only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,525
Hivi wewe hata kwa uwezo wako mdogo wa akili ambao nauona kwenye hii post yako uwezi ona kuwa hakuna vyama vya upinzania hapa Tanzania zaidi ya CHADEMA? Hivi kweli ukiwa na akili timamu utasema kuwa NCCR-Mageuzi ni wapinzani, Hivi utasema CUF ni wapinzani, Hivi utasema kuwa TLP ni wapinzani, Hivi utasema UDP-Upendo Daima Pamoja ni wapinzani? Sasa sikiliza list ipo hivi;
CCM-Magamba makuu
CCM B-CUF
CCM C-NCCR Manunuzi
CCM D-TBC1
CCM E-BAKWATA
CCM F-TLP
CCM G-UDP
Na ukweli ni kuwa hauitaji elimu ya darasa la saba kujua hili, akili ya kuzaliwa tu inatosha.
CCM-Magamba makuu
CCM B-CUF
CCM C-NCCR Manunuzi
CCM D-TBC1
CCM E-BAKWATA
CCM F-TLP
CCM G-UDP
Na ukweli ni kuwa hauitaji elimu ya darasa la saba kujua hili, akili ya kuzaliwa tu inatosha.