Ban ya nn faza kwenye ukweli tuseme mama hana uwezo yule kama sioi vile......lazima tuoji ni kwnn apelekwe yy peke yake while kuna watu walionyesha nia....Na komu kama ni mwana JF,
Apewe ban ya milele ikiwezekana na mac adress yake ifungiwe kabisa!
Well said mkuu. Chadema wajifunze kusimamisha watu competent. Na analosema Tuntemeke pamoja na Lazima ukae yana uhalisia mkubwa sana. Kuna foul zilichezwa katika kupitisha jina la Komu, sina uhakika kabisa kama wanachadema wote walikubaliana kwamba Komu ndiye mwakilishi mzuri ilihali wanajua kabisa hana hata uwezo wa kujieleza.Mkuu Ben mimi naukibali kabisa ushindi wa CDM kwenye kupata viti zaidi kwa wapinzani. Lakini naona waliangalia upande mmoja tu wa kupata viti viwili kwa wapinzani ila wao kama chama kikuu cha upinzani kikashindwa kuwa na strategy ya kuchukua japo kiti kimoja. NCCR wakawa wajanja. Imeonekana suala la kugawa kura kwa kusimamisha wagombea wengi si issue ingekuwa issue NCCR wangekuwa waathirika wakuu lakini wamekuwa washindi. Wao waliona opportunity wakaamua kupeleka wengi, Polisya amekosa Kessy amepata. Mle ndani ilifika wakati watu wanaona nani amekong nyoyo zao; Polisya na wenzake hawakukonga Kessy akakonga akapata. Vivyo hivyo CDM wangeweza kupeleka Wawili Komu akashindwa kukonga kichwa kingine kingekonga huends kingepata. Tumeona Makongoro, Kizigha na Mwinyi wakichaguliwa kwa sababu wamejieleza vizuri na kujua wanatakiwa kwenda kufanya nini.
Sasa mtu umeshindwa kujieleza tufanyeje sasa. Huko ndio kutetea lisiloweza kutetewa! Hata Le Bahari mimi nilikuwa namuunga mkono lakini kwenye kujieleza alikuwa nyuma ya matarajio yangu.
kwa msisitizo NIMEIPENDA HIII SANAAAAAAAAAMlipeleka boya,mliambiwa kuna mafuriko?uchaga unawamaliza
Tehe tee tee!Nafikiri hapa kuna kitu kilipikwa mapema. Chadema kwa kuelewa kuwa CCM hawatakubali mgombea wao kupita kwa vyovyote vile hata kama akiwa Malaika, waliamua kuwafunga goli la tobo CCM.
Unakumbuka mkutano wa siri wa Chadema na NCCR kuhusu jimbo la Kawe na hasa kesi ya Mbatia Vs Halima Mdee? Ukiangalia lugha za Halima Mdee, alikuwa kwenye position nzuri sana ya kushindwa kama unaweza kusema hivyo.
Sintashangaa kuwa deal ilikuwa kwamba, Mbatia na chama chake wafute kesi na Chadema wampe kura zao mgombea wa NCCR. Ili kuvunga, Chadema wameleta mgombea ambaye walijua hatakuwa na mvuto kabisa ili isije ikaonekana kuna kitu kilipikwa mapema kwa wapinzani.
Ndiyo maana hata kukawa na makubaliano ya ushirikiano kati ya Chadema na NCCR. CCM walivyo wabovu na wazembe hawakuliona hilo na wakakaa na hasira ya kumkomoa Komu na kumpa Mama Prof. na hapo malengo ya upinzani yakawa yametimia. Yaani CHADEMA na NCCR hapa wamecheza sana kwa sababu mwisho wa siku, Halima Mdee ni Mbunge na Mama Prof. ni Mbunge wa EALA. HONGERA SANA CHADEMA na NCCR kwa hilo goli la kisigino kwa CCM.
Kura 97?... lazima kuna za CCM hapo!Naona wimbi kubwa la wachangiaji wakihubiri ukanda na ukabila siku hizi humu. Kuanzia mleta thread mpaka wachangiaji walio weng hoja kwa cdm na komu ni ukanda. Ila yule madam Kessy ni uwezo. Ktk hali siasa iliyopo unategemea magamba yaipigie cdm? Labda uwe hutoki tz na siasa za nchi hii zimekupita kando.
Naona wimbi kubwa la wachangiaji wakihubiri ukanda na ukabila siku hizi humu. Kuanzia mleta thread mpaka wachangiaji walio weng hoja kwa cdm na komu ni ukanda. Ila yule madam Kessy ni uwezo. Ktk hali siasa iliyopo unategemea magamba yaipigie cdm? Labda uwe hutoki tz na siasa za nchi hii zimekupita kando.
Kukosa elimu ya kuweza kupambanua mambo kwa usahihi na wakati muafaka ni ugonjwa mbaya sana.Naona baazi ya magreat thinkerz wanajadili hoja bila kuwa na uelewa wa mambo.Je Komu angeshinda mngeleta haya mnayotaka kuwaaminisha watu? Je CDM ilipopeleka jina la Prof. Baregu kipindi cha awali na kushindwa mbona hilo haliongelewi ?
Uvivu wa kufikiri huambatana na hisia hasi zenye ushabiki zaidi ya ukweli.Kujadili hoja kwa misingi ya ukaskazini ni ulemavu wa kimawazo.Je CDM wangepeleka jina la Mwita wa kanda ya Ziwa na akashindwa kujieleza! Bila shaka mngekuja na hoja ya Ukristo.
Hata hao wa magamba baadhi yao wameshindwa kujieleza hapo na wakashindwa ila ndio walikuwa na CV nzuri za kwenda kushindana kwa hoja na waganda / wakenya.Hoja zilizoko kwenye jumuiya ya Afrika mashariki nyingi zinahitaji kuchambuliwa kisomi na kufanyiwa tathmini yakinifu sio kupeleka watu wenye maneno mengi ya kisasa yasio na tija.
Naona wimbi kubwa la wachangiaji wakihubiri ukanda na ukabila siku hizi humu. Kuanzia mleta thread mpaka wachangiaji walio weng hoja kwa cdm na komu ni ukanda. Ila yule madam Kessy ni uwezo. Ktk hali siasa iliyopo unategemea magamba yaipigie cdm? Labda uwe hutoki tz na siasa za nchi hii zimekupita kando.