CHADEMA kuweni makini sana, kilicho nyuma ya pazia hiki hapa!

Yametimia,kumbe mjumbe wa CC asiyekuwa zzk ni Dr.Kitila!umdhaniaye siye kumbe n diye
 
Kwamba JK atakubali kuachia madaraka kabla ya muda? Nitashangaa sana, he does not look like he can that easily leave that office...
mkuu kwa mujibu wa mleta habari nikuwa they had plan a,b,c,and d.na hiyo unayoishangaa uwezekano wake ilikuwa mojawapo,nadhani ilikuwa ngumu kumeza ndiyo maana 2013 imepita bila utekelezaji.
 
This is propaganda at his core. I never read your previous forums but I doubt if anyone is paying attention to what you articulate.

I have to be honest, if any of Tanzanian believe such propaganda then we're seeing the beginning of the end of this great nation on earth. The message is full of lies and speculation. The last thing I will believe is that peace of GIGO.
 
baba unatisha!
 
Hutaki unaacha
 
ahsante mh. eric shigongo kwa story zako za kusadikika
nakushauri uanze na kuchora vikatuni kama kina masud kipanya, king kinya na jonathan mpangala
thanx JF kwa kuwa na great sinkers wengi wenye uwezo mkubwa sana wa kubuni hadithi na wajinga wengi wakaona kuwa hadithi hiyo ni kweli.
 
CDM mwendo mdundo nyoyo za wananchi ziko nanyi daima tunangojea haki tu itendeke kwenye sanduku la kura. Mleta mada umetufumbua macho ila mtarajiwa wa mgombea binafsi CDM angekuwa Zitto kwa kufadhiliwa na CCM. Sasa amewekwa kiti moto sijui CCM watakuja na mkakati gani tena. Wanataka mahakama imwachie uanachama CDM ili aibukie mgombea binafsi lol! Tuwe macho kuchuja wanachama wanaoweza kurubuniwa mgombea binafsi ili kupunguza kura za mgombea kuptia CDM.
 
Wapendwa wanaJF,

Kwanza niwaombe radhi kwa kukaa kimya kwa muda mrefu baada ya kutoa part II na kuahidi kuendelea kutoa part III ambayo ingekuwa ya mwisho. Ninajisikia vibaya kwa kukaa kimya bila kuwajulisha chochote. Mnisamehe kwa hilo. Ninafahamu wengi mtanielewa nikisema kwamba nimeacha kwa sasa kuendelea na ile series mpaka pale muda mwafaka utakapowadia tena. Kuna mipango mingi ambayo nilitaka kuielezea ya ndani zaidi (hasa kama ningefikia kwa Apson na Edward) ambayo kwa namna moja nyingine ingekuwa na matokeo ya aina mbili tu yaani kutengeneza mwanzo wa njia ya kuelekea kwenye ukombozi wa taifa letu au uvunjifu wa amani kubwa ambayo haikuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu (nime-consider taifa kwanza ingawa ya kwangu ni tofauti na intelijensia ya mwema). Muda ukifika nitaleta habari yote ikiwa kamili na kwa hili sitakaa muda mrefu kama ambavyo huwa nafanya. Naomba tena mnielewe kwa hilo na kusema ukweli nawaomba radhi sana tena sana kwa hili.

Lakini kuna hili ambalo imebidi nisiliache na kwa haraka haraka na mpangilio mbovu naomba nilitoe hasa kwa CHADEMA na rafiki zake. Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa. JK anakiri na ameendelea kukiri kwamba EL ameharibu mipango yake mingi sana. Analalamika sana jinsi ambavyo EL ameharibu strategies zake za kumweka mtu wake Ikulu. Kwa bahati mbaya sana JK amekuwa akishinikizwa na baadhi ya "washika dini" kumweka muislam kwenye urais wa 2015 kwa muda mrefu sasa. Niseme wazi kuwa sina shida na Islam na hata wakiongoza consecutively kwa miaka 400. Tatizo naliona pale ambapo dini inakuwa sifa. Na wapo waislamu wengi ambao hawaipendi tabia hii maana baadhi wanasema inawadhalilisha. Najaribu kutoa habari tu. Sitaki tuingie kwenye malumbano ya dini. I love my country. Mtu wa mwisho ambaye EL amemharibu ni Nundu..JK ameumia sana. Sikuwahi kumwona JK akiumia kiasi hiki baada ya mpendwa wake wa 2015 (Nundu) kuharibiwa. Nafahamu wengi watashangaa kumwona JK akihangaika kumweka Nundu 2015 akiwakilisha CCM. Nataka niseme wazi kuwa, yeye ndiye alikuwa anaandaliwa. Ninao ushahidi wa wazi kabisa. Nahodha, Hussein, Asharose (ambaye ame-underperform na "kufukuzwa" na Ban) etc wameonekana hawawezi kushindana na EL ndani ya CCM. Hata Emmanuel, Membe etc ambao labda wangeweza kutumika kushawishi kanisa hawawezi kushindana na EL ndani ya CCM.

