wanajamvi,nimefurahishwa mno na tamko la tundu lisu hasa kuhusu msisitizo juu ya zitto kabwe.ni wakati muafaka wa kumtimua huyu kibaraka.aondoke mapema ili akamshukuru vizuri jk.viva tundu lisu.itisha hata maandamano sisi vyuo vikuu ametutia kinyaa huyo zito.pia amehujumu chama kigoma.hajawahi kubatilisha kauli yake kumsaidia kafulila.pia ni yeye alikuwa nyuma ya mafanikio ya nccr.huyu ni kansa tukimlea tutakuja kukata mguu mzima
Kigoma sio mazumbukuku hawakubali tuu jambo kwa sababu ya mtu akiwa mjinga muulize Kaborou alibebewa jeneza kwa hiyo tafadhali usiwapake matope watu wakigoma kwamba wanakubaliana na wajinga wasio kuwa na nidhamuZitto Kabwe ni chaguo letu kigoma hata mkimtoa atakuwepo.
Ukweli unauma sana.
Hapa ndio unajua Chadema ni chama cha ukoo,na ukabila.
Hata chacha wangwe aliwaeleza ukweli kuhusu ruzuku akafukuzwa na Mbowe na Slaa
wanajamvi,nimefurahishwa mno na tamko la tundu lisu hasa kuhusu msisitizo juu ya zitto kabwe.ni wakati muafaka wa kumtimua huyu kibaraka.aondoke mapema ili akamshukuru vizuri jk.viva tundu lisu.itisha hata maandamano sisi vyuo vikuu ametutia kinyaa huyo zito.pia amehujumu chama kigoma.hajawahi kubatilisha kauli yake kumsaidia kafulila.pia ni yeye alikuwa nyuma ya mafanikio ya nccr.huyu ni kansa tukimlea tutakuja kukata mguu mzima
Sawa Lissu amesema kama muweka nidhamu ktk upinzani lazima waulizwe. Zitto ameshaeleweka kama alivyojieleza mwenyewe hapa JF. Hawezi hata siku moja kuparaganyisha upinzani sahihi kwa ajenda binafsi kama ipo. Ktk post moja tumeelezwa hata jinsi anavyotumiwa na usalama wa taifa etc na jinsi alivyokaribu na Ridhi JK (ingawa hii si muhimu sana kwani siasa si uadui ni ideology) lakini tukumbuke kuwa CDM imekua sasa kuliko ilivyokuwa zamani na sasa wanatakiwa kuwa na mtizamo wenye akili zaidi katika kuchukua maamuzi maana wana maadui wengi pia. Nyongeza ingine ni kuwa sikubaliani na kuwa CDM ni chama cha kindugu kwa sasa ingawa najua wenzetu toka (North wamejitoa mhanga sana kuendeleza upinzani wa kweli Tanzania) ninatarajia kila jambo kuhusu kuendeleza chama litafanyika kwa busara. Je Sugu au Mzee Arfi, Zitto ni Wachaga?
Zito pia alisema kuna udini. Jee na hii pia inamuhusu?
Na ni vizuri akafukuzwa mapema kabla ya 2015, asije tumika na chama kingine kama mtaji wa kisiasa. So afukuzwe sasa alafu TUMLEGEZEE WEEEE mpaka 2015, hamna kitu then Kigoma Kaskazini tunaichukua chadema tena.
1.Yeye ndo alikuwa akitetea mitambo ya DOWANS inunuliwe, eti tutakuja kukaa kwenye giza, NANI KALIONA HILO GIZA TOKEA WASEME yeye na Rashidi??
2.Alipoambiwa atulie asigombee uenyekiti, amuache CHIEF IN COMMAND aendelee, akaanza kuwagawanya wanachama, JE Kikwete bila kuambiwa na Nyerere atulie 1995 JIULIZE TZ INGEKUWA WAPI LEO?? so hata zitto baadae akija kuchaguliwa kuiongoza CHADEMA atafanya kama anayofanya Kikwete leo KAMA MNABISHA JARIBUNI, sisi wanaCCM tutafurahia tu.
3.Yeye ndio alioonekana yupo nyumbani kwa Lowasa, Kenyatta Road kesho yake asubuhi asubuhi tu baada ya kutoa hoja ya Buzwagi.
4.Na tukubaliane, CHADEMA bila Zitto inawezekana, kwanza NATAKA WATANZANIA WAJUE, zile hoja zooote alikuwa anapewa na chama akazizungumze, siyo kwamba alikuwa na source yeyote, so akiondoka TUTAMPA MTU MWINGINE azizungumze.
NAIPENDA CCM, lakini sipendi UONGOZI WA CCM.................... NAIPENDA CHADEMA lakini NAUPENDA NA UONGOZI WA CHADEMA ukiwa BILA ZITTO
wanajamvi,nimefurahishwa mno na tamko la tundu lisu hasa kuhusu msisitizo juu ya zitto kabwe.ni wakati muafaka wa kumtimua huyu kibaraka.aondoke mapema ili akamshukuru vizuri jk.viva tundu lisu.itisha hata maandamano sisi vyuo vikuu ametutia kinyaa huyo zito.pia amehujumu chama kigoma.hajawahi kubatilisha kauli yake kumsaidia kafulila.pia ni yeye alikuwa nyuma ya mafanikio ya nccr.huyu ni kansa tukimlea tutakuja kukata mguu mzima
Hivi wana jf wengi ni wana cdm?
keshafukuzwa huyo kidudu mtu angalia taarifa ya habari leo jioni
Hivi wana jf wengi ni wana cdm?
sitoi hoja hapa.
ninamuheshimu ZK.
Atamalizana na uongozi na nitakuwa tayari kupokea kwa furaha kile ambacho uongozi utaamua juu yake.
Umakini umtumke, kila siku ni jumatano.umaarufu upi mbele ya mnyika,mdee,silinde, wenje,nyerere,na lisu! Anamzidi kamanda wa anga mbowe umaarufu? Au anamzidi dr slaa? Sasa ajue kuwa si lolote.atemwe aondoke.aende akanyonye kwa rostamu,yeye na mbatia.
Silinde, Wenje, Nyerere washakuwa maarufu tayari, basi nao wajiangalie vile vile kama mwenzao Mzitoumaarufu upi mbele ya mnyika,mdee,silinde, wenje,nyerere,na lisu! Anamzidi kamanda wa anga mbowe umaarufu? Au anamzidi dr slaa? Sasa ajue kuwa si lolote.atemwe aondoke.aende akanyonye kwa rostamu,yeye na mbatia.