont know I know your face and I am imagining that I do see you

It is like this,

Take this note:

If some people will keep silent, will not stand up to shape, warn and criticise chadema get prepare to die very soon

Criticism is what will make chadema stronger and focused, criticism is what will wake up your mind and think in many directions out of the box.

I love changes, I want changes, the question is: just move around Africa continent my dear does change in some countries have helped them??

They did not prepare people who will take over the government they ended up in the same pit, by showing our true and only nature of africanism.....this is what NN say ndivyo tulivyo

Chadema get prepare! we will criticise you openly that show how we love you, we need you to change and have your own standard far apart from CCM's!!

Chadema real need to show you have democracy , you respect democracy na sio kulialia kila siku kama mnavyojionyesha

Kuna siku nilitania je, ndani ya chama chenu anaweza kutokea obama na hilary clinton wakasimama na kama walivyofanya halafu mwisho wake mumchague 'obama wenu ' kugombea urais?

Ni kweli leo Msando unaweza kwenda kinyume na wenzako na yet usiwekewe vikao vya bagamoyo kutaka kufukuzwa?

I know Zito is your friend indeed, lakini angalia mawazo yake, focus yake, style yake, we real need people like him in opposition, TELL ME ,telll me this once, je ni wote upinzani tena ndaniya chama wanamuelewa zito? ARE WE THERE?????

Leo unakata Slaa awe rais na kuleta udikteta wa ajabu wa kutojibizana na kuamua tu ili mradi ameamua, majibu yake kuhusu Mbeya yamemuweka wapi Shitambala? unataka tukae kimya tu simply kwa sabu hatuko field? au simply kwa sababu mko kinyume na CCM? Kenya nini kilitokea?

Msando ukiwa kiongozi na mwanachama wa chadema, tell me is Chadema a dream partay, JE WATOTO MASHULENI to what extent can dream to be a president in this country through chadema? how many can aspire to be chairman of chadema and fullfill their dream??

Mlipiga kura na kuamua mgombea rais awe fulani au kuna watu waliamua tu? je nani aliyemweka Mbowe kuwa mwenyekiti ni chadema wote au wazee tu? na hili nalo ni sawa , ndio sura ya chama au historia inafutwa na tunaona kama hakuna kilichotokea na doa hili si doa KWA SABABU CHADEMA IKO KINYUME NA CCM?

Vipi ikishika dola? if today CCM are crying foul and that just some elite family's son and daughters are being considered is this not likely or existing in chadema?

Au fundametalism ya chama ni tuionodoe tu ccm na mengine ya kufuata kanuni na ideology ni baadae? misingi ikiwa mibovu kila kitu kinaharibika mkuu

Tunaposema hasa personally sioni chama kingine kinachoweza kuiondoa CCM madarakani isipokuwa chadema,.....nikikosoa m kuonya kutoa ushauri n.k ni kwa ubaya

Nikirudia post zangu nyingi humu, naamini kama zingekuwa zinafuatiliwa vizuri chadema ingekuwa kwenye anga zuri sana na sio questionable. Kibaya nyingi zinachukuliwa ki-uadui na kuwa huyu mtu hakitakii mema chama.....mwisho huwa nauliza SASA CHADEMA NA CCM tofauti ni nini??

Grow up man leave this to CCM, wakikosolewa watamtumia sofia simba na akina chiligati...wengine huku criticism zichukulieni positively na kuona ni mtaji wa kusogea mbele...lakini si kusema HATUKO FIELD!! what if Kikwete akisema nyie MNANILAUMU TU KWA SABABU SIO MARAIS!! HAMUIJUI IKULU NA PRESSURE ZAKE..WHAT IF GOVERNMENT WILL RESPOND THE SAME ....kuwa hamko serikalini are you not pointing four long fingers to disoute your daily activities diwani?

I am assuming you did not wri
 
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi-Halima James Mdee ( not a word on Tibaijuka's bomoa bomoa policy)
Of course no one knows her education level

Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano-----Pauline P. Gekul( Freeman, is this the best you can do ?......really? )

Mazingira----Grace S. Kiwelu (not a word on Serengeti and other pressing national environmental matters)

Wizara ya Fedha-------Christina Lissu Mughwai (So this is Mkulo's equivalent? uuh?)

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa-----------Ezekia D. Wenje (Mr Facebook....he should have been Minister for Facebook Affairs or applied a job with Zuckernerg)

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa-----------Joseph Selasini (doesnt even know where the Gmboto report is)

Wizara ya Maliasili na Utalii -----------Rev. Peter Msigwa (this one doesnt even know nchi inayoongoza kutuleta watalii Tanzania)

Wizara ya Nishati na Madini ---------John John Mnyika ( Mr JF...has no idea who Corporates for Crisis are and CMEC have been up to...but knows all JF log pins)

Wizara ya Ujenzi-------------Eng. Salvatory Machemuli (any one know who this dude is?)

Wizara ya Viwanda na Biashara---------Lucy F. Owenya (more suited for East Coast Productions....if u know what I mean)

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi--------Christowaja Mtinda (has no idea why hakuna chuo cha Veta Rufiji)

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii-----------Dr. Mbasa Gervas (Mr ruzuku za mafuta, na per diem)

Wizara ya Kazi na Ajira------------Regia Mtema (another west coast production candidate)

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto ------------Naomi A. Kaihula (really?)

Wizara ya Habari, Vijana na Michezo-----------Joseph O. Mbilinyi (Johny Foreigner....i rest my case for future)

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika ----------------Opulukwa Meshack (no clue who he was in his previous life)

Wizara ya Maji------------Highness S. Kiwia (his previous Facebook page used to call himself Mr Cleo.....i rest my case)

I feel sorry for Freeman, everyone knows that he is 'so out of touch', he still doesn't realise were he is.

From this so called Shadow Cabinet, its obvious that Talent and Chadema are two words that will never go together, either in a sentence, paragraph, or an entire article. Ignorance and Chadema fanboys (just like those Apple fanboys), on the other hand, go very well together, and includes every MP (elected and selected), and individual in this country and who demonstrate the most appalling levels of stupidity, and sheer ignorance associating themselves with the most vile, treacherous, party ever seen in the land of Serengeti and Zanzibar. They, thank God, are now the 'EXTINCT or 'HAS BEEN'' party.

So far from what Ive seen Chadema Shadow cabinet has absolutely 'no intelligence, no talent,no education no patriotism, no responsibility, no sense of duty, no sense of loyalty, either to country, or countrymen, and have no principles, no morals whatsoever, other than to 'serve themselves' and few ruzukus here and there. In fact with this lot, there is only one place they could end up, and that is exactly where they are right now, in the 'dustbin of political history & irrelevance', and from there, there is 'no return'!

In my opinion JF does better job of Shadow cabinet than these.

I read arrogance, obsession and envy to this.
 
Of course huyu paa linalo teleza analeta propaganda. Lakini pia vile vile kuna ukweli katika mambo anayosema.

Ukiangalia kazi ya Shadow Cabinet, ni kutoa an indepth response and counter policy for every thing that the government ministers put forward in Parliament, and other forum be it policy, Acts, rhetoric and this has not been done. In fact one thing that mtelezo amepatia..

Hawa kina Regia sijui Owenya sijui Lema, hawana technical capacity yakuwawezesha kufanya hivi vitu. Na kama ni hivyo basi CDM iandae utaratibu wakuweza kupata consulting services indeveloping these policies to counter the weak CCM policies.. (Kwanza mawaziri wengi wa CCM hawajui chochote kuhusu policy wanazo develop lakini wengine wana taaluma ya juu pia..) kwahiyo CDM inabidi kwakweli wajijenge uwezo wao wakufanya utafiti waki sayansi katika masuala mbali mbali yakiuchumi, kisheria, kijamii ndio kweli watakuwa wanajenga uwezo wakuendesha serikali.

Msitake wananchi tuwape nchi 2015 wakati bado hamjaweza kuonyesha mtafanyaje kupunguza BOP for instance, au facilitating investor confidence, ama strengthening the regulatory regime in the telecoms sector or health sector.... Mambo ya ufisadi well and good lakini sasa tunataka in depth technical capacity building.

Ukweli ni kwamba u might get the votes of the vast emotion driven masses but unless you can demonstrate what you can really do to improve this country IN DETAIL... watu wenye akili timamu hawataweza kuwaamini in so far as your capacity to run an economy and a country is concerned.

