CHADEMA kuweni na mbinu thabiti kuikabili CCM katika uchaguzi wa Arumeru.

Aisee hii mijitu ya CCM ya hovyo kabisa,natafakari hapa sipati jibu lakini kitaeleweka tu ulinzi ukifanyika kama ule wa Arusha mjini basi sitakuwa na shaka.Mungu ibariki CDM
 
mkuu kama arusha mjini waliweza nadhani arumeru pia wataweza
 
Back
Top Bottom