Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,513
- 31,182
Ben Rabiu Saanane alimkosoa magu na phd yake fake kuna mtu akamuonya na ben akatoa taarifa na akaileta hapa pia kwamba anatishiwa uhai. Tundu lissu kushambuliwa kwa risasi magu alisema wazi wakati wa ripoti ya makinikia muda mfupi baadae lissu akashambuliwa . Jiongeze utamjua mtekaji na muuwaji ninani.Ukiwa mvuvi cku ukipotea watu wengi wasiopenda kufikiria sana wataamini inawezekana ulifia majini huko, vivo hvyo ukiwa mchimba madini watu wa jinsi hyo wataamini umefukiwa na kifusi same ukiwa mwanajeshi ukipotea wataamini umefia vitani.Same ukiwa mkosoa serikali cku ukipotea watu wa jinsi hyo pia wataamini serikali imekuua.Sijawahi kuckia hata ushahidi wa kimazingira unaohusisha serikali na kifo cha Ben zaidi ya watu kuburuzwa na hisia (ingawa kila kitu kinawezekana).Mi nadhani wana CHADEMA kama hamna ushahidi hata wa kimazingira tu,mtupumzishe na kelele za Ben kauwawa na serikali.