CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

hili Suala na la msingi kabisa kujua ...huyu alikua mwanasheria msaidizi na mwana sheria mkuu kuwa mwana siasa haindani na hali halisi ya ya mfumo wa vyama vingi. mwanasheria mkuu anawakilisha na kuishauri serikali kwenye mambo ya kisheria. Hapa lengo sio kuwa upande wa chama tawala hio itakua ni abuse ya nafasi hio.
inapotokea kesi inayo husu vyama na serikali mwana sheria mkuu hatakiwi kujipendekeza kwa chama tawala.

Ila haya yanatokea hapa kwetu kwani watu kama wanaojifanya na elimu na degree mia nao hawaoni ukweli kwani wao ni maslahi ya familia zao na wapenzi wao.
lowasa kuingia chadema dakika moja au mbili yeye ni raia wa kawaida hana athari na sheria inaruhusu sio jambo la mfano...
 
Kwa CCM hiki siyo kigeni, na kwa mujibu wa Katiba, wafanyakazi wa ngazi za juu za maamuzi HAWAPASWI kuwa wanachama wa Chama chochote cha siasa. Bado tuna kumbukumbu ya Mh. Jaji, Bigedia Jenerali Padri Augustino Ramadhani, Maafande Tibaigana, Mahita na Adadi Rajab...... Orodha ni ndefu. Kwa Dkt. Tuli, ni mwendelezo wa "mchezo" huu. Hapa inabidi TUHOJI mwenendo huu. Kwa maoni yangu, Walichouliza CHADEMA ni maswali ya wengi tulio nje ya Bunge. Inabidi Katiba iwe wazi pale jambo hili linapokiukwa. Tujadili bila kuweka mbele itikadi zetu za Siasa....
 
Sometimes kukaa kimya ni bora zaidi kuliko kuandika usichokielewa kwa kupofushwa na ushabiki wa vyama.
 
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.
Nina amini ataburuzwa tu, subiri kidogo , labda job aongeze masaa ya tuition
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

Kuna kitu kimoja unapaswa kujifunza; two wrongs do not make a right. Kosa halihalalishwi kwa kosa. Makosa ya Chadema hayahalalishi makosa ya CCM au chama kingine chochote kile. Msingi wa hoja zako nyingi ni dhana hii potofu - kwamba mbona wewe ulifanya hivi au vile. Na kwa kuwa Lowassa na Duni walipokelewa na muda mfupi baadaye kuteuliwa kugombea urais kupitia CDM hakumzuii Mbunge kwa tiketi ya CDM kuhoji uhalali wa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali kugombea Uspika wa Bunge. Wala hakulalishi Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali kugombea Uspika wa Bunge. Kama kuna makosa ya kiufundi aliyofanya Dr. Tulia, hayawezi kuhalalishwa kwa makosa yaliyofanywa na wale wanaohoji makosa aliyoyafanya. Utetezi wa makosa aliyofanya Dr. Tulia lazima yatokane na vifungu vya sheria na/au sababu nyingine, na kamwe si makosa yaliyowahi kufanywa na wanaompinga.
 
We jamaa jinga sana.hapa nashindwa kukusaidia ili uweze kutofautisha issue ya lowassa,duni na huyo Dr wa mbeleko.

Ngoja nikuache na ujinga wako

‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation
 
‪- Lowassa‬ aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,

- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,

KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

Le Mutuz Nation

very nonsensical comparison! Suala la Tulia ni suala la kisheria na kikatiba. Suala la Lowasa na Duni linawezaje kulinganishwa na hilo?
 
Majibu ya DR. Tulia ni haya hapa!

KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA YA MWAKA 1977

67-(2) Mtu hatakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa
kuwa Mbunge-

(g) ikiwa mtu huyo ameshika madaraka ya afisa
mwandamizi katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya
Muungano, isipokuwa madaraka ambayo Rais aweza
au anatakiwa kukabidhi kwa Mbunge kwa mujibu wa
Katiba hii au sheria iliyotungwa na Bunge;

72. Iwapo mtu yeyote mwenye madaraka katika utumishi wa
Serikali, madaraka ya aina iliyotajwa katika ibara ya 67(2)(g)
ataamua:-
(a) kuwa mgombea uchaguzi wa Rais au wa nafasi
nyingine yoyote chini ya Katiba hii;
(b) kugombea uongozi wa ngazi yoyote katika chama cha
siasa kinyume na masharti ya ajira,
mtu huyo atahesabiwa kuwa utumishi wake umekoma tangu
tarehe yake ya kuwa mgombea uchaguzi au ya kugombea
uongozi katika chama cha siasa.

angalau wewe umeandika la maana!...na Dr akasema,ili uwe mgombea ni hadi upitishwe..kwa mantiki hiyo,yeye kuchukua fomu tu pekee hakumfanyi kuwa mgombea.
 
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.

Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.

Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.

Hatuhitsji msomi bali tunahitaji atakayesimamia uzalenfo wa nchi yetu
 
Sioni ufafanuzi: nilihitaji kujua Kipi ni kosa kisheria . 1 . Kujishughurisha na mambo ya siasa ukiwa mtumishi wa umma au .2. Kuwa mwanachama wa chama cha siasa ukiwa mtumishi wa ummaau 3. Au Vyote ni kosa / halali?
Je watumishi wote wa umma si halali kuwa wanachama wa chama fulani?
 
Kumbe wanavyosema baadhi ya marafiki zako kuwa wewe ni kubwa jinga ni kweli, you are approaching 60's ila kichwani hewa. Hivi kweli ulisoma shule ili upate uelewa au ulisoma tu ili upate viza ya kuishi nje ya nchi? Dude, you are a shame na ndiyo maana CCM haikupi hata kiti cha mbea wa kueteuliwa bungeni. Sasa kwa akili yako, ulifikiri Chadema walihoji vile kwa nini? Man, go back to school au just stick kwa kuuza sura za wanawake bloguni kwako kwa posho ya kukumbatiwa.
 
unapotosha umma! Dr Tulia alichukua gomu ya spika wa bunge akiwa kaimu mwanasheria mkuu wa serikali., na inatakiwa kwa nafasi aliyokuwa nayo asifungamane na itikadi ya chama chochote. Hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya wapinzani. Ila ya lowassa na duni mbona hapo hamna uhusiano na hilo la dr tulia.
uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo na hii inasababishwa na muda mwingi kushinda kwenye mitandao ya kijamii na kuacha kusoma katiba ya nchi pamoja na vitabu vingi tofauti yofauti.
Nashindwa kuelewa hivi ukiwa mshabiki wa chama fulani kila wanachofanya wapinzani wako ni sumu?
Umesema vema Le Mutuz amajiumbua huenda kweli wamehack a.c yake kwani anavyovilinganisha havifanani kabisa.
 
Back
Top Bottom