Chadema Mwanza inahesabu siku za uhai wake trust me....

CCM mnapoteza muda kudhani strength ya CHADEMA ni viongozi na wafadhili, CHADEMA ni ya wanachama na nguzo yake kuu ni dhamira ya dhati ya ukombozi wa mtanzania huru kutoka katika utegemezi wa kifikra, kiutamaduni na kiuchumi. Mtu mmoja mmoja kamwe hawezi kubadili lengo hili kuu. Aliondoka Katibu mkuu aliyekuwa very strong by then Dr. Amani Waridi Kaburu, akaziba nafasi yake Dr. Wilbrod Slaa, nadhani wote ni mashahidi jinsi chama kinavyozidi kuingia mioyoni mwa watu. Zitto Z. Kabwe alitaka kuuingia mtego wa CCM wa umaarufu, akashituka kabla mambo hayajaharibika. Shibuda kauningia mtego huo, kabaki tia maji tia maji. Kifupi CHADEMA ni chama cha wanachama, CCM mwaweza kumnunua hata Dr. Slaa na umaarufu wake, kesho mimi, wewe na yeye tutakuwa viongozi jahazi litasonga mbele kwa kasi kubwa, maana mtaji wetu ni uadilifu wetu.
 
MFADHILI MKUU WA CHADEMA SENGEREMA AHAMIA CCM
MLEZI na Mfadhili Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Sengerema, mkoani Mwanza, Bw. Alex Manji, ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Bw. Manji ambaye hivi karibuni alitangaza kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA, katika Uchaguzi Mkuu ujao, alifikia uamuzi huo kwenye Mkutano Mkuu wa Uchaguzi Jumuiya ya Wazazi wa CCM, wilayani hapa, uliofanyia jana.

Alisema hajashawishiwa na mtu kukihama chama hicho bali amebaini kuwa kuendelea kukaa huko ni sawa na kupoteza muda wake kwani CCM ndio chama kilichomlea tangu utoto wake.

"Nimeamua kurudi nyumbani CCM kwa hiari yangu, nitakuwa bega kwa bega na wanachama wote kuhakikisha tunaisambaratisha CHADEMA hapa Sengerema.

"Ninaijua vizuri CHADEMA kwa sababu nimekuwa mdhamini wao mkuu katika jimbo hili,'' alisema Bw. Manji ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kata ya Nyampulukano.

Katika mkutano huo, Bw. Manji alipewa kadi yenye namba 0136371 iliyotolewa Novemba 5,2010, na mgeni rasmi Kamanda wa Vijana wa CCM wilayani hapa, Bw. William Ngeleja, ambaye alisema uamuzi aliochukua ni wa busara na unastahili kupongezwa.

Akizungumzia uchaguzi huo, Mbunge wa jimbo hilo, Bw. William Ngeleja, aliwataka wajumbe wa mkutano huo kuchagua viongozi ambao watasaidia kuimarisha chama katika Uchaguzi Mkuu ujao.

"Ndugu wajumbe, naomba tuwe makini tunapochagua viongozi ambao watakuwa msingi imara wa chama chetu huko tunakokwenda ili tuendelee kuwatumikia wananchi," alisema.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CCM wilayani humo, Bw. Jaji Tasinga, aliwataka wajumbe wa mkutano huo wajitokeze kwa wingi kutoa maoni yao kwenye tume ya kukusanya maoni ya Katiba Mpya.

Mkuu naunga mkono hoja ila umekosea heading,ungeandika MFADHILI WA CHADEMA SENGEREMA AVUA GWANDA NA GAMBA AHAMIA CCM
 
Kazi yako jamvini ni kueneza udini na ukabila na chuki tu!
Ni haibu kuwa na mtu mzima mwenye mwenendo kama wako!

Mbona haujifunzi kwa wenzio?
Jaribu kubadilika Zomba.

Nikutakie Asubuhi njema mtanzania mwenzangu!

Kweli kabisa, inategemea koo tofauti kama akina Mbowe, Mtei, Ndesamburo, Lema, malizia...
 
Chadema ipo imara hata kama akiondoka wilbroad Slaa!!Kwanza huyu mwenyewe alikua amekaa kwenye ncha ya msumari maana hata jina lake hastahili kuwa chadema et Manji!!Fisadi wapi na wapi na chadema?Alihama Shitambala itakua manji na pia kumbuka chadema haihitaji kuwa hata na wanachama ila wakati wa uchaguzi ndo utaijua kama inakubalika au haikubaliki Uliza igunga Chezea M4C wewe

si ndio zenu,hata katibu wa CHAga DEvelopment MAnifesto mkoa wa morogoro alipobwaga manyanga mlisema hivo hivo.mtapukutika mpaka mkome
 
Kazi yako jamvini ni kueneza udini na ukabila na chuki tu!
Ni haibu kuwa na mtu mzima mwenye mwenendo kama wako!

Mbona haujifunzi kwa wenzio?
Jaribu kubadilika Zomba.

Nikutakie Asubuhi njema mtanzania mwenzangu!

ZOMBA is a senior advisor for NAPE aka NEPI/kifutio/gogo la msalani!
 
Ah yes!! Mzee wa mipasho J.S. Wote hao niliotaja imethibitishwa wanatoka Mkoa wa Kili!!!! Magambaz mnachekesha kweli!!! You are sinking fast!!!
Huyo mkuu ni mtu wao, kama alikuwa na William Ngeleja bila shaka kuna deal!!! CCM kwa kuhonga ndio wenyewe wanahonga hadi vitumbua!!!
 
MFADHILI MKUU WA CHADEMA SENGEREMA AHAMIA CCM
MLEZI na Mfadhili Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Sengerema, mkoani Mwanza, Bw. Alex Manji, ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Bw. Manji ambaye hivi karibuni alitangaza kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA, katika Uchaguzi Mkuu ujao, alifikia uamuzi huo kwenye Mkutano Mkuu wa Uchaguzi Jumuiya ya Wazazi wa CCM, wilayani hapa, uliofanyia jana.

Alisema hajashawishiwa na mtu kukihama chama hicho bali amebaini kuwa kuendelea kukaa huko ni sawa na kupoteza muda wake kwani CCM ndio chama kilichomlea tangu utoto wake.

"Nimeamua kurudi nyumbani CCM kwa hiari yangu, nitakuwa bega kwa bega na wanachama wote kuhakikisha tunaisambaratisha CHADEMA hapa Sengerema.

"Ninaijua vizuri CHADEMA kwa sababu nimekuwa mdhamini wao mkuu katika jimbo hili,'' alisema Bw. Manji ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kata ya Nyampulukano.

Katika mkutano huo, Bw. Manji alipewa kadi yenye namba 0136371 iliyotolewa Novemba 5,2010, na mgeni rasmi Kamanda wa Vijana wa CCM wilayani hapa, Bw. William Ngeleja, ambaye alisema uamuzi aliochukua ni wa busara na unastahili kupongezwa.

Akizungumzia uchaguzi huo, Mbunge wa jimbo hilo, Bw. William Ngeleja, aliwataka wajumbe wa mkutano huo kuchagua viongozi ambao watasaidia kuimarisha chama katika Uchaguzi Mkuu ujao.

"Ndugu wajumbe, naomba tuwe makini tunapochagua viongozi ambao watakuwa msingi imara wa chama chetu huko tunakokwenda ili tuendelee kuwatumikia wananchi," alisema.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CCM wilayani humo, Bw. Jaji Tasinga, aliwataka wajumbe wa mkutano huo wajitokeze kwa wingi kutoa maoni yao kwenye tume ya kukusanya maoni ya Katiba Mpya.

hapo penye red ni maeneo ambayo yanamfanya bwana ALEX kuacha pengo kubwa sana huko magwanda napongeza sana uamuzi wake wa KIUME WA KUKATAA KUENDELEA KUTUMIKA KAMA MPIRA WA KIUME
 
Ni haibu kuona mtu mzima kama wewe kushangilia mambo ambayo hayana maana.
Mambo kama hayo ya ukabila na udini ndiyo yanaikwamisha sensa na wewe unayashangilia badala ya kusisikitika!

Zombaaa iraviyuuuu hahhahaha
 
Nilijua kuna hoja ya msingi,kumbe ni kuondoka kwa mtu mmoja!
Hiyo haina madhara kwa chama hata kidogo.
 
Mkubwa hatishiwi nyau.. Aende tu. Bado wengi wanaingia, yeye ni kasisimizi tu ndani ya chama Hana madhara.
 
CCM mnapoteza muda kudhani strength ya CHADEMA ni viongozi na wafadhili, CHADEMA ni ya wanachama na nguzo yake kuu ni dhamira ya dhati ya ukombozi wa mtanzania huru kutoka katika utegemezi wa kifikra, kiutamaduni na kiuchumi. Mtu mmoja mmoja kamwe hawezi kubadili lengo hili kuu. Aliondoka Katibu mkuu aliyekuwa very strong by then Dr. Amani Waridi Kaburu, akaziba nafasi yake Dr. Wilbrod Slaa, nadhani wote ni mashahidi jinsi chama kinavyozidi kuingia mioyoni mwa watu. Zitto Z. Kabwe alitaka kuuingia mtego wa CCM wa umaarufu, akashituka kabla mambo hayajaharibika. Shibuda kauningia mtego huo, kabaki tia maji tia maji. Kifupi CHADEMA ni chama cha wanachama, CCM mwaweza kumnunua hata Dr. Slaa na umaarufu wake, kesho mimi, wewe na yeye tutakuwa viongozi jahazi litasonga mbele kwa kasi kubwa, maana mtaji wetu ni uadilifu wetu.
Nyie watu mmelogwa na nani?
Mbona mnakua na vichwa vigumu kama nazi?
 
Back
Top Bottom