CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

Umesema vema Le Mutuz amajiumbua huenda kweli wamehack a.c take kwani a navy ovum in vanisha havifanani kabisa.

Acha kukurupuka. Hebu tulia, soma ulichokiandika, kisha urudie kuandika kwa ufasaha.
Unambeza Le Mutuz wakati wewe huwezi hata kuandika kiswahili fasaha.
 
very nonsensical comparison! Suala la Tulia ni suala la kisheria na kikatiba. Suala la Lowasa na Duni linawezaje kulinganishwa na hilo?

Hebu tueleze vifungu vya sheria na katiba.
Tumemsikia Dr. Tulia akimjibu Mh. Matiko kwa vifungu.
Hebu tupatie vya kwako tuone kakosea wapi.
Usikariri tu kama kasuku.
 
- Kwa mfano hasa lusibde ni nini hasa mita 200 za kibanda cha kura or what?? hahahahahahahaha

le Mutuz

Mutuz ccm wametosa familia yako. Ila wewe ungekuwa na vyeti halali may be wangekukumbuka.maana vyuo unavyosema umesoma havipatikani kwenye Google
 
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

Jiulize lissu kashinda kesi ngapi na tulia kashinda kesi ngapi wakiwa kwenye field yao, pili angalia matokeo yao kutoka o_level hadi masters ambako lissu ameishia uangalie nani ana mburuza mwenzake tatu muulize raisi mstaafu wa awamu ya nne kuhusu lissu utapata majibu
 
NAFASI ALIYOKUWA NAYO HAKUPASWA KUWA MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE, WALE ULIOWATAJA Walikuwa Wanasiasa Kwa Nafasi Zao,wakati Mwingine Uwage Unakaaga Kimya.
 
Wewe utaendelea kuishi kwa upambe hadi lini? cha msingi siyo Chadema bali wananchi wameupata ukweli na huyo Dr Tuli ameaibika kwa kushindwa kujibu swali moja tu ambalo limejirudia mara mbili, Silinde kammaliza kabisa Tuli wako, ni aibu kubwa kwa ccm.

Na ndio ujijuwe wewe ccm ni kidampa tu zama za familia ya Malecela zimekwisha ndio maana pamoja na kujipendekeza kwako kote hata Udc waliohongwa hadi machangudoa wewe umetoswa, na wenzako kina Tuli wanazidi kupewa ulaji wanatolewa huku wanawekwa huku, wewe utaishia kuwa mkurugenzi wa blog tu. Loser.

Kanauma haka ka kauli, teheee Teheee, le kubwaz jingaz yu know, kuna mdau kasema ana umri mkubwa kuliko mama, mwingine eti anashinda kwenye blog kutafuta warembo Wa kupiga nao picha wakati mkewe marekani marijali wanampigia.
 
Hao unaaowasema hawakuwa watumiahi wa uma
Kulala sebuleni kunakuasiri akili au ndio bado unaweweseka na mama kupigwa chini ubunge poda haitauzika tena
 
Mleta mada najua unajua cheo cha Dr tulia kilikuwa na muhimu gani katika taifa na katiba inasemaje kuwa mtumishi Wa umma autakiwi kujiushisha na siasa sasa huyu Dr aliyejiuzuru unaibu mwanasheria mkuu siku moja na kuchaguliwa kiti maalum na kugombea unaibu spika alijiusisha na ccm lini na kama alikuwa mwanachama kwa nini alikuwa anavunja katiba na yeye ni msomi Wa sheria aliyebobea

Msituone mazuzu, keshapangwa kuwa hivyo, na lazima atoke na apewe hiyo dhamana, hivi hivi asingepewa au kugombea, kuna mtu kwenye mabano yupo hapo ambaye anakarabati kila kitu yeye ni kuongozwa njia tu
 