Kwa ufupi sana, ripoti iliyomfikia JK kutoka state department ilimnyong'onyeza JK pale ilipobainika wazi kuwa hakuna mwanaCCM ambaye atamshinda EL 2015. Baada ya kuona hakuna namna nyingine, mwezi uliopita JK na EL wamekutana karibu mara 4 na "kusameheana" ili kujenga mtandao wa kuendelea kuwa na mtu wao 2015 as a president..Katika mkutano ule ambao Rostam hakuhudhuria labda kwa sababu ya ugonjwa wa baba yake mzazi (anamuuguza baba yake kwa sasa), lengo lilikuwa ni kupanga mipango ya nini kifanyike ili CHADEMA wasishinde urais 2015. Katika mikutano yao, imeonekana kwamba, ni vigumu kumshinda Dr Slaa kwa kura (kumbuka huyu katika uchaguzi wa 2010 alipata 47.3% kama matokeo halisi kabla ya uchakachuaji wa kishamba kufanyika). Kwa maana hiyo mambo/alternatives yafuatayo yaliazimiwa (hili ni muhimu sana na ushabiki uwekwe pembeni ili muweze kunusuru chama chenu na mikakati yenu);

1. Ule mpango wa kuipasua CHADEMA (unaohusisha viongozi wa dini walio karibu na CHADEMA au Slaa na kuratibiwa na idara kwa usiri wa hali ya juu) usitishwe kwa muda ili kuona kama mipango mingine itafaulu.

2. JK ajiuzulu urais mnamo mwaka 2013 hivi ili chini ya Bilal na kwa muda mfupi mabadiliko makubwa yafanyike na CHADEMA waweze kujumuishwa katika serikali hasa Dr Slaa ili kujipanga kukimaliza CHADEMA kwa urais zaidi. Ingawa JK alihofia hii technique kwa maana ya Bilal but hii naona ina mkono wa "wafanyabiashara" wakubwa wa mataifa Fulani ambao wanataka biashara zao ziende vizuri kama JK ataondoka madarakani kwani akiendelea hataweza kumweka mtu wao ili aendelee kulinda 'maslahi Fulani'

3. Katiba ijayo iruhusu serikali tatu na by any means ilazimike kuwa EL awe rais wa Tanganyika, Dr Slaa/CHADEMA wa Muungano (asiye na nguvu yoyote) na Shein aendelee Zanzibar.

4. Moja ya watu wenye nguvu ndani ya CHADEMA ashawishike kugombea kama independent candidate (sio Zitto) na malipo yake yawe competitive na campaign yake 2015 iwe sponsored kwa gharama yeyote ile.

CHADEMA kuweni makini sana na baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ambao wanaweza kuwaharibia your way to 2015. Muda umeniishia kwa leo maana nasafiri muda si mrefu otherwise nikipata muda tena nitawapa updates. Thank you.
Huyu member hajaonekana toka 2012!
 
This is propaganda at his core. I never read your previous forums but I doubt if anyone is paying attention to what you articulate.

I have to be honest, if any of Tanzanian believe such propaganda then we're seeing the beginning of the end of this great nation on earth. The message is full of lies and speculation. The last thing I will believe is that peace of GIGO.

This is just a Propagandist rubbish!! Only fools can buy this cheap material. What about Bangokitita as said by TL? Some one with the info in detail???
 
Kwa hiyo Kitila atagombea urais kama mgombea binafsi?

Mbona hamjamtaja mama mpendwa Anne Mghwira-RC Kilimanjaro?
Yawezekana kuna connection ya ZZK, Kitila Mkumbo na Anne Mghwira ndo maana wameanza kugezwa karibu na Mkulu. Ile habari ya ACT-Wazalendo kuwa ni CCM B inaelekea kutimia. Juzi nimemsikia ZZK akipingana na Msigwa na Lema mjengoni! What a non=sense? Yawezekanaje mpinzani unaitetea Serikali iliyoko madarakani ambayo wewe mwenyewe inakupiga vita??
 
Na Hutaki Unaacha alidokeza kabisa kuwa CHADEMA wawe makini na wajumbe wa kamati kuu,ie Zitto na Kitila Mkumbo!! Now Kitila Mkumbo yuko CCM kwa mwamvuli huku Mgwira RC,Zitto ni kwa matumizi ya baadae,kugombea kura na kugawa kura plus udini!!!!
 
Haaha sasa hivi amepewa kaz,kuna mtu kule club ya simba alimdiss jpm kipindi cha mambo ya Mizani,,,,,anatafutiwa dawa
 
Back
Top Bottom