CHADEMA na TEKNOLOJIA

Waberoya,

CLinton family walimtukana sana Obama. Haikupita miezi kadhaa, walewale waliokuwa wakisema jamaa HAFAI, wakawa jukwaani wakisema jamaa ni MWOKOZI WA USA. Na watu hata hawakusema flip flops. Wakawa naye kwenye majukwaa yote na mwisho wako pamoja serikalini. Hii haikusemwa kuwa imevunja chama.
Iwe isiwe, Zitto kaweka NJIA. next time sijui kama watakuwa na uwezo wa kuzuia watu maana umma utakuwa mapemaaa unadai demokrasia ya kweli iwepo. Siwezi kuwa nachangia 300 kwa mwezi halafu nisikie Chadema ina wenyewe. Kama ina wenyewe basi si wachangie hizo 300 zetu? Kuanzia ilipojileta sokoni kuja kuomba nguvu kwa wananchi, imekosa mwenyewe. Kama wanataka iwe ya wachaga tu au wa kaskazini tu, ipelekeni huko Kibohehe na msiilete Dar kwa Wazaramo.
Nina uhakika na moja. Hiki chama very soon kitakuwa cha Watanzania. Watabana weee, mwisho wake wataachia. Na hapo Chadema itakokota watu kama kokoro. Mzee Mtei utakumbukwa tu kwa kuanzisha Chadema na heshima yako milele itakuwa kubwa. Ila ukianza kuharibu, basi historia itajua wapi ikuweke.
Naipenda film aliyocheza Antonio Banderas iitwayo THE 13th WARRIOR. Humo ndani kuna maneno "mtu akiishi duniani, na watu baadaye waje waichore (ichonge/andika) historia yake, basi huyo mtu ni TAJIRI". Mzee Mtei, USITAKE KUIHARIBU hiyo historia yako.

Naungana na wewe katika hili na natoa wito kwa wazalendo wote kuto ku shy away kujiunga na upinzani kwani tuki shy away tusiowapenda kutuamulia mambo ndo wanakuwa waamuzi hata kama hatupendi. Dawa ni kupambana nao nakuwashinda kwa nguvu ya hoja. Kama democracy iliminywa basi ni kwasababu namba ya wazalendo ilikua kidogo na nguvu yao ilimezwa na wasiopenda democracy (Ila kwa hili sina uhakika for am not an eye shahidi) na kwasababu hiyo hii ni challenge kwetu na ni lesson learnt ambayo ni muhimu katika kusonga mbele. Hakuna kulala mwendo mdundo mpaka kieleweke. No retreat no surrender.........
 
kula tano!

Naenda kunywa pespi bariidi, huku nikipiga mruzi. Lakini nikiwa na matumaini CHADEMA wafanye move fulani kufuta hii iliyotokea! tunataka tukiwapa nchi, hata tukiondoka duniani, then tunaamini wajukuu zetu wako salama, na sio kuleta ubaba mkwe , this was totally absurd!

Haiingii akilini, CHADEMA na ujanja wooote wa kusaka nyaraka za siri ndani ya sserikali ishindwe kuwapata waliopewa fedha na CCM hata kutaja ni nani hyu aliyetoa hela, kinyume na hicho ni uongo na Mtei hapa alikosea sana kusema hayo, !!!

Nachelewa pepsi!!

Hapo mpendwa sijakupata sawa sawa. Inamaana CHADEMA ikichukua nchi basi ndo itawale milele? Mimi nadhani lengo nikuondoa supremacy na mambo ya chama kimoja kushika hatamu regardless of chama kitakachokuwa madarakani. Kama mawazo ni kusaidia CHADEMA kuingia madarakani alafu na yenyewe iwe kama CCM no thank you, hapo mimi sipo kabisa na kwa sababu hiyo tungeweza tu kuingia ndani ya CCM na kuibadili BUT naturally a humanbeing is a selfish being pale kunapokosekana challenge lazima atajisahau na kuanza ku develop monopoly ya kila kitu.

Kwangu mimi nikiwa opposition hata kama chama changu hakitachukua nchi but kikiweza kuchallenge na kuleta balance kwenye power its more than enough for lengo ni maisha bora kwa wote na siyo quest for power; hiyo ni desire of many Tanzanians I guess.
 
'''''''''''''''''''

Kwangu mimi nikiwa opposition hata kama chama changu hakitachukua nchi but kikiweza kuchallenge na kuleta balance kwenye power its more than enough for lengo ni maisha bora kwa wote na siyo quest for power; hiyo ni desire of many Tanzanians I guess.

Feli,
Kutawala kuna heshima yake.
Kwa nini ukubali sera zako unazoziamini zizidi kuwa chini ya Zulia?
 
Mkuu Waberoya, "watu wameona na wamewa-devalue" ... for how long?! In every political system there is ups and downs, hiccup waliyopata Chadema in a strictest sense imewafaa sana na imetokea wakati mzuri, approximately 14 months before general election. They've ample time to resolve any internal disgruntlements, lakini kwa vile "miafrika ndivyo tulivyo," hatuchelewi kuona this short-term turmoil be carried forward into future election affairs. Na sisi the so called great thinkers are recklessly trumpeting hard to see these egoistic interests beneath the differences we read about are carried forth.

Hii issue ya membership online i don't think has anything to do with the recent affairs ndani ya chama. CCM walichezeana faulo 1995 na 2005, hata hivi karibuni tu kwenye CC yao kuhusiana na mambo ya Mh. Sitta. Lakini chama as chama has to prevail. Hatuwezi kuwakatisha tamaa Watanzania wenye nia ya kujiunga na Chadema kana kwamba minong'ono iliyotokea spells their death and all.

If they've thought hard on how to implement and maintain the membership system, then let it be. Good on them, at least they are doing something that goes with technological trends.

At this point, kwa karne ya leo, kwa Chama kama Chadema kilitakiwa kijioneshe wazi kabisa kinajiendesha kwa kufuata misingi iliyo bora kabisa na wala isiyokaribiana na Chama kingine chochote. Kitendo cha kuvuruga na kuviza democratic processes ndani ya chama hicho ni ishara tosha kuwa uhalali wa Chadema kuwa chama mbadala uko katika mashaka makubwa mno. Katika kipindi cha miaka 17 iliyopita tangu kuruhusiwa siasa ya vyama vingi hatutegemei kupata chama mbadala ambacho kimeonesha udhaifu mkubwa katika kutekeleza demokrasia ndani ya mifumo yake.
Ni vema tukasoma alama za nyakati kuwa Chadema imepoteza some core values ambazo zilikuwa zinakifanya kuonekana kama chama kinachoelekea kuwa chama mbadala.
Endapo kama unadhani kilichotokea ni ajali za kisiasa basi ni vema pia ukaelewa kuwa sasa ni wakati muafaka wa Chadema kuchukua nafasi yake kama vyama vingine kama vile TLP, TADEA nk.
Kitendo cha kufuta matokeo ya uchaguzi na kuahirisha kwa miezi sita inatosha kabisa kuonesha kuwa ni strategies za kutaka kuwadhibiti wale wote ambao walikuwa wanatakachanges za uongozi ndani ya Chadema.
 
Back
Top Bottom