Chadema njooni mchukue kadi yenu

Njaa mbaya sana. Kadi yenyewe ulibembeleza ukadhaminiwa na mtu maana hata haujui kuwa kadi uliyonunua ni mali yako wewe umeilipia na ni wewe mwenye kuamua uifanyeje hata ukiamua utupe chooni ulimoandikia hii thread baada ya kuvuta harufu chafu sawa tu. CDM waache kushughurika na program za maana waangaike na mlemavu wa akili asiyejitambua hata mali yake mwenyewe eti anawaomba CDM wakaichukue, unajitosheleza kwa lipi wewe baada ya kukosa madili CDM sasa unaaza kulialia ukidhani atakuja kiongozi wa CDM hata wa mtaa ili umwombe angalau buku, haji mtu shauri zako na njaa yako kalime mahindi au nyanya uishi wewe acha uvivu wa fikra watu wa fashion ya kwako CDM hatuwahitaji mzigo tu, kazi huwezi ni kulalam lalama tu.

usitoe mapovu kijana. tuache siasa ktk kila jambo. Kuna udhaifu wa ccm na serikali yake , hilo liko wazi sana. Lakini m4c na maandamano sio suluhisho. Mimi ninajitosheleza sina fungu ccm wa cdm , naiishi kwa kipato changu kidogo hongerini wasomi na matajiri wa cdm.
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Sidhani kama chma cha Chadema kiahitaji vijana wa sampuli yako.
 
Kwani unavyoitaka walikuletea mpaka useme waje kuchukua? Na watachukua majivu? Vijana wanaotembea na gwanda we wanakukera nin?
 
mnapenda sana kuita watu vilaza
Hao unaodai wanapenda kuita watu vilaza ndio akina nani? Na hao wanaoitwa vilaza je, ni uwongo?
lkn mie nimesoma vizuri sana!
Oh, oooh! A drunk admitting drunkenness! Wonders will never cease!
taaluma yangu haina shaka tangu mara sec,
Mara? Mara hawatoi watu dizaini hii...labda ukoo wa Wassira, je mna undugu?
pugu , udsm na ninapofanya kazi sasa!
Kweli elimu imeshuka Tanzania...hata vilaza wanapitia Pugu? Hapana si enzi zetu! Kwa Udsm? Hapo hakuna cha ajabu!
hongera na ww kama unaweza kuwa na cheti na ufanisi kazi kama mm!
Cheti na ufanisi? Hapa Tanzania? It's no wonder even beggars are riding...in posh cars too! omusimba, you have proved it beyond any reasonable doubt, wewe ni kilaza...through and through!
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Kwa hiyo wewe unataka rais atakupa pesa? Msubiri ENL.
 
mnapenda sana kuita watu vilaza lkn mie nimesoma vizuri sana! taaluma yangu haina shaka tangu mara sec, pugu , udsm na ninapofanya kazi sasa! hongera na ww kama unaweza kuwa na cheti na ufanisi kazi kama mm!

Kenge wewe tuliosoma mara sec na udsm hatuna akili mbung'o km hii. Nyie ndo mlikuwa mnadesa afu mnasema mmesoma! Huwezi kuwa na degree ukajipambanua kwa pumba km hizi! Rudisha kadi kimya km ulivyochukua kimya na si kuleta kiherehere hum JF kwa andiko lisilo na mashiko. Eti nimesoma mara sec ipi hiyo ? unawajua busima wewe mama?Udsm? ya wapi hiyo?
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Safi sana kwa uamuzi wako mzuri. Anayefuata kwa uamuzi Kama wako Ni dr. Bunduki
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

kaka rudisha kadi haraka watu wenye mawazo kama ya kwako hatuwataki kwenye chama kama unawaza maendeleo yako kwa slaa hutufai kabisa,Kwanza umeishia darasa la ngapi?................................sama hani kwa kuuliza swali kama swali
we as chadema we are talking about the system and individual who will change the system tutamchagua na sio vinginevyo
kama mawazo yako yako hivyo this is the wrong CHAMA for u
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kuichoma kadi ya cdm mwisho wa wiki hii kama ofisi yao hapa mtaani itakuwa imefungwa ifikapo Ijumaa trh 9! Tofauti na Mnyika viongozi wangine wote wa cdm naona wana lao jambo. M4c haitaleta nafuu ya maisha kwa mtz. CDM watumie ruzuku yao kuhamasisha vijana wafanye kazi sio maandamo yasiyo na tija, kazi ndio msingi wa maendeleo. Jiulize swali rahisi; Zitto au Slaa wakipata uraisi 2015 watawapa pesa za kula hawa vijana wanaotembea na magwanda kwa kujifanya wanaharakati? au ndo tusubirie watu kuvamia hazina kama ilivyo Libya wakidai kutimiziwa ahadi ?

Shida yako ni kudhania kila mtu ni mjinga kama wewe. Yaelekea wewe ulichukua kadi ukiwa na mtizamo huo, sasa baada ya kuambiwa ukweli umenyong'onyea na kujuta kupoteza muda wako.

Pole sana, hakuna awezaye kukupa fedha mfukoni labda ufanye ukahaba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom