CHADEMA naomba ufafanuzi

Hivi wewe hata kwa uwezo wako mdogo wa akili ambao nauona kwenye hii post yako uwezi ona kuwa hakuna vyama vya upinzania hapa Tanzania zaidi ya CHADEMA? Hivi kweli ukiwa na akili timamu utasema kuwa NCCR-Mageuzi ni wapinzani, Hivi utasema CUF ni wapinzani, Hivi utasema kuwa TLP ni wapinzani, Hivi utasema UDP-Upendo Daima Pamoja ni wapinzani? Sasa sikiliza list ipo hivi;

CCM-Magamba makuu
CCM B-CUF
CCM C-NCCR Manunuzi
CCM D-TBC1
CCM E-BAKWATA
CCM F-TLP
CCM G-UDP

Na ukweli ni kuwa hauitaji elimu ya darasa la saba kujua hili, akili ya kuzaliwa tu inatosha.
 
Waungwana tangu chama hiki kipate nguvu ya uungwaji mkono na ruzuku kimeanzisha mapambano ambayo kimsingi sioni kama ni muhimu kwa chama cha siasa. Natumbua lengo la chama cha siasa ni kushika dola hivyo inaeleweka zaidi kwa mapambano ya CDM kuelekezwa CCM ila hainiingii akilini pale mapambano yanapoelekezwa kwa vyama vyenzake vya upinzani. Kwa mfano CDM ipo kwenye mapambano ya kila siku na CUF na NCCR hivi mapambano haya yanalenga kupata nini? Na ni kwa nini CUF na NCCR?
Huwezi kwenda kupambana na nyani halafu ukakutana na ngedere na ukawaacha!
 
Fanya utafiti utagundua cuf na nccr wako kwa maslahi ya chama flani.
Anza na lile swala la kambi rasmi bungeni na swala zima la ndoa ya mkeka iliyofungwa zenji.
 
Waungwana tangu chama hiki kipate nguvu ya uungwaji mkono na ruzuku kimeanzisha mapambano ambayo kimsingi sioni kama ni muhimu kwa chama cha siasa. Natumbua lengo la chama cha siasa ni kushika dola hivyo inaeleweka zaidi kwa mapambano ya CDM kuelekezwa CCM ila hainiingii akilini pale mapambano yanapoelekezwa kwa vyama vyenzake vya upinzani. Kwa mfano CDM ipo kwenye mapambano ya kila siku na CUF na NCCR hivi mapambano haya yanalenga kupata nini? Na ni kwa nini CUF na NCCR?
unaishi tanaznaia au ughaibuni? kinachosemwa ni kinachotokea hapa kwetu. ni uchambuzi uliojikita katika historia na matukio mbalimbali. Kwa mfano, CUF, inatambulika kama CCM B kw kuwa wana ndoa waliyoianzia kule zenj, wakahamia na bara. Hata bungeni CUF wanawakubali CCM si kwa sababu ya kazi ya maana wanayofanya lakini ni kwa kuwa wana ndoa hali kadhalika NCCR mageuzi, wanawakubali CCM kuliko CHADEMA, isiokuwa vijana kama wawili nao ni KAFULILA na MWENYE MALI
 
Hivi kila mtu CDM hata hiyo demokrasia kwenye jina la CDM itakuwa na maana? Naumia kama mtanzania kuona taasisi inayoendeshwa kwa kodi za wananchi inafanya kazi kinyume na malengo yake.
Wewe unataka CHADEMA wakae kimya ili ikifika 2015 mje mseme " Hivi ni vyama vya msimu". Shame on you and all magamba bags & packages!
 
Fanya utafiti utagundua cuf na nccr wako kwa maslahi ya chama flani.
Anza na lile swala la kambi rasmi bungeni na swala zima la ndoa ya mkeka iliyofungwa zenji.

Daud!
Haya mawazo yanaturudisha nyuma kule tulipotoka. Kama CDM inataka vyama vyote viwe na itikadi kama yao si tutakuwa tunarudi kabla ya 1992? CDM kwa nini isijijengee utamaduni wa kuvumilia tofauti zetu za kiitikadi?
 
unaishi tanaznaia au ughaibuni? kinachosemwa ni kinachotokea hapa kwetu. ni uchambuzi uliojikita katika historia na matukio mbalimbali. Kwa mfano, CUF, inatambulika kama CCM B kw kuwa wana ndoa waliyoianzia kule zenj, wakahamia na bara. Hata bungeni CUF wanawakubali CCM si kwa sababu ya kazi ya maana wanayofanya lakini ni kwa kuwa wana ndoa hali kadhalika NCCR mageuzi, wanawakubali CCM kuliko CHADEMA, isiokuwa vijana kama wawili nao ni KAFULILA na MWENYE MALI

Ntamaholo nadhani upo sahihi ila kwenye mstari wenye makosa. CUF wanawakubali CCM kwa kuwa CDM imewapa option hyo. Kama CDM isingejenga uadui na wapinzani wenzake sidhani kama CUF wangefanya hivyo, tuliona hayo kabla 2010.
 
