Chadema njooni mchukue kadi yenu

omusimba

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
310
76
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo.

M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo.

Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?
 
Naona umeamua nawe uwe miongoni mwa GTs na ufikie kupata hadhi ya Gold kwa uwingi wa Posts. Umefanikiwa mkuu..
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?
vijana wanategemea chadema ikiingia madarakani watapata kazi kwa kupewa nafasi kama vile ubalozi.nk bila kujua kuwa hizo nafasi ni chache kiasi kwamba wengi wao watabaki bila hata kuonekana
 
Kama ilivyo kwa UVCCM saizi baada ya kukosa ukuu wa wilaya siyo????
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Nikuulize tena kama nilivyowahi kumuuliza kilaza kama wewe , mvivu wa kufikiri, mwenzio nilimuuliza hivi: hiyo M4C unayosema inawapotezea muda wa maendeleo vijana ni kila siku inafanyika katika eneo moja ? mimi ninachojua M4C ni uhamasishaji na hakuna njia mbadala unaweza kutumia kukipeleka chama kwa wananchi zaidi ya kuwahamasisha na kuwajengea uelewa

M4C mangamba naona inawatesa sana, na tulishajua inawaumiza itapigwa hiyo mpaka kieleweke
 
Sitafuti kazi kupitia CDM nilipata kazi kabla makani hajawa mwenyekiti cdm! Nape ndo nani tena hapa mjini?
 
mm ni kilaza kwamtazamo wako , sawa! lkn mie najua labda ni zaidi kwa vile unaonekana una jazba, naheshimu mtazamo wako !
 
Wahi kupimwa maralia, maana malaria ina tabia ya kuoteza mwendendo wa muda wa kufanya/kuandika vitu vya maana.
 
mm ni kilaza kwamtazamo wako , sawa! lkn mie najua labda ni zaidi kwa vile unaonekana una jazba, naheshimu mtazamo wako !

hakuna lolote unalojua wewe, ukitaka kujua uelewa wa mtu upo juu au chini ni kwa hoja mbovu kama hii ya kwako wala huitaji kumjua mtu uelewa unaweza pimwa kwa njia kama hiyo
 
labda ya kudeki chooni kwa Nape, lakini ofisi yenye watu makini hawawezi kuajiri kilaza kama wewe

mnapenda sana kuita watu vilaza lkn mie nimesoma vizuri sana! taaluma yangu haina shaka tangu mara sec, pugu , udsm na ninapofanya kazi sasa! hongera na ww kama unaweza kuwa na cheti na ufanisi kazi kama mm!
 
Wewe inaonyesha kabisa akili zako zimekaa kimagamba magamba. Wewe sio cdm chadema hakuna wajinga kama wewe.
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

uliombwa ukachukue hyo kadi mko? Means waliyokupia ndo ui2mie kurudisha, nakupongeza kwa kujtoa nenda unakoona kunakufaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom