Chadema nawapenda, mnaweka Maslahi ya Chama na Wanachama wenu mbele!

Mantuntunu

Senior Member
Nov 1, 2010
137
16
Nimekuwa nikiwaangalia Chadema kwa muda mrefu sasa, jinsi wanaitatua migogoro yao inanifurahisha. Wakati ule Zitto kalamba dume mpaka akasema eti na yeye anagombea Uenyekiti wa Chama, Chadema ikatumia busara wakalimaliza. Nimeangalia issue ya Shibuda, kaongea weee, lakini Chadema kimya hawakumjibu chochote mpaka akajiona mjinga kaamua kunyamaza kabisa. Sasa hili la Zitto kutaka kugombea Urais, najua ni demokrasia na Chama kinakua, I hope hili nalo mtali-handle kama kawaida yenu. Big up sana!
 
kama wanachama wamrdhia atapewa nafac...lakn kiukwel bongo kuna siasa chafu. Pia 2meshndwa kutofautsha cha na serika..katba mpya ndio mkomboz vngnevyo ni ngumu kwa chadema kuingia mjendon
 
kama wanachama wamrdhia atapewa nafac...lakn kiukwel bongo kuna siasa chafu. Pia 2meshndwa kutofautsha cha na serika..katba mpya ndio mkomboz vngnevyo ni ngumu kwa chadema kuingia mjendon

Nimependa hilo "kama wanachama wataridhia" yeah kwa kweli Katiba mpya inahitajika na muhimu kuwa nayo kabla ya Uchaguzi wa 2015
 
Back
Top Bottom