Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni

Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.

Hii ndiyo hasara ya kutoka kwenye Tusker Baridiiii na kupost thread bila kupima madhara yake!
 
Marehemu anazikwa wapi jamani tukashiriki natumaini maiti iko mochwari nawapa pole sana ndugu zake
 
Ahh...............! Chatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Duh Chatu dume au jike? Ila kwenye kujinyonga umepatia maana utakuwa imejiepusha na aibu inayokuja. Ole wao wasiokubali kujinyonga sisiemu na KUFUFUKA CDM. Kwenye Maendeleo na Mafanikio ya Milele.
 
CCM hawatekelezi ahadi. Sitaona ajabu kukutana naye humu humu JF. Ahadi ya kujinyonga hataitekeleza
 
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.


VIPI BADO UPO WEWE UNACHEZEA ARUSHA.
MUOGOPE MUNGU TENA USIRUDIE KUTOA
UHAI WAKO KWA CHAMA KICHAFU KAMA HICHO
CCM ILIKUWA ZAMANI.

NATAMANI NIKUONE NIKUPEPOLE UPO HAPO
HIYO NDIO CHADEMA.
:biggrin::rockon:
 
ivi hawa watu washajinyonga au bado?
WENDAWAZIMU WENGI KWELI KWELI KUBADILI ID NDIO KUJINYONGA?.. WAJINYONGE NA WAPI WAJINGA TU.. KWANI KWENYE CCM (Chama Cha Makudadadeki) kuna mwenye afadhali? si viongozi na wakereketwa wao..
 
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.

Kabla ya kujinyonga ningekushauri kwanza utubu dhambi zako za kushabikia Unyonyaji (Magamba) ndio ujinyonge vizuri, inaweza kukusaidia kukuepusha na Kibiriti Siku ya mwisho
 
kwa mtu mwenye akiri timamu na upeo wa kuwa ndani ya jf huwezi ukalopoka kiasi hicho,hivi wewe mwana jamii ulietoa kauli hiyo hujui hata kutazama kwa macho tu hata kama si mwanazuoni kama mimi kuwa enzi ya chama kushika hatamu kulishaisha mara tu baada ya muasisi wake mheshimiwa sana j k nyerere(eee mungu mrehemu na umweke mahali pema peponi mtu huyu) alipo tangulia mbele za haki? we ndugu sa umefikia wapi umeshakufa au ni vipi,hivi ulidhani ccm wataendelea kuiba tena kura na hujuma kibao walizozoea kwenye chaguzi mbalimbali zilizopita? hogera sana chadema haki itapatikana tu na ukombozi wa kweli utapatikana.
 
Back
Top Bottom