Kyamkwikwi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 441
- 146
Njaa mbaya sana. Kadi yenyewe ulibembeleza ukadhaminiwa na mtu maana hata haujui kuwa kadi uliyonunua ni mali yako wewe umeilipia na ni wewe mwenye kuamua uifanyeje hata ukiamua utupe chooni ulimoandikia hii thread baada ya kuvuta harufu chafu sawa tu. CDM waache kushughurika na program za maana waangaike na mlemavu wa akili asiyejitambua hata mali yake mwenyewe eti anawaomba CDM wakaichukue, unajitosheleza kwa lipi wewe baada ya kukosa madili CDM sasa unaaza kulialia ukidhani atakuja kiongozi wa CDM hata wa mtaa ili umwombe angalau buku, haji mtu shauri zako na njaa yako kalime mahindi au nyanya uishi wewe acha uvivu wa fikra watu wa fashion ya kwako CDM hatuwahitaji mzigo tu, kazi huwezi ni kulalam lalama tu.
usitoe mapovu kijana. tuache siasa ktk kila jambo. Kuna udhaifu wa ccm na serikali yake , hilo liko wazi sana. Lakini m4c na maandamano sio suluhisho. Mimi ninajitosheleza sina fungu ccm wa cdm , naiishi kwa kipato changu kidogo hongerini wasomi na matajiri wa cdm.