Wakuu mi nashangazwa sana na jinsi mambo yanavyoenda hivi sasa. Chaguzi za ccm zinaendelea maeneo mbalimbali ya nchi lakini Chadema baada ya kuzuiwa kufanya mikutano wameamua kufungua matawi tu. Lakini tunaambiwa kuna sensa sensa ndo mduduwasha gan?
Waislam inatokea wapi tena. Mbona chaguzi za ccm hujazigusia mkuu! Ona hata aibu mkubwaMh nilijua tu hii chuki yenu dhidi ya waislam mpaka mkaunga mkono sensa ili kuwakomoa itawatokea puani.Haya sasa endeleni na uzalendo msubiri sensa iishe si wiki tu jamani.
Fiesta inaanza mchana na kuendelea usiku kucha, maandamano yanaanzaga mchana na kwisha mchana huo huo.kwani fiesta inaanza muda gani? Na maandamano yanaanza muda gani?
Labda utawala wa majimbo tayari umeshakuwa - implemented kuwa Iringa ni jimbo lililokuwa na sheria tofauti na majimbo mengine (Just guessing). Hii nchi inateswa na tatizo la watu
(a) kulewa madaraka
(b) Kukosa elimu
(c) Kukosa uzalendo
(d) Ubinafsi
(e) Unyang'au wa kutaka kuonekana wanajua kufanya kazi bila kuwa na ufanisi wowote katika kuwasaidia raia
(f)...
.
.
.
1). Fiesta Mwanza 2/9/2012
2). Mkutano wa Mbunge ulifanyika huko Mwanza 2/9/2012
3). Ufunguzi wa kampeni jimbo la Bububu huko Zanzibar 2/9/2012
4). Uchaguzi wa UVCCM Dar 2/9/2012
Then kwanini CHADEMA walizuiwa kufungua matawi yao huko Iringa 2/9/2012?
kwetu sisi tulioko huku vijijini huwa tunaamini kuwa ukiona giza linazidi ujue alfajiri inakaribia.Labda utawala wa majimbo tayari umeshakuwa - implemented kuwa Iringa ni jimbo lililokuwa na sheria tofauti na majimbo mengine (Just guessing). Hii nchi inateswa na tatizo la watu
(a) kulewa madaraka
(b) Kukosa elimu
(c) Kukosa uzalendo
(d) Ubinafsi
(e) Unyang'au wa kutaka kuonekana wanajua kufanya kazi bila kuwa na ufanisi wowote katika kuwasaidia raia
(f)...
.
.
.
Lukuvi naona mmemsahau ndo ameinjinia kila kitu hapa!