Kumfananisha Lissu na Dr Tulia ni kutukana taaluma nzima ya sheria. Lissu ni kilaza tu ambae hata Masters hana...ana GPA ya 2.9....Dr Tulia amehitimu chuo na GPA ya 4.6. Hii ndio first class kama umewahi kusikia. Wakati Dr Tulia ni mbobezi wa mambo ya sheria kwa kuwa ana PhD. Huyo Lissu ana kadegree kamoja tu....alikuwa hapati dili za sheria ndio maana kakimbilia siasa huko UKAWA. Wakati Dr Tulia amepiga dili nyingi na kesi rukuki zikiwemo za serikali na ameshinda kesi nyingi sana. Ya mwisho ni ile aliyomgaragaza Kibatala kuhusu mita 200.

Mbona bado tunaendelea kuwalipa escrow, kama ana wadhifa huo kwanini asiweke pingamizi, izuiwe kabisa, sheria zetu ni za kuwabana walalahoi na sio zinazoteketeza raslimali na.mali za watz, kama angekuwa na uchungu na nchi angesimamia hao twiga, meni ya tembo, mikataba mibovu, ningesema kweli jembe lakini mita 20o ndio unampa sifa, kuna siri hapo utakapoijua ndo akili itafunguka, walikuwa wapi siku zote wakati raslimali zinaliwa na wajanja na hakuna sheria inayochukuliwa, mita 200 ndo umeona kashinda, inachekesha sana, funguuuuka
 
Watanzania sijui nani katuloga basi baada ya kumuona mtu kakariri mnamuona wa maana..kakariri hakuna haja kama kuna vyombo kama computer. ..huwez fananisha uwezo wa yule mama wa cuf na Dr tulia
Nyie ndo wale mtu akiongea kingereza mnamuona eti kasomaaaa. ..kukariri vifungu adi watoto wadogo wanafanya

Unakariri vifungu mpaka unasahau maraisi wa afrika
 
Kwani hakukuwa na mwanamke yeyote wa kushika nafasi ya msaidizi wa spika mpaka awe Tulia ambaye ni miezi miwili tu alikuwa ameteuliwa kwenye nafasi Kubwa pia ya AAG?Na hii nafasi ya AAG inahitaji mwanasheria mbobezi Kama yeye.Mbona Kama wanawake wana Sheria mahili hata kuzidi Tulia ni wengi tu Kama ilikuwa lazima msaidizi awe mwanamke Mwana Sheria mbobezi?Na tangu lini uananaheria ukawa Sifa Kubwa ya uspika hapa TZ wakati mwaka Jana tu Mama makinda alikuwa muhasibu na Job msaidizi hakuwaha Mwana Sheria?Hapa TZ mtu akitaka kubebwa inatengenezwa Sifa aliyo nayo mtu Kisha wanadai ndo kigezo.Awamu iliyopita Sita alikuwa mwanasheria lakini hakikuwa kigezo akachaguliwa Makinda na Sifa wakati huo ilikuwa Kuwa mwanamke.Only in TZ.

Hili swali Muulize Mbowe,kwanini alimuita Lowasa wakati wapo wenye sifa zaidi yake kuwa maraisi ndani ya chama na wanakijua nje ndani,
Hatimae mmeunda Chadema halisi na Chadema Academia.Nyie aisee kweli kiboko,yaani kabla hujaandika kitathmini kwanza nyie.
 
Le Mutuz, jamaa wanaisoma namba kisawasawa ati!
Sarakasi wanayochezewa na mzee wa Push Up. hadi wanaona nyota!
Mbaya Zaidi nyani haoni kundule...analicheka la mweziwe!!

Lowasa hakuwa aag, fikiri kabla ya kuandika, huyu dr. alikuwa serikalini tena mwenye dhamana kubwa tu na haikupaswa kuwa mwanachama wa chama.chochote, ni swali dogo aliloulizwa lakini jibu lake ni pana sana, bora alivyonyamaza kwani alishasoma alama za nyakati
 
Back
Top Bottom