Mantuntunu
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 137
- 16
Nimekuwa nikiwaangalia Chadema kwa muda mrefu sasa, jinsi wanaitatua migogoro yao inanifurahisha. Wakati ule Zitto kalamba dume mpaka akasema eti na yeye anagombea Uenyekiti wa Chama, Chadema ikatumia busara wakalimaliza. Nimeangalia issue ya Shibuda, kaongea weee, lakini Chadema kimya hawakumjibu chochote mpaka akajiona mjinga kaamua kunyamaza kabisa. Sasa hili la Zitto kutaka kugombea Urais, najua ni demokrasia na Chama kinakua, I hope hili nalo mtali-handle kama kawaida yenu. Big up sana!