chadema msiwahadae watanzania juu kifo cha daudi na wengine

Status
Not open for further replies.
Na nyie wenye akili fupi mmejaa sana serikalini na ndio maana tumefika hapa, we kweli unafikiria?, hizo picha zilizoonekana zinajustify unachosema?, kifo cha morogoro mlitafta sbb lakn hii ya Iringa imewaumbua.
 
Wewe unaonekana bado kula kulala wewe kuoga lazima, subiri uitiwe posho mezani tu ukikuwa utayajuwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom