Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
naomba viongozi wa chadema makao makuu muifuatilie chadema mkoa wa singida na wilaya zake kwani ni kama wametelekezwa na hawajui waende wapi?wanachadema wanahangaika wenyewe kufungua matawi ila hawana sapoti.wanyaturu na wanyiramba mlioko jf changieni chama hakina ofisi ya mkoa wala wilaya. tarafa ya mtinko wameshapata ofisi na kuna wanachama kibao.nawaomba viongozi wa kitaifa waende singida kuhamasisha kwani mkoa kwa jumla wapo tayari kwa ajili ya kuimaliza ccm huko.