Hivi kila mtu CDM hata hiyo demokrasia kwenye jina la CDM itakuwa na maana? Naumia kama mtanzania kuona taasisi inayoendeshwa kwa kodi za wananchi inafanya kazi kinyume na malengo yake.

hapa ndo nilitaka uje,Ni maumivu gani yanazi kuliko yale ya Wizi wanaoufanya serikali ya CCM?kama unaumizwa na kodi za wananchi,viwanda mlivyojiuzia kwa bei ya kutupwa je?je naomba uniambie kati ya vyama vyote hapa nchini ni kipi viongozi wake wanaongoza kwa ubadhilifu wa mali/kodi ya umma?
 
Majibu umeyapata sasa amua kusuka ama kunyoa hakuna hata moja lililolegea kawaambie hao shemeji wa ccm
 
Hivi wewe hata kwa uwezo wako mdogo wa akili ambao nauona kwenye hii post yako uwezi ona kuwa hakuna vyama vya upinzania hapa Tanzania zaidi ya CHADEMA? Hivi kweli ukiwa na akili timamu utasema kuwa NCCR-Mageuzi ni wapinzani, Hivi utasema CUF ni wapinzani, Hivi utasema kuwa TLP ni wapinzani, Hivi utasema UDP-Upendo Daima Pamoja ni wapinzani? Sasa sikiliza list ipo hivi;

CCM-Magamba makuu
CCM B-CUF
CCM C-NCCR Manunuzi
CCM D-TBC1
CCM E-BAKWATA
CCM F-TLP
CCM G-UDP

Na ukweli ni kuwa hauitaji elimu ya darasa la saba kujua hili, akili ya kuzaliwa tu inatosha.
CCM-Magamba makuu
CCM B-CUF
CCM C-NCCR Manunuzi
CCM D-TBC1
CCM E-BAKWATA
CCM F-TLP
CCM G-UDP
CCM H - POLISI
CCM I - TIS
CCM J - MAHAKAMA
 
ntamaholo nadhani upo sahihi ila kwenye mstari wenye makosa. Cuf wanawakubali ccm kwa kuwa cdm imewapa option hyo. Kama cdm isingejenga uadui na wapinzani wenzake sidhani kama cuf wangefanya hivyo, tuliona hayo kabla 2010.
unadhani cdm wangefanya nini wakati wao ndo walikuwa wengi? Wabunge wawili, laikini unataka uwe msemaji, nani atakubali? Anakuogopa?
 
hapa ndo nilitaka uje,Ni maumivu gani yanazi kuliko yale ya Wizi wanaoufanya serikali ya CCM?kama unaumizwa na kodi za wananchi,viwanda mlivyojiuzia kwa bei ya kutupwa je?je naomba uniambie kati ya vyama vyote hapa nchini ni kipi viongozi wake wanaongoza kwa ubadhilifu wa mali/kodi ya umma?

Nitakujibu hayo kwenye fursa nyingine ila nadhani unataka kututoa kwenye mstari.
 
unadhani cdm wangefanya nini wakati wao ndo walikuwa wengi? Wabunge wawili, laikini unataka uwe msemaji, nani atakubali? Anakuogopa?

Bunge la 2005~2010 halikuwa na ubaguzi huu, hata UDP waliokuwa na mbunge mmoja walishirikishwa.
 
waungwana tangu chama hiki kipate nguvu ya uungwaji mkono na ruzuku kimeanzisha mapambano ambayo kimsingi sioni kama ni muhimu kwa chama cha siasa. Natumbua lengo la chama cha siasa ni kushika dola hivyo inaeleweka zaidi kwa mapambano ya cdm kuelekezwa ccm ila hainiingii akilini pale mapambano yanapoelekezwa kwa vyama vyenzake vya upinzani. Kwa mfano cdm ipo kwenye mapambano ya kila siku na cuf na nccr hivi mapambano haya yanalenga kupata nini? Na ni kwa nini cuf na nccr?