Just because Mustapha Mkullo is a failure, does not mean that we should trust some other id!ot ambae yuko untested..just an example.
Kila chama kina Mwanzo wake hata Tanu ilipoanza haikuwa na kila nyanja kumekamilika ila kwa sababu walikuwa na itikadi na mwelekeo unaofanana bila unafiki na kusimamia kile walichoakiamini walifanya makubwa kuliko hata leo ambapo kuna wasomi wengi na tena wenye ujuzi.
kwa hivyo basi hata chadema yaweza kuwa na baadhi ya wabunge wsiyokuwa wazuri sana kiujuzi ingawa sitakikuamini hivyo sana, lakini ndiyo waliopo na ndiyo wangeuunda baraza la mawaziri kivuli au kama mwanzisha mada ana uwezo wa kuelewa mambo na ujuzi basi kwanini hakugombea ubunge ili atusaidie bali anajifanya kuponda au anataka tufanye nini sasa sisi wana JF.
Napenda kutoa wito kwa vijana kuamka na kuchukua madaraka kwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali hata kama ni mtaa au ujumbe wa nyumba kumikumi ili tueze kuongoza nchi na kuwasaidia wenzetu siyo lazima uwe Mbunge au Diwani tu.
 
You are dead wrong Msando!

I repeat saying that I, Waberoya son of Truth and gandson of Justice you are dead wrong

I can tell you with details how I was in the campain teams of some of your wabunge in different elections, Mdee is prime example

I waberoya can tell you in and out what I know about politics in in CCM not in Chadema.

Msando my dear, unlike other people whom I dont know I know your face and I am imagining that I do see you

It is like this,

Take this note:

If some people will keep silent, will not stand up to shape, warn and criticise chadema get prepare to die very soon

Criticism is what will make chadema stronger and focused, criticism is what will wake up your mind and think in many directions out of the box.

I love changes, I want changes, the question is: just move around Africa continent my dear does change in some countries have helped them??

They did not prepare people who will take over the government they ended up in the same pit, by showing our true and only nature of africanism.....this is what NN say ndivyo tulivyo

Chadema get prepare! we will criticise you openly that show how we love you, we need you to change and have your own standard far apart from CCM's!!

Chadema real need to show you have democracy , you respect democracy na sio kulialia kila siku kama mnavyojionyesha

Kuna siku nilitania je, ndani ya chama chenu anaweza kutokea obama na hilary clinton wakasimama na kama walivyofanya halafu mwisho wake mumchague 'obama wenu ' kugombea urais?

Ni kweli leo Msando unaweza kwenda kinyume na wenzako na yet usiwekewe vikao vya bagamoyo kutaka kufukuzwa?

I know Zito is your friend indeed, lakini angalia mawazo yake, focus yake, style yake, we real need people like him in opposition, TELL ME ,telll me this once, je ni wote upinzani tena ndaniya chama wanamuelewa zito? ARE WE THERE?????

Leo unakata Slaa awe rais na kuleta udikteta wa ajabu wa kutojibizana na kuamua tu ili mradi ameamua, majibu yake kuhusu Mbeya yamemuweka wapi Shitambala? unataka tukae kimya tu simply kwa sabu hatuko field? au simply kwa sababu mko kinyume na CCM? Kenya nini kilitokea?

Msando ukiwa kiongozi na mwanachama wa chadema, tell me is Chadema a dream partay, JE WATOTO MASHULENI to what extent can dream to be a president in this country through chadema? how many can aspire to be chairman of chadema and fullfill their dream??

Mlipiga kura na kuamua mgombea rais awe fulani au kuna watu waliamua tu? je nani aliyemweka Mbowe kuwa mwenyekiti ni chadema wote au wazee tu? na hili nalo ni sawa , ndio sura ya chama au historia inafutwa na tunaona kama hakuna kilichotokea na doa hili si doa KWA SABABU CHADEMA IKO KINYUME NA CCM?

Vipi ikishika dola? if today CCM are crying foul and that just some elite family's son and daughters are being considered is this not likely or existing in chadema?

Au fundametalism ya chama ni tuionodoe tu ccm na mengine ya kufuata kanuni na ideology ni baadae? misingi ikiwa mibovu kila kitu kinaharibika mkuu

Tunaposema hasa personally sioni chama kingine kinachoweza kuiondoa CCM madarakani isipokuwa chadema,.....nikikosoa m kuonya kutoa ushauri n.k ni kwa ubaya

Nikirudia post zangu nyingi humu, naamini kama zingekuwa zinafuatiliwa vizuri chadema ingekuwa kwenye anga zuri sana na sio questionable. Kibaya nyingi zinachukuliwa ki-uadui na kuwa huyu mtu hakitakii mema chama.....mwisho huwa nauliza SASA CHADEMA NA CCM tofauti ni nini??

Grow up man leave this to CCM, wakikosolewa watamtumia sofia simba na akina chiligati...wengine huku criticism zichukulieni positively na kuona ni mtaji wa kusogea mbele...lakini si kusema HATUKO FIELD!! what if Kikwete akisema nyie MNANILAUMU TU KWA SABABU SIO MARAIS!! HAMUIJUI IKULU NA PRESSURE ZAKE..WHAT IF GOVERNMENT WILL RESPOND THE SAME ....kuwa hamko serikalini are you not pointing four long fingers to disoute your daily activities diwani?

I am assuming you did not wri

Waberoya,

Sijapinga wala kukataa kuhusu criticism. It definately will help CHADEMA to grow.

Ninacholalamikia hapa ni kuachia siasa ifanywe na watu fulani. Watu hao ndio tunawacriticize lakini ndivyo walivyo. Tusipokuwepo ndani hatuwezi kuona maadiliko tunayayoyataka.

Zitto is doing it and he has shown the way. Yeyote anayempinga na asiyemuelewa hajui maana ya siasa. Nimeshapishana mawazo na Zitto mara nyingi lakini siku zote kila mmoja anaelewa mwenzake anafikiria nini na nini kifanyike. Kuna watu wengi sana ambao tulikuwa wote UDSM (nakumbuka UDSM School of Thought) ambao leo hii wakiamua na kukata shauri kuingia kwenye siasa za nchi hii basi mabadiliko yangekuwepo.

Kwa hiyo sikatai mampungufu ya kimfumo au kiutendaji ndani ya CHADEMA. Hayo ni mambo ambayo yapo na kazi iliyopo mbele yetu ni kuyarekebisha kila siku. Slaa na Mbowe hawatakuwepo milele, je wakiwa hawapo nani anafuata? Sasa hivi nani anatoa alternative ndani ya chama?

Mimi binafsi naamini hakuna mwenye hati ya umiliki wa CHADEMA. CHADEMA ni chama cha wananchi wote wa taifa hili na sio mtu binafsi. Tunatambua mchango wakila mmoja aliyejitolea kuifikisha CHADEMA ilipo lakini michango ya mtu yeyote haimpi umiliki wa chama au mawazo ya wanachama.

Anayeogopa kuwa na mawazo tofauti ni muoga. Hakuna anayeweza kunifukuza uanachama kwa kuwa na mawazo tofauti na kuachana na unafiki. Hakuna. Ukiweza kusimamia ukweli na haki yako kama mwanachama basi unaweza kuwa na mawazo tofauti na hakuna utakachofanywa.
 
its already getting emotional

You have already been judged as not serious. It is not emotional only that you need to evaluate and reassess yourself. Your out of pace with events, out of place trying to tease serious mind. I suggest you review your topic by something like CHADEMA Shadow Cabinet: Performance so far, instead of "Jokers & Comedians!"

You have scored under the belly instead of provoking a serious debate. You are welcome.
 
Waberoya,

Sijapinga wala kukataa kuhusu criticism. It definately will help CHADEMA to grow.

Ninacholalamikia hapa ni kuachia siasa ifanywe na watu fulani. Watu hao ndio tunawacriticize lakini ndivyo walivyo. Tusipokuwepo ndani hatuwezi kuona maadiliko tunayayoyataka.

Zitto is doing it and he has shown the way. Yeyote anayempinga na asiyemuelewa hajui maana ya siasa. Nimeshapishana mawazo na Zitto mara nyingi lakini siku zote kila mmoja anaelewa mwenzake anafikiria nini na nini kifanyike. Kuna watu wengi sana ambao tulikuwa wote UDSM (nakumbuka UDSM School of Thought) ambao leo hii wakiamua na kukata shauri kuingia kwenye siasa za nchi hii basi mabadiliko yangekuwepo.

Kwa hiyo sikatai mampungufu ya kimfumo au kiutendaji ndani ya CHADEMA. Hayo ni mambo ambayo yapo na kazi iliyopo mbele yetu ni kuyarekebisha kila siku. Slaa na Mbowe hawatakuwepo milele, je wakiwa hawapo nani anafuata? Sasa hivi nani anatoa alternative ndani ya chama?

Mimi binafsi naamini hakuna mwenye hati ya umiliki wa CHADEMA. CHADEMA ni chama cha wananchi wote wa taifa hili na sio mtu binafsi. Tunatambua mchango wakila mmoja aliyejitolea kuifikisha CHADEMA ilipo lakini michango ya mtu yeyote haimpi umiliki wa chama au mawazo ya wanachama.

