Chadema on the line,kaa tayari,paaaaa arumeru mashariki!

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Wanabod leo ni fainali ya kampeni za uchaguzi mdogo wa mbunge wa Arumeru mashariki,nimefananisha kampeni hizi na mchezo wa riadha kwamba vyama vyote vinavyoshiriki vipo kwenye mstari tayari kuanza riadha ya mbio fupi za mita 100,NAAMINI CDM wanazimudu sana mbio hizi,ndiyo maana kando ya running tracks kunawashangiliaji wengi wenye imani na mwakilishi wa timu ya CDM KWANI ameonyesha matumaini kipindi chote cha mazoezi kwa kukidhi viwango vya ushindi.TUNAOMBA WAAMUZI WAWE FAIR KWENYE GAME.
 
Tumekusikia mkuu, lakini nyuzi kama hizi zimekaa kishabiki sana. Napenda uzi unahusu tukio fulani, mf unahabari toka jikoni unataka na wenzako wanusenuse unatupa n.k

Lakini uzi huu umekaa too generala kama general term ilivyo katika arthimetic mathematics!!!!!!
 
Kaka shikilia hapo ulipo 'natangaza hali ya hatari kesho hapa meru' polisi nendeni ado ado hapa si igunga
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom