CHADEMA kusimamisha shughuli kwa ajili ya sensa huku Fiesta Mwanza kuendeleza

Zoezi limefanikiwa kwa asilimia 95.....bado asilimia 5 tu

Hiyo asilimia 5 ya wasiohesabiwa wapo Iringa peke ake
Akili ya CCM haichanganyiki hata na akili ya Nguruwe...

kama 1 week = 95% perfomance, kwa nini unaongeza another 1 week kwa ajili ya 5%??

Kama mimi ndo boss wake huyo mama Amina, ningemrudisha shule akasome upya.

Upuuzi mtupu.
 
Huu ni zaidi ya upuuzi Bigirita......yaani hii serikali ya Chama Cha Mauaji imejaa vilaza watupu......ukifikiria sana unaweza kujikuta unajilipua na JK!......Ila hawa iko siku tu! Acha waendelee kutuona sisi wajinga kama wao!
 
Last edited by a moderator:
NO JUSTICE FOR ALL IN TANZANIA. Thank you ccm. Thank you Kikwete. Thanks to security apparatus.
 
Mbona hata UVCCM wanaendelea na chaguzi zao

Inavyoelekea Polisi wameambiwa wavae miwani ya mbao ili wasione mikutano ya CCM lakini ya CDM waidhibiti kwa kila njia!. .. Muda si mrefu tutaambiwa wakionekana CDM wawili au watatu piga.
 
Labda utawala wa majimbo tayari umeshakuwa - implemented kuwa Iringa ni jimbo lililokuwa na sheria tofauti na majimbo mengine (Just guessing). Hii nchi inateswa na tatizo la watu
(a) kulewa madaraka
(b) Kukosa elimu
(c) Kukosa uzalendo
(d) Ubinafsi
(e) Unyang'au wa kutaka kuonekana wanajua kufanya kazi bila kuwa na ufanisi wowote katika kuwasaidia raia
(f)...
.
.
.
Naongezea:
g) Uwezo mdogo wa kufikiri
h)kuwaona watanzania hawajuj tofauti ya fiesta, sensa na mkutano wa hadhari
i)....
 
7.jpg

Sensa ni ya Iringa tu, Mwanza walishahesabiwa wote?

Je ongezo la siku ya sensa nikwaajiri ya Iringa tu? Mbona Zanzibar Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi umefanyika BUBUBU?
 
Wabongo acheni unafiki,amjaanza kulalamika leo..endeleeni kulalamika tu labda imewai kuwasaidia.
 
Je ongezo la siku ya sensa nikwaajiri ya Iringa tu? Mbona Zanzibar Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi umefanyika BUBUBU?
Usishangae,......nafikiri hata akifa mwanachama wa CHADEMA hatatakiwa kuzikwa mpaka Sensa iishe.

kichwa kikishaingia mchuzi wa nazi ndo basi tena.
 
Nadhani sababu ni kuwa mikutano ya CDM maranyingi inaandamana na vurugu kati ya wananchi na polisi kunakopelekea tension kubwa kwa jamii(
Wakati fiesta watu wanaenda kula bata na wanarudi kwa amani nyumbani

Lakini hata kama ni janja yao itafika kikomo tu, kwani sensa itafanyika milele?
 
hawa CCM wapuuzi sana na wanazidi kujivua nguo na wanawapa CDM sababu za kuendelea kuwasema vibaya.....
 
Akili ya CCM haichanganyiki hata na akili ya Nguruwe...

kama 1 week = 95% perfomance, kwa nini unaongeza another 1 week kwa ajili ya 5%??

Kama mimi ndo boss wake huyo mama Amina, ningemrudisha shule akasome upya.

Upuuzi mtupu.

..ni ufisadi tu unaoendelea hapa
 
1). Fiesta Mwanza 2/9/2012
2). Mkutano wa Mbunge ulifanyika huko Mwanza 2/9/2012
3). Ufunguzi wa kampeni jimbo la Bububu huko Zanzibar 2/9/2012
4). Uchaguzi wa UVCCM Dar 2/9/2012
Then kwanini CHADEMA walizuiwa kufungua matawi yao huko Iringa 2/9/2012?
wanasisiem
wanawaogopa wanawaogopa m4c
 
1). Fiesta Mwanza 2/9/2012
2). Mkutano wa Mbunge ulifanyika huko Mwanza 2/9/2012
3). Ufunguzi wa kampeni jimbo la Bububu huko Zanzibar 2/9/2012
4). Uchaguzi wa UVCCM Dar 2/9/2012
Then kwanini CHADEMA walizuiwa kufungua matawi yao huko Iringa 2/9/2012?

Good analysis mkuu.
 
Back
Top Bottom