Mmekamatwa pabaya wanafiki wakubwa CDM, msipoweza kuwatunza waasisi wenu mtamtunza mtanzania aliye kijijini?Ila nadhani hampaswi kumshangaa mleta mada maana kwao CCM wanaabudu katika magari ya kifahari na ndio maana Kilaza kama huyu hawezi kuamini kama John Mnyika ana tumia gari aina ya Vitz.
]
Mtu unaenda kwenye msiba badala ya kuungana na waombolezaji wewe unajikita kuangalia magari? hii haijakaa vizuri. Na una uhakika gani kama Mzee Makani alikuwa na gari moja? Au unajuaje 'ethics' za Mzee Makani? Si kila mtu anapenda anasa! RIP Mzee Makani.