CHADEMA ondoeni aibu

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Chama ambacho kinashika namba 2 kwa kupata ruzuku, kimeshindwa kupata ofisi yenye hadhi katika manispaa ya Temeke. Ofisi ya wilaya ni fedheha tupu ipo mkabala na Kisuma Bar Mwenbe Yanga hivyo inakuwa ni kero kwa wanachama kutembelea ofisi.
CHADEMA badilikeni!! Ruzuku mnapata, mnamalizia katika maandamano??
 
Ofisi angalau iwe na viti na meza

kwa hiyo unataka kutudanganya wanakaa chini ama wanasimama wakiwa ofisini.Haf kama hueleweki ivi......mara iko karibu na kisuma bar mwembe yanga mara yenye hadhi.....au namaanisha iwe karibu na beach ivi ndo itakuwa na hadhi ,viti na meza zitaongezeka.........
 
Umefakia ofisi za mikoa hali mbaya. Viongozi wa Chadema mikoa hali mbaya.
 
Ofisi za chadema ndio zinatoa huduma za afya,ulinzi,elimu,ukusanyaji kodi, chadema iko mioyoni mwa watanzania, nyie endeleeni kukiweka chama chenu ofisini na kwenye mavogue, time is coming when you will pass by those ccm offices as if they are not there.
 
chama ambacho kinashika namba 2 kwa kupata ruzuku, kimeshindwa kupata ofisi yenye hadhi katika manispaa ya temeke. Ofisi ya wilaya ni fedheha tupu ipo mkabala na kisuma bar mwenbe yanga hivyo inakuwa ni kero kwa wanachama kutembelea ofisi.
Chadema badilikeni!! Ruzuku mnapata, mnamalizia katika maandamano??

hivi wewe unajua ofisi nyingi za ccm zimejengwa kwa kodi yako na ufisadi!
 
Kwani CCM wana Ofisi au walitaifisha tuu wangetakiwa baada ya kuruhusiwa vyama vingi zile Ofisi zirudi serikalini halafu waanze upya kama wenzao na hiyo ni kazi ambayo CDM itafanya ikishika madaraka lazima zirudi
 
hakuna cha upinzani hapa tanzania wote wahemea matumbo na kuropoka tu majukwaani,,hao ndo wanataka kutawala kwl?miaka 20 si kidogo mjipange mnatia aibu!!HARAFU HAPA JF KUNA WATU SIJUI WAKOJE YAANI IKITOKEA UKAIKOSOA CDM UNAANDAMWA SANA,,HIVI MBOWE NA SLAA WAO NI MALAIKA??CHAMA HAKIWEZI KUJENGWA KWA KUSIFIWA TU BILA KUKOSOLEWA,mtaua chama kwa mtindo huu wa kipuuz na kijinga
 
hayo ndio uliyotaka kusema au kuna mengine!? Maliza kabisa! Cdm inajenga ofisi zake mioyoni mwetu! Hayo majengo na fanicha ni awamu ya pili tukimaliza mapambano ya kuiondoa ccm madarakani! Kama unaon tabu kwenda kwenye ofisi, wasiliana na kiongozi kwa simu!
 
unajiumauma tu!are real great thinker?kwanini cdm ikikosolewa mnakuwa wakal?watu kama nyie ndo waua chama
 
hakuna cha upinzani hapa tanzania wote wahemea matumbo na kuropoka tu majukwaani,,hao ndo wanataka kutawala kwl?miaka 20 si kidogo mjipange mnatia aibu!!HARAFU HAPA JF KUNA WATU SIJUI WAKOJE YAANI IKITOKEA UKAIKOSOA CDM UNAANDAMWA SANA,,HIVI MBOWE NA SLAA WAO NI MALAIKA??CHAMA HAKIWEZI KUJENGWA KWA KUSIFIWA TU BILA KUKOSOLEWA,mtaua chama kwa mtindo huu wa kipuuz na kijinga
Kwa ufukara mkubwa ambao CCM imewasababishia watanzania usitegemee kama yupo ambaye anacheka cheka anapoona magari mazuri, majengo makubwa ya chama, na miili iliyonawiri ndani ya mashati ya gharama kubwa sana ya rangi za kijani. watanzania wanachuki kubwa sana na CCM. Na ni dhihaka kubwa sana mnapoilazimisha chadema kujifika muenekano kama wenu huku mkijua kwamba majumbani kwao wanakaa kwenye vigoda na kulala kwenye mikeka, nyie fanyeni ufahari wenu, nyakati zinakuja ambazo mkiwa mnatembea mtakuwa mkihisi kuzomewa, yaani mtakuwa ni kama watu mliopakwa mavi.
 
mbona unakuwa na haraka kama unaoga nje? Unatuambia hakuna chama cha upinzani, mara tunaua chama, kipi au chama tawala?
 
hakuna cha upinzani hapa tanzania wote wahemea matumbo na kuropoka tu majukwaani,,hao ndo wanataka kutawala kwl?miaka 20 si kidogo mjipange mnatia aibu!!HARAFU HAPA JF KUNA WATU SIJUI WAKOJE YAANI IKITOKEA UKAIKOSOA CDM UNAANDAMWA SANA,,HIVI MBOWE NA SLAA WAO NI MALAIKA??CHAMA HAKIWEZI KUJENGWA KWA KUSIFIWA TU BILA KUKOSOLEWA,mtaua chama kwa mtindo huu wa kipuuz na kijinga
Kama mko qualified kujenga chama, nendeni mkajenge kaburi la ccm. wengine hatujali hata ikifa na tukaitupa mtoni iwe chakula cha mamba.
 
Kwa ufukara mkubwa ambao CCM imewasababishia watanzania usitegemee kama yupo ambaye anacheka cheka anapoona magari mazuri, majengo makubwa ya chama, na miili iliyonawiri ndani ya mashati ya gharama kubwa sana ya rangi za kijani. watanzania wanachuki kubwa sana na CCM. Na ni dhihaka kubwa sana mnapoilazimisha chadema kujifika muenekano kama wenu huku mkijua kwamba majumbani kwao wanakaa kwenye vigoda na kulala kwenye mikeka, nyie fanyeni ufahari wenu, nyakati zinakuja ambazo mkiwa mnatembea mtakuwa mkihisi kuzomewa, yaani mtakuwa ni kama watu mliopakwa mavi.

CCM na ofisi zao, CHADEMA na wananchi wao.
 
Chama ambacho kinashika namba 2 kwa kupata ruzuku, kimeshindwa kupata ofisi yenye hadhi katika manispaa ya Temeke. Ofisi ya wilaya ni fedheha tupu ipo mkabala na Kisuma Bar Mwenbe Yanga hivyo inakuwa ni kero kwa wanachama kutembelea ofisi.
CHADEMA badilikeni!! Ruzuku mnapata, mnamalizia katika maandamano??

Wewe unataka iwe wapi
 
Back
Top Bottom