CHADEMA ndivyo mnvowaenzi waasisi wenu?

Status
Not open for further replies.
Kesho ukirudi ukakuta Mercedes 2.3, VX na Verossa zimepaki ndani pia utahitimishaje? Kwamba ni za marehemu toka CDM?
Mama mimi siyo mbu mbu mbu, namfahamu sana Bob, na nimewahi hata kunywa naye kanywaji pale Bp Petrol Station, Bagamoyo Rd, zaidi y miaka 15 iliyopita, alikuwa mtu mstaarabu sana na gari lake nalifahamu fika.

Kama alishindwa kuhudumia usafiri wake mambo mengine je?
Dr Slaa kafika hapo kumjulia hali mara ya mwisho lini?
 
Tatizo lenu vijana wa CDM ni kama mtu aliyevuta bangi, hamtaki kuelewa ukweli hata mkiuona kwa macho.
Mzee Bob namfahamu kwa miaka mingi, mzee wa principles na alikuwa mtanashati, mtu asiyechagua mtu wa kuonge naye licha ya umahii wke serikalini na ukubwa kiumri.

Nilipoona hali ya hapo na gari lisilo na upepe, hicho ni kielelezo cha kukosa matunzo.

Sasa kama unafikiri huo ni upuuzi I might question you sense of values to our erderly and senior citizens.

Kama kumtunza Bob Mkani ni upuuzi basi hat kuwatunza Wtanzania ni upuuzi vile vile.
CDM imejaa wachumia tumbo sawa a vile vizee vilivo chakaa katika chama tawala.

Hiyo ruzuku mwipeleka wapi?

Dr. Kyaruzi mmemuenzi vipi kama muasisi wa TAA? Tuanzie hapo-donda fresh kabisa....
 
Mkuu masopyakyindi usemayo ni kweli? Mzee Makani alikuwa mwanasheria na vijana wake wamesoma vyema. Pia ukumbuke ni pensioner huyu hivyo siamini kama hana gari ya kutembelea. Huenda hiyi ya kijani yenye bendera ndiyo ya muasisi utajuaje?

Mkuu Kimbunga inatia uchungu kwa kweli kama huyu Mzee alikuwa ana hata usafiri, Chadema walishindwa kumnunulia hata Carina ya milioni 7...ngoja sifa kwenye msiba atakazopewa.
 
Last edited by a moderator:
Unamjua Bob? Uliwahi kusikia ana unayofikiria? Amekuwa Naibu Gavana wa BOT, Naibu Mwanasheria mkuu wa serikali na Mwenyekiti wa mashirika kibao ya umma, mbona hujawalalamikia? Acha upuuzi na Kip Tessa watu muda.
 
Dr. Kyaruzi mmemuenzi vipi kama muasisi wa TAA? Tuanzie hapo-donda fresh kabisa....

Dr Kyaruzi nimemsoma kwenye historia na naushangilia mchango wake katik historia y nchi hii.
Kama hakutendew mema na vizazi vilivyo fuata TaNU au CCM hilo ni kosa.

Lkini sioni mantiki ya kufananisha yaliyomtokea Dr Kyaruzi na Bob Makani, au tuseme yaliyopit ni ndwele , tisigange yajayo.

Logic yako mama ni ya kusikitisha, sijui kama una baba au mama, I appeal to you sense of right moral bearings.
Kama una support kutotunzwa Bob kwa vile Dr Katunzi hakutunzwa utalaumiwa kwa dhambi ile ile.
Zidi. Po it proves that ujambazi wa kiiasa katika CDZm ni ngoma droo na CCM.
 
(kawaida hampendi kuambiwa ukweli,cdm ni janga la kitaifa hakuna chama pale,watanzania wasipokuwa makini watakuja kulia na kusaga meno)

Mi nadhani wewe na taharifa yako ndo janga la taifa kuliko hata ccm
 
Mwalimu Jk Nyerere alikuwa na Land rover 1 tu!
Je ccm walishindwa kumnunulia gari?
Na je kwani ukienda msibani unaenda kuchunguza vya watu? Je kama gari inafanya kazi zingine!
 
Mbona Baba yake na Nape alikosa hata pa kuweka msiba ikabidi Makamba abebe msiba. huku lalamikia ccm kuwa imeshindwa kumtunza mzee nnauye, kwani Nyerere alitunzwa na ccm mbona alivostaff alikuwa anashinda shamba kulima, Ungejua uozo wa ccm ktk kuthamini mchango wa viongozi wake usingeleta post yako hapa, Bob Makani amekua Naibu Gavana na Mwanasheria mkuu wa serikari ya ccm mbona husemi serikali inatelekeza watumishi wake waadilifu badala yake inatuma ujumbe mzito kwenda marekani kumzika FISADI BALALI kwa fedha za umma! (Sina hakika kama Balali alikufa)

ccm tayari inanuka kwa mujibu wenu,lakini majukwaani mnajinadi kuwa nyinyi ni bora sasa kwa kulinganisha na kina mzee marehemu brigadia mnauye je na nyinyi mnanuka ? na siyo chama kizuri zaidi ya ccm ? hivyo ni bora kuendelea na ccm
 
Mwalimu Jk Nyerere alikuwa na Land rover 1 tu!
Je ccm walishindwa kumnunulia gari?
Na je kwani ukienda msibani unaenda kuchunguza vya watu? Je kama gari inafanya kazi zingine!

mmeshikwa pabaya tunataka mwananchi iandike hiyo story ingawa hatuna tatizo na uhuru lazima story iende kwa tanzania daima haitawezekana kwa kuwa ni mali ya familia ya dj mbowe
 
Nimefika msibani kwa Bob Makani, Mbezi Beach jioni hii.