nafikiri kuna jambo moja dogo la msingi ambalo ungejiuliza kabla ya kuandika status hii, moja kwani malengo ya nccr na cuf ni nini? Mbili endapo kama nccr ndo kingekuwa chama tawala nfikiri mapambano yangekuwa ni kwa nccr ambacho ni chama tawala ni kitu ambacho hakiwezekani upambane na chama tawala lakini uache kupambana na vyama vingine vinavopigania nafasi kama yako ya kukiondoa chama tawala,binafsi mi sioni kama ni kosa kupambana kisiasa na vyama vingine vyenye malengo kama yako
 
Waungwana tangu chama hiki kipate nguvu ya uungwaji mkono na ruzuku kimeanzisha mapambano ambayo kimsingi sioni kama ni muhimu kwa chama cha siasa. Natumbua lengo la chama cha siasa ni kushika dola hivyo inaeleweka zaidi kwa mapambano ya CDM kuelekezwa CCM ila hainiingii akilini pale mapambano yanapoelekezwa kwa vyama vyenzake vya upinzani. Kwa mfano CDM ipo kwenye mapambano ya kila siku na CUF na NCCR hivi mapambano haya yanalenga kupata nini? Na ni kwa nini CUF na NCCR?

Ndugu napenda kukukumbusha kwamba kwa sasa njia inayotumiwa na ccm ni kutumia vyama vingine vya siasa ili kuvunja nguvu ya chadema, ili limejidhihirisha kupitia mambo mengi ambapo pia wananchi wameweza kutambuwa chama makini na ambacho kinaweza kutetea maslahi yake ni chadema.

hivyo basi ni muhimu kwa upande wa chadema kuanza kujiami na vyama hivi vya siasa ambavyo ni mamluki na havina dhamira ya dhati, kwani chochote chadema itakachofanya kushirikiana na vyama hivi vingine kuna uwezekano mkubwa ikapunguza credibility yake kwa wananchi na kujikuta kinapoteza uaminifu wake kwa wananchi kitu ambacho ndio ccm kinataka.
 
Hivi kila mtu CDM hata hiyo demokrasia kwenye jina la CDM itakuwa na maana? Naumia kama mtanzania kuona taasisi inayoendeshwa kwa kodi za wananchi inafanya kazi kinyume na malengo yake.
Kwani malengo yake ni yapi ?Kwani vyama vya upinzani vina sera zinazofanana? kama hazifanani kwanini unashangaa vinapopingana?
 
nafikiri kuna jambo moja dogo la msingi ambalo ungejiuliza kabla ya kuandika status hii, moja kwani malengo ya nccr na cuf ni nini? Mbili endapo kama nccr ndo kingekuwa chama tawala nfikiri mapambano yangekuwa ni kwa nccr ambacho ni chama tawala ni kitu ambacho hakiwezekani upambane na chama tawala lakini uache kupambana na vyama vingine vinavopigania nafasi kama yako ya kukiondoa chama tawala,binafsi mi sioni kama ni kosa kupambana kisiasa na vyama vingine vyenye malengo kama yako

Alex,
Mapambano haya yanainufaisha zaidi CCM kuliko CDM, nadhani unakumbuka mara kadhaa bungeni wapinzani wa NCCR na CUF wameiunga mkono CCM ili tu kuikomoa CDM, hii nadhani si nzuri sio kwa CDM tu bali hata kwa demokrasia.
 
Waungwana tangu chama hiki kipate nguvu ya uungwaji mkono na ruzuku kimeanzisha mapambano ambayo kimsingi sioni kama ni muhimu kwa chama cha siasa. Natumbua lengo la chama cha siasa ni kushika dola hivyo inaeleweka zaidi kwa mapambano ya CDM kuelekezwa CCM ila hainiingii akilini pale mapambano yanapoelekezwa kwa vyama vyenzake vya upinzani. Kwa mfano CDM ipo kwenye mapambano ya kila siku na CUF na NCCR hivi mapambano haya yanalenga kupata nini? Na ni kwa nini CUF na NCCR?

Chadema ni wabinafsi sana ndio maana wanataka kujitenga.

Wanajiona wao ndio wenye mamlaka na maamuzi katika taifa letu kwa akili zao wanaona kuwa mzalendo ni lazima uwe Chadema.

Pro-Chadema JF wengi wao hawana ajira sasa wanadhani Chadema wakichukuwa nchi watakuwa matajiri.
 
Back
Top Bottom