Anayeogopa kuwa na mawazo tofauti ni muoga. Hakuna anayeweza kunifukuza uanachama kwa kuwa na mawazo tofauti na kuachana na unafiki. Hakuna. Ukiweza kusimamia ukweli na haki yako kama mwanachama basi unaweza kuwa na mawazo tofauti na hakuna utakachofanywa.

Nakubaliana na wewe kimantiki; ila hata michango ni vema iwe productive kuelekea kwenye achievement ya lengo au kusudio fulani. Mawazo ni resource ambayo inaweza kupotezewa kama inavyotokea hapa nchini. Kwa hiyo mimi naona isue siyo utofauti wa mawazo au woga; issue ni yapi mawazo yenye kuleta achievement inayokusudiwa?

Kuhusu hii thread mawazo yanayo kusudiwa siyo productive kwa sababu yamejikita kwenye personalities badala ya kusudio la Shadow Ministries. Labda ndiyo maana wengine hawachangii au wanachangia kwa mtazamo tofauti, hata wengine hawataki kujishirikisha kwenye siasa zetu kwa sababu hazina mwelekeo wa productivity ya kinachokusudiwa (Ambacho pia kinaweza kuwa hakina mlengo wa kitaifa).

Sorry I am an old guy I want you guys to focus and be productive with you ideas
 
Naomba nikujibu hivi,
1. Idadi ya wabunge wa cdm ni chache so almost wote lazima waingie kwenye cabinet.
2. Hizo presentation zao wazipeleke wapi? wazilete JF? una uhakika hawafanyi kazi? Zitto alipresent wapi? leta ushahidi. Au kuwa mpiga debe wa NSSF ndo unaona anfanya kazi?
3 Unampimaje mtu kuwa hawezi kwa nje? na kusema hafai?
4 Kwani mwanamke kuwa mshauri as longer as ni mzuri ni problem? mbona una mfumo dume? Mbona wewe ni mwanume huna lolote unaloshauri zaidi ya kutumika tu na waliokutuma?
Ni aibu kwa mwanaume kutumika na mwanume mwenzako.
 
Hoja yako nzuri sana ila ungempa majibu badala ya maswali kwa sababu ameonyesha kutokuwa na uwezo wa kutosha wa kuelewa na kujieleza labda kweli kuna mwanaume mwenzie anayemtumikia.

Halafu mods mumetuondolea THANKS wengine siyo wachoyo wa kuzitoa. Hata groan vipi mods?
 
Nakubaliana na wewe kimantiki; ila hata michango ni vema iwe productive kuelekea kwenye achievement ya lengo au kusudio fulani. Mawazo ni resource ambayo inaweza kupotezewa kama inavyotokea hapa nchini. Kwa hiyo mimi naona isue siyo utofauti wa mawazo au woga; issue ni yapi mawazo yenye kuleta achievement inayokusudiwa?

Kuhusu hii thread mawazo yanayo kusudiwa siyo productive kwa sababu yamejikita kwenye personalities badala ya kusudio la Shadow Ministries. Labda ndiyo maana wengine hawachangii au wanachangia kwa mtazamo tofauti, hata wengine hawataki kujishirikisha kwenye siasa zetu kwa sababu hazina mwelekeo wa productivity ya kinachokusudiwa (Ambacho pia kinaweza kuwa hakina mlengo wa kitaifa).

Sorry I am an old guy I want you guys to focus and be productive with you ideas

I agree. The topic is full of innuendo and that makes it (naturally) an attacking thread which will receive the same defensive response. All aside, it is high time to ring a bell for the shadow ministers to show how they are perfoming in their duty. I trust that they all know what is expected of them and they will deliver. If they fail then CHADEMA will make a decision and that is not bad for the party.
 
Naomba nikujibu hivi,
1. Idadi ya wabunge wa cdm ni chache so almost wote lazima waingie kwenye cabinet.
2. Hizo presentation zao wazipeleke wapi? wazilete JF? una uhakika hawafanyi kazi? Zitto alipresent wapi? leta ushahidi. Au kuwa mpiga debe wa NSSF ndo unaona anfanya kazi?
3 Unampimaje mtu kuwa hawezi kwa nje? na kusema hafai?
4 Kwani mwanamke kuwa mshauri as longer as ni mzuri ni problem? mbona una mfumo dume? Mbona wewe ni mwanume huna lolote unaloshauri zaidi ya kutumika tu na waliokutuma?
Ni aibu kwa mwanaume kutumika na mwanume mwenzako.

Duh, Remmy umesulubu. At least I can sign out and have a nice weekend knowing that this is in safe hands.
 
Back
Top Bottom