TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Wanabod leo ni fainali ya kampeni za uchaguzi mdogo wa mbunge wa Arumeru mashariki,nimefananisha kampeni hizi na mchezo wa riadha kwamba vyama vyote vinavyoshiriki vipo kwenye mstari tayari kuanza riadha ya mbio fupi za mita 100,NAAMINI CDM wanazimudu sana mbio hizi,ndiyo maana kando ya running tracks kunawashangiliaji wengi wenye imani na mwakilishi wa timu ya CDM KWANI ameonyesha matumaini kipindi chote cha mazoezi kwa kukidhi viwango vya ushindi.TUNAOMBA WAAMUZI WAWE FAIR KWENYE GAME.