masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
Nimefika msibani kwa Bob Makani, Mbezi Beach jioni hii.
Nimekuta sura nyingi za huzuni pamoja na ndugu na jamaa walio katika majonzi.
Natambua kuawa Mzee Bob Makani alikuwa mmoja wa waasisi wa CHADEMA pamoja na mzee Mtei.
Kilichonishangaza hapo ni kukuta gari la Mzee Bob Pajero Turbo 2600,likiwa limechakaa hapo mlangoni, na matairi hayana upepo.
Hapo nje nilikuta shangingi la rangi ya kijani likipepea benderea ya CDM.
Hicho nikakiona kuwa ni kielelezo cha umahiri wa CHADEMA kutunza waasisi wake, pamoja na makelele mengi wanayotoa majukwaani.
Charity begins at home, usipomtunza muasisi, je mtaweza kuwafikiria watanzania?
Sasa muasisi amefariki bila ya matunzo ya maana toka CDM, au kwa vile hakutoka Moshi/arusha?