chadema makao makuu mmeitelekeza chadema singida

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
naomba viongozi wa chadema makao makuu muifuatilie chadema mkoa wa singida na wilaya zake kwani ni kama wametelekezwa na hawajui waende wapi?wanachadema wanahangaika wenyewe kufungua matawi ila hawana sapoti.wanyaturu na wanyiramba mlioko jf changieni chama hakina ofisi ya mkoa wala wilaya. tarafa ya mtinko wameshapata ofisi na kuna wanachama kibao.nawaomba viongozi wa kitaifa waende singida kuhamasisha kwani mkoa kwa jumla wapo tayari kwa ajili ya kuimaliza ccm huko.
 
Ndugu yangu mimi ni kati ya wanaokerwa na tabia ya CDM makao makuu, Binafsi mi Mcdm damu ila nakosa hata wa kumshirikisha feelings zangu kukijenga chama chetu, hakika tukiendelea kuwa na ugumu wa kuwafikia wananchi tutasahaulika kabla ya 2015, nashukuru kwa mada hii na niendelee kukuunga mkono kuwa wanyaturu na wanyiramba ndani na nje ya sgd hatulali mpk kieleweke.
 
Ni kweli naunga mkono mada hii, inahitajika nguvu ya ziada, kama maeneo ya puma ikungi na ihanja ambako kuna wanaoamini mpaka leo nyerere bado ni raisi.
 
Cdm we need to do more tusijisahau kwa kukusanya watu wengi kwenye mikutano yetu na kushindwa kuacha misingi.
 
Ni kweli naunga mkono mada hii, inahitajika nguvu ya ziada, kama maeneo ya puma ikungi na ihanja ambako kuna wanaoamini mpaka leo nyerere bado ni raisi.

Ndugu yangu isekuu, huko kwetu mang'onyi mpaka sambaru jinamizi la chama cha wezi bado ni kizungumkuti, jamani tulioko huku duniani(MIKOANI) hebu tusaidie kueneza habari HII njema juu ya ukombozi wa kweli kupitia CDM, Na nadhani turudi kwenda kuzikomboa kata zetu kutoka kwenye mikono ya wanyang'anyi na hatimaye halmashauri ya wilaya ya ikungi na mkoa wote kwa ujumla, niwaalike na watani zangu wanyiramba shime tumuondoshe adui CCM.
 
Hamna vikao vya chama, simu za viongozi wenu au hata e-mails zao, pelekeni maoni huko. Lengo lenu hapa liwe nini??
 
Ndugu yangu isekuu, huko kwetu mang'onyi mpaka sambaru jinamizi la chama cha wezi bado ni kizungumkuti, jamani tulioko huku duniani(MIKOANI) hebu tusaidie kueneza habari HII njema juu ya ukombozi wa kweli kupitia CDM, Na nadhani turudi kwenda kuzikomboa kata zetu kutoka kwenye mikono ya wanyang'anyi na hatimaye halmashauri ya wilaya ya ikungi na mkoa wote kwa ujumla, niwaalike na watani zangu wanyiramba shime tumuondoshe adui CCM.
umenifurahisha kunitajia mazingira halisi. Kwa ujumla unayozungumza ni kwelli ukizingatia hata dr slaa kapga buku pale dung'unyi, wanyaturu wakati ni huu. Tufanyeni mageuzi ya kutosha mi nimechoka kuona ufukara wa mkoa wa sgd, tembe tuu! Mpaka lini?
 
Sio tembe tu kaka, hakuna mtu makini wa kumobilize watu na vitu ili kuondoa matembe na kuboresha physical quality of living index, mkubwa nilijaribu kumshauri kwa sms MP wetu kuwa kuwe na kamati ya maendeleo ya jimbo, nilikuwa mwanza mwaka jana baada ya Mhe. Wenje kukamata jimbo pamoja na jamaa zangu tulimshauri kuwa na chombo hicho chini ya uratibu wake ili kufanya needs assessiment ili kama MP ajue wapi pakuserve watu wake.
 
Chama hakijengwi kwenye computer, humu wengi mnapiga porojo za kwenye internet, tunataka watu muende front, kama haujuwi makao makuu ya chadema yapo pale kinondoni, nenda pale wasilisha ushauri wako, au dr slaa yupo humu jf na mnyika na kitila mkumbo, wasearch majina yao u wa pm. Nadhani umenielewa.
 
Mna wabunge Watatu sasa wa Chadema, naona mmefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa mara ya kwanza. Watumieni sana wabunge hawa hasa Tundu Lisu, Mafanikio mtayaona 2015
 
But you guys you have Tindu Lisu, one of the toghest figures in Chadema. Mshirikisheni katika hili naamini atalifanyia kazi kwa ufanisi wa hali ya juu.
 
CHADEMA wamezisahau ofisi za matawi, majimbo, mikoa. Wanatumia nguvu na rasilmali nyingi mno kwenye MAANDAMANO na uendeshaji wa makao makuu. Juzi niliona wamepeleka dola elfu 2 ubalozi wa Japan kuwapa pole ya tetemeko na tsunami.
 
Chama hakijengwi kwenye computer, humu wengi mnapiga porojo za kwenye internet, tunataka watu muende front, kama haujuwi makao makuu ya chadema yapo pale kinondoni, nenda pale wasilisha ushauri wako, au dr slaa yupo humu jf na mnyika na kitila mkumbo, wasearch majina yao u wa pm. Nadhani umenielewa.

Kha! we vp, kinondoni ni singida? isekuu msikie jamaa yako. Tunataka kupata taarifa za chama chetu mikoani sio HQ, afu we ni kati ya wale wasioenda likizo maskani ndo man una dar es salaam sickness, unaijua sgd vzr na watu wake huko ndani ndani? Chama kinajengwa vyovyote acha woga.
 
CHADEMA wamezisahau ofisi za matawi, majimbo, mikoa. Wanatumia nguvu na rasilmali nyingi mno kwenye MAANDAMANO na uendeshaji wa makao makuu. Juzi niliona wamepeleka dola elfu 2 ubalozi wa Japan kuwapa pole ya tetemeko na tsunami.

Kwa hilo sioni tatizo, msiba ni msiba bila kujali kafa mtu wa kabila au rangi gani. Cha msingi na cha kweli wakumbuke walikotoka kwa maana ya kuendelea kujiwekea mizizi ya uendelevu
 
Mkakati wa CHADEMA umefanikiwa. Naona kila chama, hasa vikubwa, na wapinzani wa CDM wanakitangaza bila malipo kila wanapotaka kupotosha hoja ambazo wananchi wanajua ukweli wake. Ifikapo 2014 ktk uchaguzi wa mitaa kila mtu/sehemu hata kule Samunge atakuwa na habari za cdm
 
But you guys you have Tindu Lisu, one of the toghest figures in Chadema. Mshirikisheni katika hili naamini atalifanyia kazi kwa ufanisi wa hali ya juu.

Kupitia JF na vikundi vya wana sgd Mhe. Lissu aitishe kongamano la wana sgd walioko dar aone kama hatapata mchango wa hali na mali ili mradi kukijenga chama.
 
Kwa hilo sioni tatizo, msiba ni msiba bila kujali kafa mtu wa kabila au rangi gani. Cha msingi na cha kweli wakumbuke walikotoka kwa maana ya kuendelea kujiwekea mizizi ya uendelevu

Wajapan wamejiandaa sana kwa majanga kama haya. Kadi au ua la pole tu lilikuwa linatosha. Mengi hawezi kufiwa nikapeleka elfu 2 yangu pale. Nitahudhuria msiba na kumwaga mchozi tu inatosha.
 
CHADEMA wamezisahau ofisi za matawi, majimbo, mikoa. Wanatumia nguvu na rasilmali nyingi mno kwenye MAANDAMANO na uendeshaji wa makao makuu. Juzi niliona wamepeleka dola elfu 2 ubalozi wa Japan kuwapa pole ya tetemeko na tsunami.

Huyu ni juha, je unajuwa CHADEMA imesaidiwa dollar ngapi na wahisani kutoka nje? wao kutoa dollar 2000 ni pesa ndogo sana, hiyo ni ishara ya kuonesha wanajari na wameguswa na janga la wenzetu wa Japan, this we call a SOLIDARITY. haya hiyo serikali yako inayopokea mipesa kila siku kutoka Japan wametoa nini? usiwe mvivu wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom