John10
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 357
- 11
Nimeshangaa kuona chama chenye fikra za kuwa na mwelekeo mpya, kuwa na mawazo ya kizamani. Chadema kuwapeleka watu kwa "Babu" kutibiwa!!, inasikitisha!
Taifa linahitaji fikra za kuwatoa WTZ ktk UJINGA, na siyo kuwapeleka ktk UJINGA. Chadema kushangilia na kudhamini kuwapeleka WTZ kutibiwa kwa njia ya "miujiza" kwa "babu" ni kuonesha kwamba Chadema hakitoweza kuliondoa Taifa ktk matatizo tuliyokuwa nayo.
Nawashauri WTZ wenye mapendo na TZ, kuacha kuamini Chadema ndiyo solution ya matatizo tuliyokuwa nayo. Moja ya matatizo makubwa tuliyokuwa TZ, na Afrika kwa ujumla ni fikra za Ushirikina. Karne ya 21 ni sayansi na technologia, kwa mantiki hii, Chadema hakina mwelekeo mzuri kwa WTZ.