Nimekuta sura nyingi za huzuni pamoja na ndugu na jamaa walio katika majonzi.
Natambua kuawa Mzee Bob Makani alikuwa mmoja wa waasisi wa CHADEMA pamoja na mzee Mtei.

Kilichonishangaza hapo ni kukuta gari la Mzee Bob Pajero Turbo 2600,likiwa limechakaa hapo mlangoni, na matairi hayana upepo.
Hapo nje nilikuta shangingi la rangi ya kijani likipepea benderea ya CDM.
Hicho nikakiona kuwa ni kielelezo cha umahiri wa CHADEMA kutunza waasisi wake, pamoja na makelele mengi wanayotoa majukwaani.

Charity begins at home, usipomtunza muasisi, je mtaweza kuwafikiria watanzania?
Sasa muasisi amefariki bila ya matunzo ya maana toka CDM, au kwa vile hakutoka Moshi/arusha?
imbecile
 
Unamjua Bob? Uliwahi kusikia ana unayofikiria? Amekuwa Naibu Gavana wa BOT, Naibu Mwanasheria mkuu wa serikali na Mwenyekiti wa mashirika kibao ya umma, mbona hujawalalamikia? Acha upuuzi na Kip Tessa watu muda.
Kijana usijidai kumfahamu Bob zaidi kuliko wengine.
Unasahau a very important attribute ya BOB, aokuwa mwaminifu sana katika kila alichokifanya.
Alifanya kazi katika Serikali ya Awamu ya Kwanza , wakati ambao kiongozi katika ngazi aliyofikia hakuwa na mawaa yoyote kikazi na kiimaadili.

Tatizo kubwa ni kuiamini hiyo the North Coalition katika CDM(Moshi na Arusha Coalition).

Viherehere wa CDM kutoka kwingine hamna haja ya kuambiwa yaliyojiri, nyie nendeni pale msibani mjionee wenyewe kama mtoa mada anavyosema.
 
Nimefika msibani kwa Bob Makani, Mbezi Beach jioni hii.

Nimekuta sura nyingi za huzuni pamoja na ndugu na jamaa walio katika majonzi.
Natambua kuawa Mzee Bob Makani alikuwa mmoja wa waasisi wa CHADEMA pamoja na mzee Mtei.

Kilichonishangaza hapo ni kukuta gari la Mzee Bob Pajero Turbo 2600,likiwa limechakaa hapo mlangoni, na matairi hayana upepo.
Hapo nje nilikuta shangingi la rangi ya kijani likipepea benderea ya CDM.
Hicho nikakiona kuwa ni kielelezo cha umahiri wa CHADEMA kutunza waasisi wake, pamoja na makelele mengi wanayotoa majukwaani.

Charity begins at home, usipomtunza muasisi, je mtaweza kuwafikiria watanzania?

Sasa muasisi amefariki bila ya matunzo ya maana toka CDM, au kwa vile hakutoka Moshi/arusha?

ndicho kilichokupeleka msibani? Kwani CDM ina sera ya kutunza waasisi wa chama? Vua gamba linalokufanya usifikiri sawasawa
 
Mungu wangu jf imeshuka thamani kama pesa ya zimbabwe, hivi mods thread kama post kama hii inasubiri nini kufutwa.

Hivi hawa Mods hawawezi kuweka chekecheo ili kama mtu anaweka thread ya kipunguani inachujwa hapo hapo!
 
Hivi hawa Mods hawawezi kuweka chekecheo ili kama mtu anaweka thread ya kipunguani inachujwa hapo hapo!
kama unanuka harufu mbaya ya kisiasa na kimaadili JF hiwezi kukusaidia.
Kutotunza waasisi wa chama chenu ni ukosefu wa maadili ya kimsingi, huwezi kutetea mengine katika jamii na ukaeleweka kama baba yako amekufa kwa njaa nawe watembelea mshangingi mitaani.
 
It is ****** like yourself that dont believe in facts and have no sense of reasoning.

The only fact that i see here is that you saw one car which was not in a good state. Other than that there is no evidence that CDM was not taking care of the late BM.

Unajuaje kama gari ama magari yake mengine yalikuwa kwenye shughuli za kuratibu msiba na maziko kwa ujumla? Did you even take your time to ask? Yaani umeona gari bovu basi mbio JF kwenda kupeleka umbea! Leta hard facts na siyo eti gari bovu to support your conclusion kuhusu CDM na waasisi wao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom